2015 nchi haina mgombea Urais, isipokuwa

Ukitazama mwenendo wa chaguzi nchini, Lyatonga ali drive uchaguzi 1995 hata kama alipoteza. Mwaka 2000 uchaguzi haukuwa na mvuto kwasababu Mkapa alionesha kutosha na upinzani haukuwa na nyota alyeibuka wala chama kilichokuwa na nguvu yakufanana na NCCR ya Mrema 1995 au kuzidi pamoja na mageuzi yote ya kidemokrasia.

Mwaka 2005 Jakaya Kikwete ali drive uchaguzi ule hasa kutokana na mwamko wa sera ya vijana na siasa za upinzani kuwa kwenye mageuzi ya ndani kimfumo, Utumizi mkubwa wa pesa na rushwa ya kisiasa kushamiri.

Mwaka 2010 Dr Slaa alifanikiwa ku drive uchaguzi katika mazingira magumu kwani alikuwa anashindana na rais anaetetea nafasi yake, tofauti na Lyatonga alivyoshindana 1995 ambapo Mkapa alikuwa mpya na hakujulikana, Slaa alivutia kwasababu alikuwa anatoka chama chenye agenda, cha vijana wengi waliopuuzwa na kudhalilishwa na ccm, Chama chake cha Chadema kilichonekana mbadala na yeye mwenyewe akitokea bungeni ambako alifanikiwa sana ktk agenda ya ufisadi hivyo alikuwa tishio kwa utawala wa kijana kikavu.

Mwaka 2015 naona mashaka ndani na nje ya ccm. Ndani ya ccm simwoni mgombea mwenye mvuto japo nusu ya ule wa JK wa 2005, wale wote wanaojipambanua kutaka kugombea ni wahanga wa uchafuzi ulioasisiwa 2005 wakati wa kumwingiza JK madarakani. Membe, Lowasa, Migiro, Shein, Sitta, Makamba, Tibaijuka, Sumaye na Pinda (mtu wa jk) hawa wote wamejeruhiana mno, ni wachafu hawafai hata kusimama kwenye kundi la watu mia wakajinadi bila kutumia pesa,

Ukija kwenye upinzani kati ya wagombea wote vinara wa UKAWA bado mgombea mwenye nafuu ni Dr Slaa tu, Pamoja na kuporomoka kwa Slaa kutoka 2010 hadi 2015 bado ndio mtu sahihi ukilinganisha na Mh Mbatia au Lipumba kwasababu mbalimbali ambapo nitazichambua nipatapo wasaa,

Kwa upande wa cdm, Slaa angegombea uenyekiti na John Mnyika akawa katibu mkuu, Mbowe awe mwenyekiti bodi ya wadhamini. Itamsaidia Slaa kupumzika.

Mnyika ana bidii na uwezo wa kusimamia utendaji na anakijua chama vizuri, Pia itaondoa dhana ya uchaga na uchu wa madaraka. Slaa hana compromise na govt. Pia itaondoa dhana ya katiba ilibadilishwa ili mbowe aendelee. Kikubwa Dr Slaa akiwa juu serikali itakuwa na wakati mgumu sana. Mnyika pia atamsaidia management, Mh Mbowe kuwa mwenyekiti wa baraza la wadhamini bado atakuwa ni super threat kwa govt tofauti na watu wanavyofikiri.

Dr slaa alipaswa asiwe anafanya kazi operational za chama. Dr slaa anahitaji team ya watalamu wa siasa na uchumi kutoka vyuo vikuu ama wale ma expart, media na research institution pamoja na watu wenye uzoefu wa nchi kama kina Butiku, Salim, Mtei, Jenerali Ulimwengu nk.

Iwe team ya kama watu 5 ambao wanakutana kila wiki kumshauri na kumpa updates za nchi. Wamtengenezee agenda. Ahutubie kila mwezi kutoa mwelekeo wa nchi. Kazi za utendaji wa chama amwachie mnyika kama katibu mkuu. Wanachama na viongozi wakate rufaa kwake sio yeye akafukuze sasa wakate rufaa kwa nani au wamlilie nan?
Dr Slaa kwenye chama ni zaidi ya kiongozi. Ndio moyo wa chama kwasasa. Hajatengenezwa mwingine bado wakufikia yeye japo jopo la vijana wa kariba yake linaiva wakiongozwa na Lisu, Lema, Mnyika nk.

