2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Ni shauku ya moyo wangu, kuwa natamani Raiss wetu mh. Magufuli awe nambari wani kumpongeza Trump kwa kuibuka mshindi katika mbio za kuwania urais Wa Marekani. Ushindi wa Trump si ushindi kwa wamarekani pekee Bali Dunia kwa ujmla. My rais wetu kuwa namba Moja kwa niaba ya Watanzania wote kumpongeza Trump

Why?
 
Unataka ajipendekeze?Hivi unajua ni kwa nini alisema ataanza na Mugabe na museven?Unadhani hapa kwetu tuko salama sana na hasa ukichukulia suala la Zanzibar?
 
Baada ya Wikileaks kutoa email nyingi za Hilary Clinton wiki mbili kabla ya uchaguzi wa Marekani ndio imemletea Hilary Clinton kushindwa uchaguzi mkuu wa Marekani. Kabla ya Wikileaks kutoa email hizo zilizoonyesha udhafi wa huyu mama,Clinton alikuwa anaongoza kwa asilimia 12 za kura.
Kuwa na vyombo huru vya habari ni muhimu sana kwani bila Wikileaks Hilary Clinton angeingia ikulu ya Marekani na machafu yake.


Ni nani amekudanganya USA kuna vyombo huru vya habari? Unaelewa maana ya wikileaks?
 
Hapa umeongea upupu na wewe!

A president elected by americans and rule Africa....???

Nyerere alishasemaga haya! Kama marais wa marekani wanatufanyia maamuzi basi hata siku ya uchaguzi raia wetu nao wakapige kura marekani...
Subirin muone !! Kwan alivosema afrika inatakiwa itawaliwe tena unafikir alikua anamanisha nini haha
 
Ngoja tuone Rais aliyezoea kusema, "your fired" atakapo ipelekea USA. Mwanzo tu kesha mpotezea vice president wake, anasifia watu wengine kampuuza makamu wake.
Na mbaya zaidi makamu wa rais alijiepusha naye pale kashfa ya kudhalilisha wa mama ya trump ilipo ibuliwa.

Ngoja tuone Rais aliye onesha wazi kuwa anachukia usilamu na waislamu watu ambao ni zaidi ya 1.7 billion duniani.

Naiona njia ya china nyeupe kuwa the world super power. Rais ambaye hata waliomchagua wanajistukia kumshangilia. Tuone kama si mnafiki akimshitaki Hillary Clinton kwa email zake.

Na washawasha!

yaani watengeneza hp, dell, iphone, ipad, ford, boeing, facebook, twitter, google,nk wamesema trump anafaa, wewe ambaye hata kutengeneza spoku ya baiskel ni kama ndoto kwako unasema wamekosea, trump hafai!!
huu uhuru wa maoni inabidi uangaliwe upya
 
sasa ndio wakati wa kujenga viwanda huku afrika tena haswa vya madawa ile misaada kwa hisani ya watu wa marekani inaweza kuwa historia.
 
Unataka ajipendekeze?Hivi unajua ni kwa nini alisema ataanza na Mugabe na museven?Unadhani hapa kwetu tuko salama sana na hasa ukichukulia suala la Zanzibar?
Wewe uchaguzi umeshaisha Zanzibar labda 2020 ndio kuna kimbembe lakini si huu
 
Trump: 'I will not let you down'

"I promise you I will not let you down, we'll do a great job," President-elect Donald Trump told his supporters.

And he said at the "end of two, maybe three ... maybe eight years" they will agree.

"Our work on this movement is really now just beginning. We're going to get to work immediately for the American people," he added.

"I love this country," Trump closed, with a thank you.

Sasa zile Ahadi zake kwa Madicteka Africa ndio atatimiza alichoahidi.... Maana kutowaangusha waliokupa kura ni kutimiza ahadi zao.. nafurahia tukinyooshwa ndani na nje ya Nchi sio humu pekee tu kama tunavyoendelea kunyoshwa
SIO HIVYO TU MKUU.
TRUMP KAONGEZEA NA KUSEMA KAMPENI ZIMEISHA NI WAKATI WA KUJENGA USA.
Fuatilia mwisho wa hotuba yake.
 
Mkuu, ina maana wewe una uchungu na nchi ya Amerika kuliko Waamerika wenyewe, naona kama ungekuwa wewe ungetoa matokeo yako ambayo si ya Waamerika, ndo tayari wameisha amua iwe hivyo.
Watu kama hao ni wa kiacha tu mtu anashangilowa kila kona alafu mtu kama huyu anamdharau
 
Mwaka 2020 kutakua na uchaguzi USA na Tanzania, patakua patam apo
 
Back
Top Bottom