2016 US Elections - Exlusive discussion thread

2016 US Elections - Exlusive discussion thread

Let's be honesty mdahalo wa leo trump kaimprove na kajitahidi kuwa na discipline hakika isingekuwa ile audio tape leo mambo yangekuwa tofauti sana

Hiyo ni kweli kabisa.

Kafanya vizuri.

Na hili jamaa liko kama paka.

Pale unapodhani hapa ndo mwisho linaibuka na pumzi mpya.

Nilishahitimisha kuwa huu uchaguzi ushaisha lakini sasa naanza kupatwa na shaka kidogo.

Inawezekana nilihitimisha mapema [prematurely].

Mdahalo wa mwisho utaendeshwa na Chris Wallace wa Fox News.
 
No Sir I have a different opinion on Hillary's answer. When someone is saying very positive things about your children, that goes direct to you as a parent. Even Trump states that, "I take this as compliment"

But it's an implied compliment rather than a direct compliment. Yes, Hillary did say that she admires the kids and that it says a lot about Trump but put allegiances aside Trump directly and eloquently complimenting Hillary is much better optics than what she said even though we know she said what she said with all the good intentions in the world.
 
Hiyo ni kweli kabisa.

Kafanya vizuri.

Na hili jamaa liko kama paka.

Pale unapodhani hapa ndo mwisho linaibuka na pumzi mpya.

Nilishahitimisha kuwa huu uchaguzi ushaisha lakini sasa naanza kupatwa na shaka kidogo.

Inawezekana nilihitimisha mapema [prematurely].

Mdahalo wa mwisho utaendeshwa na Chris Wallace wa Fox News.
Nami nilihitimisha baada ya Mdahalo wa kwanza n scandal ya women Ila leo nilichokiona aise mama kaburuzwa
 
Hiyo ni kweli kabisa.

Kafanya vizuri.

Na hili jamaa liko kama paka.

Pale unapodhani hapa ndo mwisho linaibuka na pumzi mpya.

Nilishahitimisha kuwa huu uchaguzi ushaisha lakini sasa naanza kupatwa na shaka kidogo.

Inawezekana nilihitimisha mapema [prematurely].

Mdahalo wa mwisho utaendeshwa na Chris Wallace wa Fox News.

Ohhhhhhh my God!!.........it is going to be a disaster to Hillary!!
 
Hiyo ni kweli kabisa.

Kafanya vizuri.

Na hili jamaa liko kama paka.

Pale unapodhani hapa ndo mwisho linaibuka na pumzi mpya.

Nilishahitimisha kuwa huu uchaguzi ushaisha lakini sasa naanza kupatwa na shaka kidogo.

Inawezekana nilihitimisha mapema [prematurely].

Mdahalo wa mwisho utaendeshwa na Chris Wallace wa Fox News.

Ni kweli, Trump kafanya vizuri. Amekuwa na displine kidogo leo! Lakini nadhani anajaribu kudandia train kwa mbele, amechelewa! Ile video imemmaliza kabisa.
 
Raundi hii ya pili ya mdahalo naona Mzee Mzima Donald Trump kaibuka tena kama kawaida yake na ushindi na kuonesha hakutikisika na ''kashfa'' aliyofanya miaka 11 iliyopita juu ya maoni yake /uzoefu kuhusu wanawake au kutumia mianya ya sheria ya kodi ya mapato ktk biashara zake, kitu ambacho chama cha Democrats /Hillary Clinton waliona ni ''silaha ya maangamizi'' kummaliza kisiasa ktk mdahalo wa leo.
 
Mdahalo wa leo ulikuwa bora kabisa aise kuliko wa kwanza Ila nilijua video tape itamsumbua DT Ila tuwe fair leo mama kaburuzwa hasa mambo ya sryia
Mama ni mbovu sana kwenye mambo ya syria(foreign policy) eti anadai kuwa atamwekea Putini no fly zone pale Allepo!!!....ni uongo!!... .............Hakuna mtu ambae anaweza kumwekea no fly zone Putini pale Allepo labda ile Republican ya zamani!
 
Mkuu kwenye Obamacare mbona kasema kwamba inahitaji kuwa fixed ili kuondoa au kupunguza matatizo ambayo yamejitokeza badala ya kuifuta yote na kuwaachia insurance companies wafanye vile watakavyo na kuwaacha karibu 50 million Americans bila ya kuwa na health care!?

Kumbuka pia hawa wote ni Democrats hivyo hakuna ajabu yoyote ile ya policies zao kushabihiana sana na labda a tweek here and a tweek there in order to fix any existing shortcomings in some of their policies.

Ambacho mimi simkubali Hillary ni kwamba yeye ni copy ya obama,policy zote anacopy za obama!!.....Kwa nini hata asiongeze za kwake chache??
 
Mama ni mbovu sana kwenye mambo ya syria(foreign policy) eti anadai kuwa atamwekea Putini no fly zone pale Allepo!!! .............Hakuna mtu ambae anaweze kumwekea no fly zone Putini pale Allepo labda ile Republican ya zamani!
Kweli kabisa mama leo alikuja kwa mbwembwe mwisho kapigwa za mbavu haaa
 
Watu wameshaanza yao, wanasema, Melania Trump wore a $1,100 Gucci "Pussy Bow" shirt to the debate!
 
Hiyo ni kweli kabisa.

Kafanya vizuri.

Na hili jamaa liko kama paka.

Pale unapodhani hapa ndo mwisho linaibuka na pumzi mpya.

Nilishahitimisha kuwa huu uchaguzi ushaisha lakini sasa naanza kupatwa na shaka kidogo.

Inawezekana nilihitimisha mapema [prematurely].

Mdahalo wa mwisho utaendeshwa na Chris Wallace wa Fox News.

Huu uchaguzi wenu umekuwa a true roller coaster. Kama unakumbuka nilipost nyuzi hapa kutabiri ushindi wa Trump mara tu baada ya Republican convention. Wiki mbili baadae nikaanza kujutia utabiri wangu. Wiki ngapi tena nikaanza kuogopa utabiri wangu unaelekea kuwa kweli. Juzi Ijumaa nikadhani utabiri kwishnehi tena. Leo na mimi pia naona hii ngoma bila bila afu ndo kamwe half time.

Full disclosure though I personally dread even the idea of Trump as president of the US hata kama siiishi huko
 
Seems like Hillary didn't want to go deep on Trump about that tape tonight. But, there's one more and last debate. I guess that's when all the nasty's gonna come out.
 
And the ongoing recordings about Trump talking bad about women will really bring down his chances of success. Women are compaigning against him.
This guy is arrogant!
America has many arrogant people who still support his racist and stupid ideas.
 
I absolutely agree with Obama.

Trump is not sane. He is unhinged!
Seriously! Just imagine all that precidential power on him? With the nuclear weapons and all! He will surely wipe many countries out
 
Back
Top Bottom