Hahahah we jamaa umetisha..AMERICA inayoweza ongozwa na mwanamke hapa duniani ni american chips ya kinondoni[emoji125][emoji125]
USHINDI WA TRUMP NI USHINDI WA CCM. UKAWA KAAENI MBALI MTAUMIA.
Better be on good behavior when addressing on things that matter [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Speechless!
IronicSpeechless!
Sio hapa kwetu wiki nzima halaf mara figisu mara watu wanalinda kura mara sijui nini yaan usanii mtupu ...uwizi uwizi tu...Within 24 hrs watu wameshajua matokeo. Kweli mbele ni mbele tu.
USHINDI WA TRUMP NI USHINDI WA CCM. UKAWA KAAENI MBALI MTAUMIA.
Ingawa ulificha unazi wako lkn matokeo yamekuumiza balaa.Unreal!!!!!!
Pole sana mkuu.....naombea technology hio iwe na hapa kwetu TzSpeechless!
madhaifu gani waliyoyatoa na kumtoa kwenye reli Clinton?Clinton wanamuita crooked Clinton....Ana siri zake nyingi kwa kabati