2015 nchi haina mgombea Urais, isipokuwa

2015 nchi haina mgombea Urais, isipokuwa

Labda chadema ndio hawana mgombea.Ccm Lowassa ataongoza mtanange tunasubiri muda saa na dk

lowasa akiwa Rais nahama nchi... Maana watz watakuwa wapumbavu waliokufuru kumwingiza fisadi mashuhuri madarakani
 
Mkuu ANTHONY mataka

Kwakuwa umeliingiza suala la Zitto na kuadhibiwa na chama chake na urais wa Tanzania,

Nitaomba kwanza nikufafanue kidogo juu ya hulka ya Zitto na kilichompata katika siasa za kikamanda,

Kilichomuadhibu Zitto sio kutangaza kugombea urais wa Jamhuri, bali kukisaliti chama kwakushirikiana na ccm na kufanya uasi wenye kusudio la kuangusha uongozi uliopo kikatiba, huo ulikuwa ni uhaini ambao adhabu yake ni kunyongwa popote duniani.

Urais anaweza kuendelea kuhubiri kuwa atagombea popote alipo sasa hivi hata kwenye genge lake liitwalo ACT,

Tukirudi kwenye mada nikikuwa, kwa sasa ni lazima utatazama siasa za vyama hivi viwili tena kwakuangazia sura mhimu za vyama hivyo, sio ujana ama uzee sera wanazotembea nazo akina makamba.

Unaweza kuwa mzee na ukawa mtu wa hovyo, pia waweza kuwa kijana ukawa na busara za kitaifa zinazoweza kunufaisha taifa ukiwekwa magogoni,[/QUOTE

Zote hizi diversions.Wewe unajua structure ya serikali itakuwaje 2015 huku tunahangaika na upatikanaji was katiba wengine mnaanza kugawana viyeo.Tupe hakika basi ni S3 au S2???????&??? Huyo unavyemdhani yuko S3 au S2.Pisheni njia wangu me watafute serikali itakayofaa kwanza
 
Sijaona kama umezungumzia hali ya wapiga kura
na mabadiliko ya kisheria ktk tume ya uchaguzi
yanatarajiwa kufanywa na uboreshaji wadaftari
la kupiga kura vitakuwa na impact gani
2015,umejikita katika vyama tambua ccm
haishindi tu kwa box la kura ila mbinu na
mikakati michafu na halali so hivi vyote
vilitakiwa kuchanganuliwa,katika suala la
wagombea mimi nimetembea maeneo tofauti
Dr.slaa kama atapewa na zile kura Za cuf na
nccr kwa mgongo wa kuungana basi ccm
itapoteza urais kama ushindi wenyewe ndio ule
wa kura milion 5,any way sijafanya reseach
yoyote ile ila haya mambo kimsingi yanahitaji
research.....sijui umetumia kigezo gani kwamba
ACT kinaweza kubeba wabunge 15 sijui maeneo
gani?maana hiki chama kipo kigoma tu kwasasa
na hata huku mtaani hawakijui na mda huu ndio
unayoyoma mwakani hakuna mda wa kujenga
chama bali kupambana ......haya tu ila nitarudi
 
Mkuu kwani mada umeielewa?
 
Unayosema nikweli kabisa sijayazungumzia, sio kwa bahati mbaya bali kwa mantiki ya hoja niliyoiweka,

Makala inahusu mgombea urais, sio muundo wa uchaguzi na tume ya uchaguzi ama wapiga kura,

Huko nipatapo wasaa nitachambua kwa kirefu zaidi na utapata mafaa kabisaaa
 
lowasa akiwa Rais nahama nchi... Maana watz watakuwa wapumbavu waliokufuru kumwingiza fisadi mashuhuri madarakani

Acha kumbwela mbwela wew jinamizi.eti unahama nchi,huna hata nauli ya kupanda daladala sembuse ukaseme unahama nchi.kwa tz ilipofikia inahitaji mashine kama Lowassa hilo ukubali ukatae
 
Kwa mara ya kwanza na mbele ya hadhira yericko amekiri na kuitambua act kuwa ni very potential na inaweza kuwa mkamilisha mizani kwenye uchaguzi 2015, big up sana kwa kuwa mkweli wa nafsi yako, umeitendea haki kabisa na yale mengine mliowatungia na kuwasingizia mukiri kuwa ilikuwa ni fitna na kutafuta kulinda vyeo ambavyo sasa imeshindikana baada ya ukweli wa kuchakachua katiba ya cdm kudhihirika.
 
Umekirupuka sana, hebu tulia usome na kutafakari
 
Hawa ACT umewapa wabunge wengi ...hata wabunge wengine wakiamia ACT ni ngumu wao kupata 15.Inabidi uchunguzi na makadirio yako ufanye vizuri. Huyo mtu ambaye angeweza kuweka misingi ya hicho chama mwenyewe ubunge aliponea chupuchupu ,Pili credibility yake imeshuka sana, tatu chama hakijengwi overnight muda uliobaki ni ngumu kwao kupata wabunge 15 .....labda mchiane majimbo kwa mkataba wa kupigiana kura za urais.
 