Chama kimewatengeneza watu kama mnyika na wengine ili wawe viongozi dhabiti wa kisiasa wanaoweza kusimama wenyewe

Chama cha CUF, Maalimu Seif na lipumba wangebaki bodi ya wadhamini. Chama kipate mawazo mapya hasa Bara lakini Seif aendelee kugombea kwakuwa hakuna mbadala wa Seif urais labda Jussa mwaka 2020 ikiwa ataendelea kutembea na kuishi katika mapito sahihi aishiyo leo kwa itikadi ya CUF.

NCCR baada ya uchaguzi mkuu 2010 kiifanya makosa kuto kuunda mkakati sahihi wa kukipeleka mbele, kilipaswa kujikita mikoa mitatu, kigoma, tabora na katavi kwani bado ni chama kidogo kwa rasilimali na maeneo hayo kina angalu wafuasi wengi.

Muungano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA umeonyesha mtazamo chanya wenye turufu ya ukombozi, UKAWA Ikiwa namna hivi ilivyo miezi hii na ikawa na dhamira ya ukombozi wa nchi na kuamua kusimamia MGOMBEA urais mmoja, basi wagawane majimbo ili kudhibiti bunge.

Kati ya majimbo 189 bara, waamue NCCR iachiwe majimbo 20, CUF 20, na CDM 149. Kule zanz yale 50 CUF iachiwe yote.

Nccr ikipewa majimbo 20 haitashinda zaidi ya 10. Na 10 itakuwa kujazia ruzuku. CUF bara hawezi kushinda zaidi ya 5 na 15 itakuwa ruzuku. CDM haiwezi kushinda zaidi ya 70. Mengine itakuwa ruzuku. Na zanz kati ya 50, CUF inaweza kushinda 25. Hivyo jumla UKAWA itakuwa imeshinda( 25+5), 70, na 10. Jumla 110 Kati ya majimbo 239.

Halafu ACT kama ni (chama kweli) ikijipambanua na agenda na ikacha siasa za kutumika kuidhoofisha CDM inaweza kushinda hata majimbo 15 wakiwa sereous kwasababu wanayo nafasi ya kuvizidi nccr na cuf. Na hawa UDP na TLP wakapata jumla 2.

Upinzani kwa ujumla itakuwa na viti 127 kati ya 139. Hii ni zaidi ya nusu, Na hivyo serikali itabidi iwe ya mseto UKAWA, CCM NA ACT.
HUYU ACT ATAAMUA NANI WAUNDE SERIKALI KATI YA CCM AU UKAWA lakini kutokana na pressure ya Umma kutaka mabadiliko, ACT HAITAWEZA KUUNGANA NA CCM. ITAKUWA KAMA ILIVOTOKEA UK LAST ELECTION

Liberaldemocratic ilikuwa 3rd force lakn mwamuzi. Ingawa kiitikadi inafanana na labor lakini ililazimika kuungana na Conservative ambayo kinyume chake kabisa policy wise na Ndivyo Labor ilivotoka.

Hivyo hitimisho ni kwamba 2015 nchi haina mgombea kutoka chama Tawala, Wote ni majeruhi ndani na nje ya upinzani wafanye haya.

Nilikuwa nakuheshimu sana... anyway

Umeandika Bangi tupu, fanya ufanyalo ila Mbowe na Dr. Slaa achana nao...

Your too low leo ndio nimekufahamu
 
With all due respect hapa umechemsha sana Mkuu... umewapa cha kuongea MACCM! Umehalalisha Propaganda za Uchaga na Ukabila plus kubadilishwa kwa katiba!!! Mabadiliko ya CHADEMA ni vema yasiwe na sura ya shinikizo za propaganda za CCM kwa njia yoyote ile... Strategies za kujenga ni muhimu sana Mkuu...

Mkuu hebu eleza nimewapaje cha kusema ililihali nimewaambia wazi hawana mtu wakusimama kugombea urais?

