Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
daaah nna furaha japokuwa haniusu
Trump anawanyoosha wang'ang'ania madaraka wa africa na madiktetaUSHINDI WA TRUMP NI USHINDI WA CCM. UKAWA KAAENI MBALI MTAUMIA.
HahaaaaaMugabe kazimia
Hapa ndo huwa nakuwa na wasiwasi na akili ya mtu mwenye asili ya weusi, Obama kalifanya mistake Kubwa sana tena kumshambulia rais wake ajeyeObama Bado ni Rais alijiingiza sana kwenye masuala ya campaign badala ya taifa kwa ujumla. Bush, Bill na marais wengine wote waliopita hawakuwa involved na campaign kwa wagombea wa vyama vyao kama Obama kwa Clinton.
Wewe unaishi kwa child support Kama mange kimambi.... Sasa mtarudi huku tuje tunywe wote mataputapu, sio mnatembelea nyota za wanaume Huko ugaibuni. America has fuckin decided....woooooooooooohhhhhh!!!Dini ni opium ya akili. Leo humtambui Mama yako mzazi? Sihitaji dini wala huyo Mungu anayetaka nimdharau mwanamke yeyote achilia mbali Mama yangu mzazi.
Watu wana maneno sana aiseeee.Hahahaaah......watu wakawa wanatabiri kuwa hivi sasa taratibu dunia inaenda kutawaliwa Na wanawake. Wameanza Uingereza Na sasa Marekani. Lakini haijatokea
Wewe acha kujitoa ufahamu kulinganisha hao jamaa ni kama mbingu na nchi.Remix ya ccm mbele kwa mbele.
Mambo mchaka mchaka, huku kasi ya magufuli, huku kasi ya Trump. Awamu ya mwendokasi hii dawa ni kukimbizana na kuendana na kasi, ukichoka kaa pembeni.