2015 nchi haina mgombea Urais, isipokuwa

2015 nchi haina mgombea Urais, isipokuwa

Hivi ni kweli haya ulioandika unadhani ni facts au umachanganya na ushabiki?
Wote tujitahidi kufungua macho tuone ngambo. Hasa kuhusu uaminifu wa watu.
Kama inadhani ulioandika ni halisi na hujafunikwa na blanketi la ushabiki.
 
Pata 5GB TIGO INTERNET BUNDLE SPEED BILA KIKOMO MWEZI MZIMA kwa gharama nafuu kabisa ya Tsh.9000/= badala ya 25000/= kwa mahitaji nicheck kupitia namba hii 0674637312 nikuunganishe fasta.
UHAKIKA!
 
Aisee.Mimi mwenyewe Chadema ila Lowasa hana mpinzani.Lile ni jembe lipewe nchi.

Mmoja ameona ukweli. Karibu kwenye safari ya matumaini. We can always hope for the best. There is no guarantees in life.
 
hoya dogo acha chuki binafsi utasemaje mwaka 2000 na 2005 hakukuwa na upinzani ,,,unajua kilichofanyika 2005,ww kura yenyewe ulipga@????
 
Back
Top Bottom