evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,335
Ponda mali anajifanya hana wasi ...anajibaraghuzaJuma ponda Mali ni mnafiki wakutupwa hayaishi maneno yake yeye mwenyewe anaye minya democrasia nchini, nimeshangaa kuwa wa kwanza kupongeza
Ponda mali anajifanya hana wasi ...anajibaraghuzaJuma ponda Mali ni mnafiki wakutupwa hayaishi maneno yake yeye mwenyewe anaye minya democrasia nchini, nimeshangaa kuwa wa kwanza kupongeza
Haaaah jamaa atakuwa Rais wa wote kasemaNgoja tuone Rais aliyezoea kusema, "your fired" atakapo ipelekea USA. Mwanzo tu kesha mpotezea vice president wake, anasifia watu wengine kampuuza makamu wake.
Na mbaya zaidi makamu wa rais alijiepusha naye pale kashfa ya kudhalilisha wa mama ya trump ilipo ibuliwa.
Ngoja tuone Rais aliye onesha wazi kuwa anachukia usilamu na waislamu watu ambao ni zaidi ya 1.7 billion duniani.
Naiona njia ya china nyeupe kuwa the world super power. Rais ambaye hata waliomchagua wanajistukia kumshangilia. Tuone kama si mnafiki akimshita Hillary Clinton kwa email zake.
Na washawasha!
Vipi mpenzi, unaendeleaje??[emoji4]Tunamsapoti mwanamke mwenzetu [emoji3][emoji3][emoji3]
Napenda mtu awe nusu mhuni nusu mstaarabu,sio jitu linajifanya liko serious sana mpaka lina kela full kubana watuKivipi?[emoji15]
Hahaha du!!Wanyakyusa bana...
Kuna Mtoto ashapewa jina huko Mbeya ATUDONALD MWAKATRUMP [emoji41]
Trumph angeanza nayo...bingekuwa powa sanaMarekani Ushoga tena noo sasa ukitaka hiyo kitu basi utampanda mkeo
Kwani anaijua? Ni sawa tu hata kama ni vipande vipande ujumbe umefika!!Raisi Magufuli ametoa pongezi kwa Trump kwenye lugha hapo sijajua kama alisoma kabla ya kuandika.
View attachment 431481
Hapa umeongea upupu na wewe!Ndio tunmhitaji huyo, haiwekazi huku afrika mtu rais anaongoza miaka 30 yeye tu. Kwani hakuna Wa kuongoza
Vipi... Bado tu??!Asante. nashukuru kusikia sio mimi tu .
Hahahaah umemsahau Kagameukienda usa unakutana na Trump, ukienda Russia unakutana na mnyama puttin, Korea unakutana na KIM..[emoji119] ukirudi home unakutana na JPM
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nahama sayari
Maneno yote ya nini? Angesema tu "Hillary Clinton you are FIRED"!Trump: 'I will not let you down'
"I promise you I will not let you down, we'll do a great job," President-elect Donald Trump told his supporters.
And he said at the "end of two, maybe three ... maybe eight years" they will agree.
"Our work on this movement is really now just beginning. We're going to get to work immediately for the American people," he added.
"I love this country," Trump closed, with a thank you.
Sasa zile Ahadi zake kwa Madicteka Africa ndio atatimiza alichoahidi.... Maana kutowaangusha waliokupa kura ni kutimiza ahadi zao.. nafurahia tukinyooshwa ndani na nje ya Nchi sio humu pekee tu kama tunavyoendelea kunyoshwa
Haiwezi kutokea hiyoWatakuta barua mezan hahahhaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tehehehhehe vipi, na ile ziara ya Hilary Clinton kuja Dodoma kuongea na "JPM", baada ya kupata Urais wa Marekani, bado ipo kwenye Ratiba? Maana naona taratibu mnaanza kubadirika rangi.
Mkuu, ina maana wewe una uchungu na nchi ya Amerika kuliko Waamerika wenyewe, naona kama ungekuwa wewe ungetoa matokeo yako ambayo si ya Waamerika, ndo tayari wameisha amua iwe hivyo.Ngoja tuone Rais aliyezoea kusema, "your fired" atakapo ipelekea USA. Mwanzo tu kesha mpotezea vice president wake, anasifia watu wengine kampuuza makamu wake.
Na mbaya zaidi makamu wa rais alijiepusha naye pale kashfa ya kudhalilisha wa mama ya trump ilipo ibuliwa.
Ngoja tuone Rais aliye onesha wazi kuwa anachukia usilamu na waislamu watu ambao ni zaidi ya 1.7 billion duniani.
Naiona njia ya china nyeupe kuwa the world super power. Rais ambaye hata waliomchagua wanajistukia kumshangilia. Tuone kama si mnafiki akimshita Hillary Clinton kwa email zake.
Na washawasha!
Are you sure alikuwa hivyo au yupo hivyo? Sio propaganda tu za kumchafuaThe election based on personalities more than on real world policy issues. And the Americans bought it and voted for the guy who is a liar, fraudulent, racist, sexist, tax evader etc. These are kinds of issues that Americans have been laughing at other countries. Now it is payback time.