Mipangomingi
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,713
- 2,062
Los Angeles Times wamepost "ufafanuzi" wa kilichosemwa na Clinton juu ya Obamacare, watu kweli wamejipanga.
Uwiii!, haha,..guess he deserve it.🙂
Amepangua!Haha, swali la mwisho very tricky to both of them, sijui Trump atajibu vipi..
Katika maswali yote hilo ndo amejibu vizuriHaha, swali la mwisho very tricky to both of them, sijui Trump atajibu vipi..
Amepangua!
Last question: What do you respect about each other?
Hillary: His children.
Trump: She doesn't quit.
Good answer.
Ndio maana nikasema amepangua, means amejibu vizuri. Unajua watu huwa hawashangazwi na majibu mabovu ya Trump, wanashangazwa na majibu mazuri kama hili.Hapana, amejibu na kajibu vyema tu.
Wote wawili wamelijibu vizuri na kistaarabu kabisa.
Tupunguze chuki na ushabiki wakati mwingine.
Katika maswali yote hilo ndo amejibu vizuri

I'm actually surprised of how good an answer he gave, it made Hillary come off a petty for not saying something about Trump directly.
For your viewing pleasure in case you haven't seen this one yet. He calls him that almost every time he talks about him. I guess Trump sued Bill Maher a few years back because of a joke Bill Maher made about him being an Orangutan
Asee umechek CNN!!!?Ambacho mimi simkubali Hillary ni kwamba yeye ni copy ya obama,policy zote anacopy za obama!!.....Kwa nini hata asiongeze za kwake chache??![]()
Mimi nafuatilia foxnews mkuu!Asee umechek CNN!!!?