Kwenye maswa ya katiba na ukabila mimi katika makala haya nimeyapa jina la "dhana",

Dhana maana yake ni jambo la kufikirika, yani kwa mantiki nyingine ni jambo ambalo halipo,

Sasa na wewe mkuu unaipa dhana kuwa jambo hai???
 
mkuu yericko, ulinifurahisha uliposema mbowe akae pembeni aondoe uchaga kwenye chama
 
Mkuu hebu eleza nimewapaje cha kusema ililihali nimewaambia wazi hawana mtu wakusimama kugombea urais?

Kwenye maswa ya katiba na ukabila mimi katika makala haya nimeyapa jina la "dhana",

Dhana maana yake ni jambo la kufikirika, yani kwa mantiki nyingine ni jambo ambalo halipo,

Sasa na wewe mkuu unaipa dhana kuwa jambo hai???
Nimekusoma jimekuelewa na usipokuwa makinibutakuwa ni mkee wa pili wa zitto kwa kumtusi kamnda wetu Mbowe na Dr. Slaa.

Siku zingine uwe unaenda majukwa mengine.
 
Gombea wewe!.

Ukitazama mwenendo wa chaguzi nchini, Lyatonga ali drive uchaguzi 1995 hata kama alipoteza. Mwaka 2000 uchaguzi haukuwa na mvuto kwasababu Mkapa alionesha kutosha na upinzani haukuwa na nyota alyeibuka wala chama kilichokuwa na nguvu yakufanana na NCCR ya Mrema 1995 au kuzidi pamoja na mageuzi yote ya kidemokrasia.

Mwaka 2005 Jakaya Kikwete ali drive uchaguzi ule hasa kutokana na mwamko wa sera ya vijana na siasa za upinzani kuwa kwenye mageuzi ya ndani kimfumo, Utumizi mkubwa wa pesa na rushwa ya kisiasa kushamiri.

Mwaka 2010 Dr Slaa alifanikiwa ku drive uchaguzi katika mazingira magumu kwani alikuwa anashindana na rais anaetetea nafasi yake, tofauti na Lyatonga alivyoshindana 1995 ambapo Mkapa alikuwa mpya na hakujulikana, Slaa alivutia kwasababu alikuwa anatoka chama chenye agenda, cha vijana wengi waliopuuzwa na kudhalilishwa na ccm, Chama chake cha Chadema kilichonekana mbadala na yeye mwenyewe akitokea bungeni ambako alifanikiwa sana ktk agenda ya ufisadi hivyo alikuwa tishio kwa utawala wa kijana kikavu.

Mwaka 2015 naona mashaka ndani na nje ya ccm. Ndani ya ccm simwoni mgombea mwenye mvuto japo nusu ya ule wa JK wa 2005, wale wote wanaojipambanua kutaka kugombea ni wahanga wa uchafuzi ulioasisiwa 2005 wakati wa kumwingiza JK madarakani. Membe, Lowasa, Migiro, Shein, Sitta, Makamba, Tibaijuka, Sumaye na Pinda (mtu wa jk) hawa wote wamejeruhiana mno, ni wachafu hawafai hata kusimama kwenye kundi la watu mia wakajinadi bila kutumia pesa,

Ukija kwenye upinzani kati ya wagombea wote vinara wa UKAWA bado mgombea mwenye nafuu ni Dr Slaa tu, Pamoja na kuporomoka kwa Slaa kutoka 2010 hadi 2015 bado ndio mtu sahihi ukilinganisha na Mh Mbatia au Lipumba kwasababu mbalimbali ambapo nitazichambua nipatapo wasaa,

Kwa upande wa cdm, Slaa angegombea uenyekiti na John Mnyika akawa katibu mkuu, Mbowe awe mwenyekiti bodi ya wadhamini. Itamsaidia Slaa kupumzika.

Mnyika ana bidii na uwezo wa kusimamia utendaji na anakijua chama vizuri, Pia itaondoa dhana ya uchaga na uchu wa madaraka. Slaa hana compromise na govt. Pia itaondoa dhana ya katiba ilibadilishwa ili mbowe aendelee. Kikubwa Dr Slaa akiwa juu serikali itakuwa na wakati mgumu sana. Mnyika pia atamsaidia management, Mh Mbowe kuwa mwenyekiti wa baraza la wadhamini bado atakuwa ni super threat kwa govt tofauti na watu wanavyofikiri.

