2016 US Elections - Exlusive discussion thread

2016 US Elections - Exlusive discussion thread

Am just thinking aloud kuwa pamoja na jeuri yake tukiamka kesho atakuwa ameachia ngazi. Hahaha. Dua la kuku nini. Jamaa yuko very proud jamani watu wote hao wanaomshinikiza.
 
Naona amegoma kabisa mkuu, Sidhani ataondoka.

Kuna kitu kinaitwa Rule 9 yaani chama cha republican hakiwezi tu kuamua kwamba hakimtaki Trump awanie uraisi mpaka yeye mwenyewe aamue hivyo jambo ambalo ameapa kutolifanya.

Sasa hiyo Rule 9 yaani kanuni ya 9 inaruhusu RNC (republican national Committee) kujaza tu nafasi ikiwa mgombea amejitoa na si kumlazimisha kujitoa.

Ila kama chama kinaamua kuchukua risk kwa kubadilisha kanuni halafu kimtoe Trump kwa lazima kinaweza kufanya hivyo ingawa itabidi uamuzi huo uungwe mkono na wanachama walio wengi au majority.

Na utaratibu huo unachukua muda mrefu ambao umekwisha huku siku 31 zikiwa zimebakia uchaguzi ufanyike.

Patamu hapo!
 
Ninavyoona ile ya Bill ambayo Donald amekuwa anaitumia imekuwa haina nguvu tena. In all fairness Donald angekubali yaishe.
Hiyo haiwezi kuwa na nguvu kwa sababu (1) Bill siyo mgombea na (2) hakuna jipya. Ushenzi wake karibu wote unajulikana.

Kinachosikitisha ni kwamba, mmoja wa hawa washenzi ataenda kuishi White House katika nafasi moja ama nyingine.

Ndo maana tupo tunaoona kote kote ni hovyo tu mwaka huu.

Halafu nasubiri kwa hamu kumsikia Bill akimlaani na kumkosoa Donald kuhusu huo ushenzi wake .

Unadhani atathubutu au atapiga kimya tu kuhusiana na hilo?
 
3918721B00000578-3828674-image-a-5_1475956958894.jpg

Halafu pia kwenye baadhi ya majimbo kama North Carolina na Florida tayari kura zimetayarishwa na wapiga kura wamekwishapiga kura.

Washington Post wanasema kura 8000 tayari zimekwishapigwa huko North Carolina na 5000 Florida.

Na pia tarehe ya kukamilisha kuchapa makaratasi ya kura imekwishapita na jina la Trump lipo kwenye karatasio za kupigia kura tayari.

Kuna uwezekano Mike Pence akaingia kuwa mgombea lakini itategemea na mpambano wa leo kati ya Trump na Hillary Clinton.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
3918721B00000578-3828674-image-a-5_1475956958894.jpg

Halafu pia kwenye baadhi ya majimbo kama North Carolina na Florida tayari kura zimetayarishwa na wapiga kura wamekwishapiga kura.

Washington Post wanasema kura 8000 tayari zimekwishapigwa huko North Carolina na 5000 Florida.

Na pia tarehe ya kukamilisha kuchapa makaratasi ya kura imekwishapita.

Kuna uwezekano Mike Pence akaingia kuwa mgombea lakini itategemea na mpambano wa kesho.
Mimi natabiri voter turnout itakuwa ya chini sana mwaka huu.

Na sababu kuu ni wagombea wote wa vyama vikuu ni wa hovyo.

Turnout ya GOP nadhani ndo itashuka zaidi kuliko ya Dems.
 
Huyu jamaa hayuko smart kwanza kwa kuongea kauli za kipum bavu hadharani kwa miaka mingi tu na pili kwa kutotafakari kwa kina hasa kukumbuka kauli zake kipum.bavu za miaka ya nyuma. Angekuwa ni mtu smart angejua opponents wake wanaweza kuzitumia kauli hizo na hivyo kusababisha wapiga kura wengi wasiwe tayari kumpigia kura.

Angekuwa smart asingethubutu kuchukua form ya kugombea Urais kwa kujua fika kauli zake za nyuma zinaweza kuwa kikwazo kikubwa kwake.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Democrats lazima watahakikisha "get out the vote campaign" inakuwa na mafanikio makubwa ili kujihakikishia ushindi. Inawezekana wasipate watu wengi kama 2008 & 2012 lakini kama percentage itaanguka basi si kwa asilimia kubwa sana.

Mimi natabiri voter turnout itakuwa ya chini sana mwaka huu.

Na sababu kuu ni wagombea wote wa vyama vikuu ni wa hovyo.

Turnout ya GOP nadhani ndo itashuka zaidi kuliko ya Dems.
 