Hii analysis yako nina mashaka nayo sana haswa hapo kwenye mchanganuo wa vyama vingine. Hawa Act ndo kwanza wanaanza kuna vyama kama UDP, TLP na vingine kama DP na NCCR vina more than 15 years katika game ya siasa na vingine havijawahi kupata hata zaidi ya wabunge 10 hii 15 ya ACT inatokea wapi. Afu mjue hicho chama kina promo hapa Jf na si huku uraiani na ninapata mashaka kama mtu anafata haya yanayatokea jf ku reflect jamii yetu ni makosa sana ni watu wachache sana wanaoijua JF si vyuoni si mjini kijijini ndo kabisa na majority ya watanzania wako huko. Kwa mawazo kama haya CCM watakuwa wakiwanyang'anya tonge mdomoni then mnakuja na excuse tulizozizoea. What I like with ccm wanajua akili za wanao watawala na ndo maana hadi sasa wapo madarakani. Msiwachukulie kirahisi kama mnavyofikiria hii ni vita msizani haya mnayoyaandika hapa wao hawayaoni.
 
BEN SAANANE, MUNGI NA MTOI NI WANAFKI SANA. Uzi kama huu hawataki kuchangia kabisa maana Mbowe amewekwa kwenye subs,

Nitarudi kuchangia baada ya hao mapacha watatu kuchangia. Sidhani kama hadi muda huu hawajaona hili bandiko la mkuu Yericko

Unayosema nikweli
kabisa sijayazungumzia, sio kwa bahati mbaya bali kwa mantiki ya hoja
niliyoiweka,

Makala inahusu mgombea urais, sio muundo wa uchaguzi na tume ya uchaguzi
ama wapiga kura,

Huko nipatapo wasaa nitachambua kwa kirefu zaidi na utapata mafaa
kabisaaa
 
Ukitazama mwenendo wa chaguzi nchini, Lyatonga ali drive uchaguzi 1995 hata kama alipoteza. Mwaka 2000 uchaguzi haukuwa na mvuto kwasababu Mkapa alionesha kutosha na upinzani haukuwa na nyota alyeibuka wala chama kilichokuwa na nguvu yakufanana na NCCR ya Mrema 1995 au kuzidi pamoja na mageuzi yote ya kidemokrasia.

Mwaka 2005 Jakaya Kikwete ali drive uchaguzi ule hasa kutokana na mwamko wa sera ya vijana na siasa za upinzani kuwa kwenye mageuzi ya ndani kimfumo, Utumizi mkubwa wa pesa na rushwa ya kisiasa kushamiri.

Mwaka 2010 Dr Slaa alifanikiwa ku drive uchaguzi katika mazingira magumu kwani alikuwa anashindana na rais anaetetea nafasi yake, tofauti na Lyatonga alivyoshindana 1995 ambapo Mkapa alikuwa mpya na hakujulikana, Slaa alivutia kwasababu alikuwa anatoka chama chenye agenda, cha vijana wengi waliopuuzwa na kudhalilishwa na ccm, Chama chake cha Chadema kilichonekana mbadala na yeye mwenyewe akitokea bungeni ambako alifanikiwa sana ktk agenda ya ufisadi hivyo alikuwa tishio kwa utawala wa kijana kikavu.

Mwaka 2015 naona mashaka ndani na nje ya ccm. Ndani ya ccm simwoni mgombea mwenye mvuto japo nusu ya ule wa JK wa 2005, wale wote wanaojipambanua kutaka kugombea ni wahanga wa uchafuzi ulioasisiwa 2005 wakati wa kumwingiza JK madarakani. Membe, Lowasa, Migiro, Shein, Sitta, Makamba, Tibaijuka, Sumaye na Pinda (mtu wa jk) hawa wote wamejeruhiana mno, ni wachafu hawafai hata kusimama kwenye kundi la watu mia wakajinadi bila kutumia pesa,

Ukija kwenye upinzani kati ya wagombea wote vinara wa UKAWA bado mgombea mwenye nafuu ni Dr Slaa tu, Pamoja na kuporomoka kwa Slaa kutoka 2010 hadi 2015 bado ndio mtu sahihi ukilinganisha na Mh Mbatia au Lipumba kwasababu mbalimbali ambapo nitazichambua nipatapo wasaa,

Kwa upande wa cdm, Slaa angegombea uenyekiti na John Mnyika akawa katibu mkuu, Mbowe awe mwenyekiti bodi ya wadhamini. Itamsaidia Slaa kupumzika.

Mnyika ana bidii na uwezo wa kusimamia utendaji na anakijua chama vizuri, Pia itaondoa dhana ya uchaga na uchu wa madaraka. Slaa hana compromise na govt. Pia itaondoa dhana ya katiba ilibadilishwa ili mbowe aendelee. Kikubwa Dr Slaa akiwa juu serikali itakuwa na wakati mgumu sana. Mnyika pia atamsaidia management, Mh Mbowe kuwa mwenyekiti wa baraza la wadhamini bado atakuwa ni super threat kwa govt tofauti na watu wanavyofikiri.

