2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

SIJUI NIRUDI JUKWAA LA MMU AU NISUBIRI SUBIRI TENA UNDAMBWI WA MWISHONI MWISHONI MAANA KASHASHINDA MJOMBA HUYU
 
Nasubiri simu ya rais wetu kwenda kwa Rais mteule wa Marekani bwana Donald Trump ..

Kama alivyofanya Kikwete mwaka 2008 baada ya Obama kushinda Urais..

Alimpongeza kwa ushindi alioupata.

Sasa ni zamu ya Rais wetu kumpongeza Trump.
Ni sheria au ni utashi wa mtu?
 
Aliahidi yafuatayo:
1) Kulitawala tena bara la Africa
2) Kutimua wahamiaji haramu USA
3) Kupiga marufuku Waislam wote kuingia US
4) Museven na Mugabe kuondolewa kwenye uongozi
5)Kujenga ukuta na mexico
 
Screenshots_2016-11-09-11-31-01.png


Donald Trump.. The President of U.S.A, it is hard to believe and even to mention, but we have to adapt very quickly..

Rais wa U.S A. ni Trump

Rais wa U.S.A. ni Trump

One more time

Rais wa U.S.A ni Clinton.. XXXX OMG


Nitazoea tu, Trump, Trump, Trump


Hayaaa, duuh, we have to believe unbelivable this time.

Tetesi!

Russia hacked Democratic server, habari ndio hiyo
 
Hapa umeongea upupu na wewe!

A president elected by americans and rule Africa....???

Nyerere alishasemaga haya! Kama marais wa marekani wanatufanyia maamuzi basi hata siku ya uchaguzi raia wetu nao wakapige kura marekani...
NA ZILE HELA MNAZO POKEA MZIPIGE STOP
 
Thread maalum ya kupata kinachoendelea marekani
Updates; Trump ameongoza majimbo ypte ya marekani
Tuendelee kupeana updates
 
Back
Top Bottom