Huyu jamaa hayuko smart kwanza kwa kuongea kauli za kipum bavu hadharani kwa miaka mingi tu na pili kwa kutotafakaribkwa kina hasa kukumbuka kauli zake kipum.bavu za miaka ya nyuma. Angekuwa ni mtu smart angejua opponents wake wanaweza kuzitumia kauli hizo na hivyo kusababisha wapiga kura wengi wasiwe tayari kumpigia kura.

Angekuwa smart asingethubutu kuchukua form ya kugombea Urais kwa kujua fika kauli zake za nyuma zinaweza kuwa kikwazo kikubwa kwake.

Halafu anasahau anapambana na establishment.

Nafikiri walikuwa walimwangalia tu na walifahamu wanakompeleka - kwenye shimo akaanguke.

Ila nafikiri Donals Trump ni pandikizi tu aliwekwa hapo ila Republican bado hawajapa mgombea mahili.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mimi natabiri voter turnout itakuwa ya chini sana mwaka huu.

Na sababu kuu ni wagombea wote wa vyama vikuu ni wa hovyo.

Turnout ya GOP nadhani ndo itashuka zaidi kuliko ya Dems.

Hapo ndiyo watu wajifunze hizi siasa za uongo na kuigiza.

Bill Clinton alifikishwa kwenye bunge kujibu kashfa ya kumdhalilisha Monica na wakati ule, Hillary Clinton kwa kuwa alikuwa ambitious kutaka kuwa raisi akamezea ile issue na akawasaliti wanawake wote wa Marekani kwa kusimama na mumewe hadi mwisho.

Sasa Trump kuja kutolewa kafara kwa mkanda wa video wa miaka zaidi ya 11 ilopita ni jambo la ajabu sana kuhusu hawa wazungu.

Yaani hawa wagombea wawili hawastahili kabisa kuwa maraisi wa Marekani.

Barak Obama angeendelea kuwa raisi na wangefanya mabadiliko kwenye utaratibu wa uchaguzi mpaka wapate wagombea wenye sifa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wakuu mie mbona naona km Donald anamapungufu kwenye akili? Kweli yuko vizuri huyu,. Na refer tu mazungumzo yake na Stern.
 
Umeona eeh?

Bill na Donald ndo walewale tu.

Tofauti yao mmoja ni ana makelele mengi, bishoo, huku mwingine ni slick kama nyoka.

Na mmoja wao anaenda kuishi White House.

Na ni kweli. Hillary alishiriki sana kuwazima wanawake waliodhaliloshwa na mumewe.

Na hata uamuzi wa kubaki kwenye ndoa na Bill ni kwa sababu ya ambitions za urais tu.

Binafsi nilitaka sana Biden ndo awe nominee.

I like Joe.
 
WOW! SMDH!

Donald Trump to Howard Stern: It's okay to call my daughter a 'piece of ass'
 
Just in...GOP MULLS SCENARIO OF PENCE QUITTING TICKET.

Patashika na nguo kuchanika, on the Republican platform. Trump kaligoroga haswa!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu Mzazi yeyote anayeruhusu bintiye aitwe piece of ass ana kasoro kubwa ya kiakili na hastahili kuwa mzazi.

Wakuu mie mbona naona km Donald anamapungufu kwenye akili? Kweli yuko vizuri huyu,. Na refer tu mazungumzo yake na Stern.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Wakuu mie mbona naona km Donald anamapungufu kwenye akili? Kweli yuko vizuri huyu,. Na refer tu mazungumzo yake na Stern.
Huyo hayuko sawa kichwani.

Kabla hata Hillary hajamwita jamaa kuwa ni unhinged....mimi tayari nilishamwita hivyo humu.

Ni mgonjwa wa akili huyo.

Wewe mgombea gani wa urais aliye serious umewahi kumwona popote pale duniani aki behave kama huyo jamaa?

Mgombea gani wa urais ana kejeli walemavu?

Hata kama hugombei urais, ni binadamu gani mwenye akili timamu anaweza akamkebehi mlemavu kwa sababu ya ulemavu wake?

Trump alipaswa kupigwa chini tokea siku aliposema John McCain sio war hero kwa sababu eti alitekwa.

Sijawahi kushuhudia uchaguzi mbovu kama wa mwaka huu.
 
WOW! this is getting out of hand for Trump, he should do something to save his face.

Just in...GOP MULLS SCENARIO OF PENCE QUITTING TICKET.

Patashika na nguo kuchanika, on the Republican platform. Trump kaligoroga haswa!
 
  • Thanks
Reactions: kui
WOW! SMDH!

Donald Trump to Howard Stern: It's okay to call my daughter a 'piece of ass'

Kha, aisee!
I can't imagine my dad making statements to other people about my physical appearance..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom