2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Hongera zao Marekani. Wamarekani wameona mama Clinton hana jipya la kuoffer. She has been in American's political scene for over 20 years na weakness zake zilikuwa zimeshaonekana. Pia ni ''fedheha'' kumrudisha Ikulu mtu aliyekwisha kaa humo kwa miaka minane, hata kama alikuwa wife tu.
 
Acheni kuwaogopesha watu.... Speech ya kwanza ya Trump Haina lengo la kuwagawa watu. Na huo ndo msimamo wake. Democrat watajutija kitendo cha kumchagua mwanamke kuwa mgombea. America has decided.
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
Nimekubali Trump ndo raisi wa Marekani
tmp_8291-IMG-20161109-WA0107-831398813.jpg
 
NDOTO, REPUBLICAN NI CHAMA TAWALA KAMA CCM ILIVYO - CCM INAMPONGEZA KWA USHINDI!!!
 
Huyu mtu atafanya nini baada ya kushinda kiti cha urais USA?

[HASHTAG]#WhatWouldTrumpDo[/HASHTAG]............
 
Watu nilikuwa nawaambia humu kwamba [1] kushinda debates si kushinda urais na [2] polls zinazo matter ni zile za siku ya uchaguzi tu.

Oh well...
Nyani Ngabu vipi arawa chai inapita leo au tukungojee hapo njia panda ya kwenda ulaya usiyempenda kaja uwiiii.
 
Kachanganyikiwa
 

Attachments

  • 1478678181791.jpg
    1478678181791.jpg
    44.1 KB · Views: 46
Watu nilikuwa nawaambia humu kwamba [1] kushinda debates si kushinda urais na [2] polls zinazo matter ni zile za siku ya uchaguzi tu.

Oh well...
Huwa sipendi kuweka emotions kwenye jambo ambalo halitegemei maamuzi yangu kwa 100% kama chaguzi na matokeo ya michezo.

Bila shaka kuna wana JF wengi mno wanaotokwa machozi muda huu kwa kitu kisichokuwa na faida wala hasara kwao.
 
Back
Top Bottom