Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,092
- 136,655
Huyu mama hajichanganyi hapa juu ya Russia? Naona anatuhumu waziwaz Russia?
Yeah...lots of maybes there.
But it's politics.
Huyu mama hajichanganyi hapa juu ya Russia? Naona anatuhumu waziwaz Russia?
Teh teh teh...that is called spin.
Truth of the matter is he trashed it.
There is no love lost between the Clintons and the Obamas.
Trump is interrupting Hillary kila anapoongea
Of course these politicians are masters at being two faced
Asee hata mi naogopa; anaweza akaibuka na ngumi huyu kwa mama Clinton. HahahaaTrump avyotembea tembea hapo utadhan bondia anajiandaa kuingia ulingoni
Asee hata mi naogopa; anaweza akaibuka na ngumi huyu kwa mama Clinton. Hahahaa
Bora nawe umeliona hili, kuna wakati alikuwa kasimama nyuma ya Hillary nikadhani anataka kufanya uhuni wake wa kumgrop Hillary.......🙂🙂
Ni rahisi mno kuzungumzia hilo lakini kwenye implementation ni ngumu sana.