dudupori
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 1,795
- 1,923
Asante bikira, team kibibi washapata tumbo la kuharaDONALD TRUMP....SINA HISTORIA YA KUSHINDWA
Asante bikira, team kibibi washapata tumbo la kuharaDONALD TRUMP....SINA HISTORIA YA KUSHINDWA
[emoji23]Jidanganye hapo, unadhani USA ni bongo
Hahahaaha...kwa hiyo wanafanya hivyo ili aone uchaguzi ulikuwa fair?!..kumbuka alisema i will keep in suspenseHayo matokeo yatageuzwa soon hyo ni katika kumfanya trump aone kuna haki then mwishon wanakata kichwa, yaan ataona tu zile ambazo hazijahesabiwa anapewa tu clinton. Huu uchaguzi clinton ndo rais
Kwa kweli nimeanza kukata tamaa kama mama atashinda.......ni miujiza tu sasa, Ohio yuko nyuma sana sasa.....too bad my mama.....something special need to be done right away for her.....I dont know.....DONALD TRUMP....SINA HISTORIA YA KUSHINDWA
duhhhh ingawa siko US hakuwa chaguo langu.Hupendi kwani
Hope asiwe Mungu wa.....MIsolate tamaaaaa Clinton chaguooo LA Munguu
Inakuwaje kk mambo yanabadirika hiviNorth Carolina pia anaongoza.
Vumilia tu ndugu maana hakuna namnaduhhhh ingawa siko US hakuwa chaguo langu.
Duhhhhh Naona jamaa kapanda tena 137 . Clinton bado yuko 104.Florida nadhani Trump anachukua Ohio na North Carolina Trump anaongoza.
Unataka kusema niniHuyo mama ndio alikuwa katika kikosi cha ufundi cha waliomvamia gaddaffi
Usihofu ushindi WA clintonDuhhhhh Naona jamaa kapanda tena 137 . Clinton bado yuko 104.