2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Trump kashinda Arkansas kwa Bill Clinton olewaoo mama ashinde
 
  • Thanks
Reactions: MC7
ohiooo jamanii

Clinton 49perx

Trump 47perc loh
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Florida inatishia amani, ila wataalamu wanadai bado kuna kura milioni moja hazijawasilishwa na nyingi ya hizi ni za Dems, kama wako sawa basi Hillary atachukua Florida.

FLORIDA KIMEGEUKA

TRUMP 49PErC
CLINTON 48PEC
 
Mpwaaa bak ntakwambia tukishindaa climton
 
Florida inatishia amani, ila wataalamu wanadai bado kuna kura milioni moja hazijawasilishwa na nyingi ya hizi ni za Dems, kama wako sawa basi Hillary atachukua Florida.
Hao nao wawasilishe chap..ijulikane...
 
Florida inatishia amani, ila wataalamu wanadai bado kuna kura milioni moja hazijawasilishwa na nyingi ya hizi ni za Dems, kama wako sawa basi Hillary atachukua Florida.
Aminaaa IweE hivyooo
 
Trump inaelekea atashinda. Muda wangu wa kuikimbia Dar kwenda kijijini
 
Florida inatishia amani, ila wataalamu wanadai bado kuna kura milioni moja hazijawasilishwa na nyingi ya hizi ni za Dems, kama wako sawa basi Hillary atachukua Florida.
Na iwe hivyoooo......
 
Back
Top Bottom