Dr slaa alipaswa asiwe anafanya kazi operational za chama. Dr slaa anahitaji team ya watalamu wa siasa na uchumi kutoka vyuo vikuu ama wale ma expart, media na research institution pamoja na watu wenye uzoefu wa nchi kama kina Butiku, Salim, Mtei, Jenerali Ulimwengu nk.

Iwe team ya kama watu 5 ambao wanakutana kila wiki kumshauri na kumpa updates za nchi. Wamtengenezee agenda. Ahutubie kila mwezi kutoa mwelekeo wa nchi. Kazi za utendaji wa chama amwachie mnyika kama katibu mkuu. Wanachama na viongozi wakate rufaa kwake sio yeye akafukuze sasa wakate rufaa kwa nani au wamlilie nan?
Dr Slaa kwenye chama ni zaidi ya kiongozi. Ndio moyo wa chama kwasasa. Hajatengenezwa mwingine bado wakufikia yeye japo jopo la vijana wa kariba yake linaiva wakiongozwa na Lisu, Lema, Mnyika nk.

Chama kimewatengeneza watu kama mnyika na wengine ili wawe viongozi dhabiti wa kisiasa wanaoweza kusimama wenyewe

Chama cha CUF, Maalimu Seif na lipumba wangebaki bodi ya wadhamini. Chama kipate mawazo mapya hasa Bara lakini Seif aendelee kugombea kwakuwa hakuna mbadala wa Seif urais labda Jussa mwaka 2020 ikiwa ataendelea kutembea na kuishi katika mapito sahihi aishiyo leo kwa itikadi ya CUF.

NCCR baada ya uchaguzi mkuu 2010 kiifanya makosa kuto kuunda mkakati sahihi wa kukipeleka mbele, kilipaswa kujikita mikoa mitatu, kigoma, tabora na katavi kwani bado ni chama kidogo kwa rasilimali na maeneo hayo kina angalu wafuasi wengi.

Muungano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA umeonyesha mtazamo chanya wenye turufu ya ukombozi, UKAWA Ikiwa namna hivi ilivyo miezi hii na ikawa na dhamira ya ukombozi wa nchi na kuamua kusimamia MGOMBEA urais mmoja, basi wagawane majimbo ili kudhibiti bunge.

Kati ya majimbo 189 bara, waamue NCCR iachiwe majimbo 20, CUF 20, na CDM 149. Kule zanz yale 50 CUF iachiwe yote.

Nccr ikipewa majimbo 20 haitashinda zaidi ya 10. Na 10 itakuwa kujazia ruzuku. CUF bara hawezi kushinda zaidi ya 5 na 15 itakuwa ruzuku. CDM haiwezi kushinda zaidi ya 70. Mengine itakuwa ruzuku. Na zanz kati ya 50, CUF inaweza kushinda 25. Hivyo jumla UKAWA itakuwa imeshinda( 25+5), 70, na 10. Jumla 110 Kati ya majimbo 239.

Halafu ACT kama ni (chama kweli) ikijipambanua na agenda na ikacha siasa za kutumika kuidhoofisha CDM inaweza kushinda hata majimbo 15 wakiwa sereous kwasababu wanayo nafasi ya kuvizidi nccr na cuf. Na hawa UDP na TLP wakapata jumla 2.

Upinzani kwa ujumla itakuwa na viti 127 kati ya 139. Hii ni zaidi ya nusu, Na hivyo serikali itabidi iwe ya mseto UKAWA, CCM NA ACT.
HUYU ACT ATAAMUA NANI WAUNDE SERIKALI KATI YA CCM AU UKAWA lakini kutokana na pressure ya Umma kutaka mabadiliko, ACT HAITAWEZA KUUNGANA NA CCM. ITAKUWA KAMA ILIVOTOKEA UK LAST ELECTION

Liberaldemocratic ilikuwa 3rd force lakn mwamuzi. Ingawa kiitikadi inafanana na labor lakini ililazimika kuungana na Conservative ambayo kinyume chake kabisa policy wise na Ndivyo Labor ilivotoka.

Hivyo hitimisho ni kwamba 2015 nchi haina mgombea kutoka chama Tawala, Wote ni majeruhi ndani na nje ya upinzani wafanye haya.
 
