2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

nasubiri tu wale wahanga sijui ndo wameanza kukusanya mabegi kusepa au ndo wanasubir jecha atangaze yakwao
 
Olegunner solskjar na teddy shelgham walibadili matokeo pale nou camp 99' kipindi hicho technology sio advanced kama saiz, sembuse clinton ndio ashindwe???? It will never happen
Go clinton gooooo
ludi tuu kulala maana naona bado uko ndotoni
 
IMG_20161109_103816.JPG
 
Kusudi la mungu inawezekana lilikuwa mama Clinton kama Tb Joshua alivyotabiri sasa kwa wanadamu(wamarekani)wao wameamua kumchagua Trup haya mambo mawili tofauti
Hakuna mwanadamu anayeweza kubadilisha kusudi la Mungu. Watumishi wa Mungu waache utabiri kwenye mambo ya siasa. Watafanya waumini wao wakose imani nao.
 
Alishinda mkuu tatizo ni huu uchwara kwenye tume!! Trump hoyeeeee
Mayala kwa kisukuma maana yake ni njaa. "Mayala hoyeeee"- JMP

Habari za mpasuko!
Asian markets fall as polls suggest Trump victory.
Zipo nchi na mtu zimeanza kupata matumbo ya kuharisha.

Trump alisema watu wategemee Brexit +++

Domo-krasi tamu sana. Hillary amejichimbia hoteli anajaribu kufanya mawasiliano na Jecha bila mafanikio.

Guess who is happy, light now? He is in Russia. l is r.
 
Baada ya jamaa kuchukua PA tu, nikajua biashara ishaisha na mambo mengine ilikuwa ni kukamilisha ratiba tu!!
 
hao wasanii sawa na wa ukawa wametumika na hawajashinda,ccm wasanii walitumika na tukashinda
Ukawa hawa kutumia wasanii na huku bongo uchakachuzi kwa sana yani ccm walichakachua Mpaka basi. Hakukuwa na fair ground during general election, USA taifa kubwa wamepiga siku moja ucku wameshajua rais tofauti na huku Mpaka wajizilishie
 
Mama, Dada, mkeo na binti yako pia
Biblia yangu haiwatambui hao watu.... Sijui ya kwako inasemaje. Japo hujaweka bayana jinsia yako lakini kwa sera za democratic najua wewe utakuwa half man half woman. Go solder Go Trump.
 
Back
Top Bottom