HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,880
- 5,887
139 tenaDuhhhhh Naona jamaa kapanda tena 137 . Clinton bado yuko 104.
139 tenaDuhhhhh Naona jamaa kapanda tena 137 . Clinton bado yuko 104.
Haya muda utasemaNIWAPEOYO KURA NYINGI ZA UPANDE WA DEM AZIJAANZA KUTANGAZWA MSIHOFU
Vumilia tu ndugu maana hakuna namna
Aiseee nahisisiii yulebosii wafbii alibadilisha eating mawazo real Kama bak alivyosemaFlorida inakuja kuleta msiba kwa pro Clinton
Wahamiaji haramu au halali?
Ujasema mkeo ama demuwako kakumbatiiamtooKwa kweli uchaguzi wa US una impact kubwa sana duniani kote .
tumekaa hapa tuna tumbulia macho TV, internet na kila kinacholeta matokea.
Jipe moyo ndugu, kibibi chaliiii...NIWAPEOYO KURA NYINGI ZA UPANDE WA DEM AZIJAANZA KUTANGAZWA MSIHOFU
Mhamiaji halali yeyote yule hana sababu hata moja ya kuhofia.Hapo umemaanisha nini haswa? ila napita
Kuna wale waliozoea kula bata kwa uvivu wa kutokufanya kazi nchini kwao pia, walioingiliwa wengi wata T.
Mimi wakaribu nami wote USA wanaweza ingia na kutoka nchini humo, miji mbali mbali nchini humo.
Ila pia naona kuna walio huko USA na mtazamo wa kiaina tofauti tho kura zao zaenda upande sawa.
Nawatakia furaha ktk uchaguzi.
Hivi California by nature huwa iko upande ganiHii ngoma bado mbichi kabisa.
West Coast bado hawajaanza kuripoti.
hahah unadhan Tanzania hiyo? Upande wa Hillary ni upi?NIWAPEOYO KURA NYINGI ZA UPANDE WA DEM AZIJAANZA KUTANGAZWA MSIHOFU
USHINDWE NA PEPO lako la kufananisha kifo na Usingizi[emoji49]Sipati picha combination ya Trump na Magu kwa ustawi wa Tanzania!!!
Hiyo inaenda kwa bibi.Hivi California by nature huwa iko upande gani
Ila mwaka huu naona imekua kubwa kuliko kipindi cha nyuma,,Kwa kweli uchaguzi wa US una impact kubwa sana duniani kote .
tumekaa hapa tuna tumbulia macho TV, internet na kila kinacholeta matokea.
vijana wa tz mloojificha marekani huko najua wengi mnamlilia huyo mama ili akiingia madarakani aendeleze zile sera za obama za kuwalinda wahamiaji wanaoishi USA hovyo hovyoHii ngoma bado mbichi kabisa.
West Coast bado hawajaanza kuripoti.
Huyo mama sina hamu nae....damu ya Gadaffi inamlilia popote alipo
Hahahaa! Nani usingizi na nani kifoUSHINDWE NA PEPO lako la kufananisha kifo na Usingizi[emoji49]