Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,184
- 3,421
Ebu fafanueni bhana GA mara PA ndo vitu gani?Ni kweli latino si majority lakini participation yao kwa wingi inaweza kabisa kubadili matokeo na GA kuangukia kwa Hillary wakati hii ni Red State.