Hata kama nia yako nzuri; lakini maelezo yako hayana back-up. Ni maoni yanayotokana na hisia. Si vibaya mtu kutoa hisia za moyoni. Lakini hapa umewapa magamba cha kusimamia tena kwa muda wa kutosha. Na hapa ndio panaonekana kuleta matatizo kwa baadhi ya wafia CDM. Si umeona topic aliyoanzisha gamba fulani kwa jina la ritz? Ametumia udhaifu wa post yako kujaribu ku-score some political points (at least here at JF).
 
...damage is there... may be umechelewa sana na jinsi unavyojitetea unazidi kuharibu zaidi, ona wanavyo sherehekea!!! Utafiti upi unaoonyesha kuwa Slaa ameshuka kisiasa toka 2010?... Mamlaka ya Bodi ya Wadhamini ina nguvu kiasi gani hadi upendekeze Mbowe awe Mwenyekiti wake? propaganda sijui dhana ya ukabila ni vema ikawa inatamkwa na CCM wenyewe, wewe umei bold labda kwa kujua ama kutokujua, but all in all leo umeharibu sana kiasi kwamba kila mtu anashangaa, wengine wanadhani kuwa umenyimwa nafasi ya Uongozi ndani ya Chama!!! labda kesho unaweza kuja kivingine Mkuu ...
Mkuu hebu eleza nimewapaje cha kusema ililihali nimewaambia wazi hawana mtu wakusimama kugombea urais?

Kwenye maswa ya katiba na ukabila mimi katika makala haya nimeyapa jina la "dhana",

Dhana maana yake ni jambo la kufikirika, yani kwa mantiki nyingine ni jambo ambalo halipo,

Sasa na wewe mkuu unaipa dhana kuwa jambo hai???
 
Mkuu hebu eleza
nimewapaje cha kusema ililihali nimewaambia wazi hawana mtu wakusimama
kugombea urais?

Kwenye maswa ya katiba na ukabila mimi katika makala haya nimeyapa jina
la "dhana",

Dhana maana yake ni jambo la kufikirika, yani kwa mantiki nyingine ni
jambo ambalo halipo,

Sasa na wewe mkuu unaipa dhana kuwa jambo hai???

Tatizo lako unajiona star ndani yachama. Ungekuwa na busara haya ungeyaeleza ndani ya chama.
 
Hili bandiko pamoja na kuwa na harufu ya kumpigia kampeni ya uenyekiti babu but umejitahidi kuongea mambo ambayo wana CDM wengi wanaogopa kuyasema..!! But to me kukirudisha chama kwenye chati ya 2010 Lisu apewe uenyekiti na mnyika awe katibu mkuu..!!
 
Nilikuwa nakuheshimu sana... anyway

Umeandika Bangi tupu, fanya ufanyalo ila Mbowe na Dr. Slaa achana nao...

Your too low leo ndio nimekufahamu

Mkuu, tatizo la Yericko ni kuona hana uwezo wa kuwa Mw.Bavicha ndo akaona atoke kwa stail hii
 
Kesho utaliona gazeti la Uhuru front page watakavyosherehekea ... Zitto nae alianza kama masihara, mara ikaja bainika kuwa anatumiwa na CCM! Juzi kati Yericko alituambia kuwa amewekea fedha za kwenda kuzomea on behalf of CCM kule UDASA... Leo anakuja kutuambia kuwa Slaa ameporomoka kisiasa sijui kwa tafiti ipi aliyoifanya, anatuambia kuwa Mbowe apumzike ili kukubaliana na propaganda za CCM ... Something is Wrong ... I can Smell Rats from the distance ...
Hata kama nia yako nzuri; lakini maelezo yako hayana back-up. Ni maoni yanayotokana na hisia. Si vibaya mtu kutoa hisia za moyoni. Lakini hapa umewapa magamba cha kusimamia tena kwa muda wa kutosha. Na hapa ndio panaonekana kuleta matatizo kwa baadhi ya wafia CDM. Si umeona topic aliyoanzisha gamba fulani kwa jina la ritz? Ametumia udhaifu wa post yako kujaribu ku-score some political points (at least here at JF).
 