Dr slaa alipaswa asiwe anafanya kazi operational za chama. Dr slaa anahitaji team ya watalamu wa siasa na uchumi kutoka vyuo vikuu ama wale ma expart, media na research institution pamoja na watu wenye uzoefu wa nchi kama kina Butiku, Salim, Mtei, Jenerali Ulimwengu nk.

Iwe team ya kama watu 5 ambao wanakutana kila wiki kumshauri na kumpa updates za nchi. Wamtengenezee agenda. Ahutubie kila mwezi kutoa mwelekeo wa nchi. Kazi za utendaji wa chama amwachie mnyika kama katibu mkuu. Wanachama na viongozi wakate rufaa kwake sio yeye akafukuze sasa wakate rufaa kwa nani au wamlilie nan?
Dr Slaa kwenye chama ni zaidi ya kiongozi. Ndio moyo wa chama kwasasa. Hajatengenezwa mwingine bado wakufikia yeye japo jopo la vijana wa kariba yake linaiva wakiongozwa na Lisu, Lema, Mnyika nk.

Chama kimewatengeneza watu kama mnyika na wengine ili wawe viongozi dhabiti wa kisiasa wanaoweza kusimama wenyewe

Chama cha CUF, Maalimu Seif na lipumba wangebaki bodi ya wadhamini. Chama kipate mawazo mapya hasa Bara lakini Seif aendelee kugombea kwakuwa hakuna mbadala wa Seif urais labda Jussa mwaka 2020 ikiwa ataendelea kutembea na kuishi katika mapito sahihi aishiyo leo kwa itikadi ya CUF.

NCCR baada ya uchaguzi mkuu 2010 kiifanya makosa kuto kuunda mkakati sahihi wa kukipeleka mbele, kilipaswa kujikita mikoa mitatu, kigoma, tabora na katavi kwani bado ni chama kidogo kwa rasilimali na maeneo hayo kina angalu wafuasi wengi.

Muungano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA umeonyesha mtazamo chanya wenye turufu ya ukombozi, UKAWA Ikiwa namna hivi ilivyo miezi hii na ikawa na dhamira ya ukombozi wa nchi na kuamua kusimamia MGOMBEA urais mmoja, basi wagawane majimbo ili kudhibiti bunge.

Kati ya majimbo 189 bara, waamue NCCR iachiwe majimbo 20, CUF 20, na CDM 149. Kule zanz yale 50 CUF iachiwe yote.

Nccr ikipewa majimbo 20 haitashinda zaidi ya 10. Na 10 itakuwa kujazia ruzuku. CUF bara hawezi kushinda zaidi ya 5 na 15 itakuwa ruzuku. CDM haiwezi kushinda zaidi ya 70. Mengine itakuwa ruzuku. Na zanz kati ya 50, CUF inaweza kushinda 25. Hivyo jumla UKAWA itakuwa imeshinda( 25+5), 70, na 10. Jumla 110 Kati ya majimbo 239.

Halafu ACT kama ni (chama kweli) ikijipambanua na agenda na ikacha siasa za kutumika kuidhoofisha CDM inaweza kushinda hata majimbo 15 wakiwa sereous kwasababu wanayo nafasi ya kuvizidi nccr na cuf. Na hawa UDP na TLP wakapata jumla 2.

Upinzani kwa ujumla itakuwa na viti 127 kati ya 139. Hii ni zaidi ya nusu, Na hivyo serikali itabidi iwe ya mseto UKAWA, CCM NA ACT.
HUYU ACT ATAAMUA NANI WAUNDE SERIKALI KATI YA CCM AU UKAWA lakini kutokana na pressure ya Umma kutaka mabadiliko, ACT HAITAWEZA KUUNGANA NA CCM. ITAKUWA KAMA ILIVOTOKEA UK LAST ELECTION

Liberaldemocratic ilikuwa 3rd force lakn mwamuzi. Ingawa kiitikadi inafanana na labor lakini ililazimika kuungana na Conservative ambayo kinyume chake kabisa policy wise na Ndivyo Labor ilivotoka.

Hivyo hitimisho ni kwamba 2015 nchi haina mgombea kutoka chama Tawala, Wote ni majeruhi ndani na nje ya upinzani wafanye haya.

Mh??????..... uchambuzi uliojengwa kwenye misingi ya hisia na hofu zaidi badala ya uhalisia..... ACT wanashinda viti 15 na CUF na NCCR 15??, Dr Slaa ameporomoka ukizingatia kitu gani?
Dr.Slaa akiwa katibu mkuu anaondoa Dhana ya Uchaga, kwahiyo mchaga hatakiwi kuwa mwenyekiti?
Ur analysis smell fishy brother.....
 
Back
Top Bottom