2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Wale African jobless aazeni kufungasha,New America are loading. ..
 
Ni Donald Trump.Dunia inatikisika.Msimamo wa taarifa saa nne dakika hamsini na tano asb afrika mashariki.Clinton 218.Trump 265.bado ngumi tu dume ndani ya Airfoce one.
 
Sio hapa kwetu wiki nzima halaf mara figisu mara watu wanalinda kura mara sijui nini yaan usanii mtupu ...uwizi uwizi tu...
Lubuva mamamake anatakiwa kujifunza kitu hapa! wapiga kura hawazidi 20m unachukua mwezi majuma mawili kumtanganza mshindi? Halafu eti mpaka polisi wasimame ndo unatangaza? Ujinga mtupu! Nchi kuuuubwwa matokeo hata saa 24 hazijaisha yalishatoka pumbavvv zetu kabisa sisi waafrika!!
 
Acha ashinde ili awakumbushe waafrika kuheshimu katiba maana wakishika madaraka wanafanya nchi sehemu ya familia yake, walizoea kuichezea mahakama ya ICC sasa Trump aje na sheria mpya, kila nchi iheshimu katiba period.
 
Trump anawanyoosha wang'ang'ania madaraka wa africa na madikteta
Trump ni mfanyabiashara! Uliona wapi mfanyabiashara anafukuza wateja!!!
Na ili America iwe Great Again lazima ikubali kufanya biashara kwa faida kwa kupunguza running costs (vita visivyo na vichwa wala miguu mfano Afghanistan, Iraq,Libya, Syria n.k pia gharama za kuwa polisi wa dunia Korea kusini, japani, Nato)
 
it is time for changes...the change will stream from USA get prepared...
 
its confirmed with 276 electoral vote

source: World News

now is addressing the national at republican head quoter
Bora Africa itawaliwe tena, tulikuwa bado sana kuweza kujitawala wenyewe, kila kitu tunashindwa labda kupiga tumba tu, hata Urais kwetu ni ajira badala ya huduma.
 
Kiukweli mi kati ya Clinton na Trump namkubali zaidi Magufuli kwasababu tekno inakaa na chaji, halafu ukinywa koka asubuhi ndo maana Maalim seif siyo raisi kwasababu babu yangu bado analima kama waalimu wa mbeya day walivyo piga hela za escro wakati tetemeko la Simba ilipigwa na Africa Lyon goli moja
Kavute tena kidogo ili uwiano uwe sawa, naona moshi umezid upande mmoja! [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom