atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,836
- 3,682
Umenifanya nicheke asubuhi hiiKura za maoni zimetofautiana kabisa na kura za halisi. Huko kuna twaweza?
Umenifanya nicheke asubuhi hiiKura za maoni zimetofautiana kabisa na kura za halisi. Huko kuna twaweza?
Hehehe..... Jamaa anasema it's too early to judge the winner....... Hadi Official announcement itatoka bado unasema it's too early mkuu!Mkuu,it is too early to judge the winner...
Tema mate chiniLazima Clinton ashinde.
Dunia iongozwe na mmama.
Na mtatukoma nyie
dt 150
hc109
Yaa nlikuwa nasoma kozi ya statistics hizi kura za maoni wanasema miaka ya 50 kuna kampuni ilifilisika kabisa baada ya kufanya ya twaweza. Nafikiri hizi projection huwa zinafanywa huku kwetu ili akina jecha na lubuva wapate kumlazimishia wamtakayeWamelizungumzia hili na wanasema hawa wanaofanya hizi OP wameanguka vibaya sana na hivyo kuharibu reputation yao kwa kiwango cha juu.
Haina haja. Clinton lazma apiteTema mate chini
Una shingo ngumu sanaFirst Lady WA mkuuwamkoa sio rais WA marekan takenote
Libabe sana hilo lizee. Na anavyopenda watu weusi sijui kama marekani nitaenda tena
Ahahahaaaaa ndo maana nakupendaga.
Uko kama mimi kwa kiasi flani....hupindishagi maneno.
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
USA baby [emoji631] [emoji631] [emoji631]
Hehehe..... Jamaa anasema it's too early to judge the winner....... Hadi Official announcement itatoka bado unasema it's too early mkuu!
Sawa usijetafuta pa kukimbiliaLabda ashindie tz 2020..
hahahaaaa..
Yaa nlikuwa nasoma kozi ya statistics hizi kura za maoni wanasema miaka ya 50 kuna kampuni ilifilisika kabisa baada ya kufanya ya twaweza. Nafikiri hizi projection huwa zinafanywa huku kwetu ili akina jecha na lubuva wapate kumlazimishia wamtakaye