...damage is there... may be umechelewa sana na jinsi unavyojitetea unazidi kuharibu zaidi, ona wanavyo sherehekea!!! Utafiti upi unaoonyesha kuwa Slaa ameshuka kisiasa toka 2010?... Mamlaka ya Bodi ya Wadhamini ina nguvu kiasi gani hadi upendekeze Mbowe awe Mwenyekiti wake? propaganda sijui dhana ya ukabila ni vema ikawa inatamkwa na CCM wenyewe, wewe umei bold labda kwa kujua ama kutokujua, but all in all leo umeharibu sana kiasi kwamba kila mtu anashangaa, wengine wanadhani kuwa umenyimwa nafasi ya Uongozi ndani ya Chama!!! labda kesho unaweza kuja kivingine Mkuu ...

Hahaaa chadema inautaratibu wa kuruhusu demokrasia na uhuru wa mawazo,

Nikikuuliza hivi hicho unachosema ni damage kwa chama ni kipi? Kumbuka hapo juu nimekwambia dhana ni jambo la kufikiruka, sasa nautaka hiyo damage kwa chama...

Usiingie kwenye mkumbo wa vijana wa lumumba na wengine wenye uoni finyu
 
Acha kumbwela mbwela wew
jinamizi.eti unahama nchi,huna hata nauli ya kupanda daladala sembuse
ukaseme unahama nchi.kwa tz ilipofikia inahitaji mashine kama Lowassa
hilo ukubali ukatae

Mkuu, mimi binafsi namkubali El tatizo ccm. ila Chadema chama changu Dr. nae namkubali, nahisi naweza nikaaribu kura.
 
Hahaaa chadema
inautaratibu wa kuruhusu demokrasia na uhuru wa mawazo,

Nikikuuliza hivi hicho unachosema ni damage kwa chama ni kipi? Kumbuka
hapo juu nimekwambia dhana ni jambo la kufikiruka, sasa nautaka hiyo
damage kwa chama...

Usiingie kwenye mkumbo wa vijana wa lumumba na wengine wenye uoni
finyu

Yani wewe ni bora ukalala tu, huenda ukaamka kesho ukakuta hiyo bangi uliyovuta leo imepungua kichwani.
 
with all due respect hapa umechemsha sana mkuu... Umewapa cha kuongea maccm! Umehalalisha propaganda za uchaga na ukabila plus kubadilishwa kwa katiba!!! Mabadiliko ya chadema ni vema yasiwe na sura ya shinikizo za propaganda za ccm kwa njia yoyote ile... Strategies za kujenga ni muhimu sana mkuu...

i told him before about that,
we are the chadema.
We are the opposition members.
We are the politacal fighters.
-no true freedom comes easy.
-so y.nyerere you are wrong mr.although you have freedom of speech but for this one!
Mmh???
"as chadema's jf senior member you have to build our empere until 2015 with no any mind confussion".
 
Hahaaa chadema inautaratibu wa kuruhusu demokrasia na uhuru wa mawazo,

Nikikuuliza hivi hicho unachosema ni damage kwa chama ni kipi? Kumbuka hapo juu nimekwambia dhana ni jambo la kufikiruka, sasa nautaka hiyo damage kwa chama...

Usiingie kwenye mkumbo wa vijana wa lumumba na wengine wenye uoni finyu

Kijana usipende kuropoka bila kutazama ukweli.

Hata huyo kiongozi wako Uhuru wa mawazo tafsiri yake hajaijua bado.
Kiongozi yyt anatakiwa kuwa mfano kwa wafuasi wake.
Jamaa yako kaiba mke wa mtu halafu unategemea Watanzania wamkubali kuwaongoza?

Km leo kashindwa kuheshimu mpenzi wa mtu na mwenye Ngoma yake Yuko HAI na Anasikitika kila siku lkn juu ya Hivyo kaamua kuondoka na Josefina.
Kesho akikabidhiwa ikulu atakuwa na uchungu na nchi kweli?

Na wapambe km nyie ndo bure kabisa.
Hela ya sigara tu inakununua wewe fasta tu.
Unakashifu waislamu kila mara lkn cha ajabu ndio hao hao wanaokupa choo.

Hebu jicheki hapa kwenye hii picha.
Umetoa kichwa ka mjusi kafiri unasubiri kutumwa fegi fasta!

Na hao vibosile waliokuzunguka hapo Woote WAISLAMU.

Huna mpango hata kidogo wewe.
 
Attachments

  • 1407809921226.jpg
    1407809921226.jpg
    60.7 KB · Views: 63
Back
Top Bottom