rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Ohio nako Trump kapunguza gap kubwa iliyokuwepo.
Kibibi kinaongoza Ohio kwa pointi lukuki hadi sasa
Ohio nako Trump kapunguza gap kubwa iliyokuwepo.
kakishindwaaa Bahama nchiii nahatii yakiwanja nakupa ikiwananyumba usiniulizeyambao u do go out tofaliiiHuu Mchuano ni shida Mkuu.
Ila hako kamama hakawezi kutoboa japo kanafurukuta
Trump inaelekea atashinda. Muda wangu wa kuikimbia Dar kwenda kijijini
HiioitakuwayamchinaKibibi kinaongoza Ohio kwa pointi lukuki hadi sasa
kakishindwaaa Bahama nchiii nahatii yakiwanja nakupa ikiwananyumba usiniulizeyambao u do go out tofaliii
mkuu naomba link ya kufatiliaNew Jersey.. Massachusetts kalamba mama
Aseeee..New York baby!, 29 electoral votes for Hillary. [emoji106]