Ngoja nilitee petrol kabisa nichochoee moto......mwaka ujao :mimba::mimba: lazima mwaka huu amelegeza kamba..:eyebrows::eyebrows:
- Get pregnant .... AGAIN. Baba watoto kachachamaa....
Ngoja nilitee petrol kabisa nichochoee moto......mwaka ujao :mimba::mimba: lazima mwaka huu amelegeza kamba..:eyebrows::eyebrows:
Mipango yangu yote inaenda vizuri na nimeanza kuona mafanikio jinsi mwaka unavyoisha.
kwahiyo GOD IS GREAT.
Natumaini hata plans za 2012 zitaenda vizuri.
Mimi mwaka 2011 nilifanikiwa kujiunga JF na kufahamiana na mtu kama FaizaFoxy ingawa hata hivyo nilipoonana naye alikataa tusipige picha.
Masomo kama kawaida ila kuongeza jitihadaExcellent KWELI GOD is GREAT aissee.... Ashukuriwe kwa Meeeeeengi!! Pamoja na hayo hebu dadafua plans zako basi.....lol
Masomo kama kawaida ila kuongeza jitihada
kuwa na safari mhimu sana ambayo nitafurahia
lol na mengine
Kwa kweli mimi naomba huu mwaka uiishe hata leo honestly kabisa this year wasn't good for me lot of obstacles up and downs ila namshukuru Mungu kwa kuendelea kuniweka haiHahahahaha..... PA Niharakishe kusema samahani kwa makosa yoote ambayo
yapo kwenye list yako.....lol... Ila najua hamna kilichokua kimeharibika.
B2T Hebu bana jibu swali how 2011 had treated you..... BTW unashabikia hio hali? watoto nilowazalia hawatoshi jamani? lol:alien:
2011, what a year it has been!
Karibu 2012:
- Nimetuzwa a National award na an International Award for the job my team and I make for rural communities
- Nimeanza a distant relation with my husband (good and bad...)
- Nimekua karibu zaidi na Mungu wangu (I am a muslim)
But these are my birthday resolution (august), this is merely the time to re-affirm them and assess the first term.
- Get back to my family (end the distant relation!!!)
- Get back to my job (and get promoted, of course)
- Boost my little farm project...
Kwa kweli mimi naomba huu mwaka uiishe hata leo honestly kabisa this year wasn't good for me lot of obstacles up and downs ila namshukuru Mungu kwa kuendelea kuniweka hai
kuwa young kuna raha yake pia kuna challanges kibao za kuumiza kichwaJamani.... Ukisikia the beauty of being young.... Sometimes I envy young people wishing niwe with this mind but young... would have don a lot of things tofauti. Tukiwa wadogo time huenda taraatibu na mipango yetu mara nyingi based on ones self.... Hata hivo it is your time katika maisha yako to live to the fulllest!
It was a wonderful year my dear, as kila kitu kilicho tokea kimenisaidia kwenda mbele (like misiba, distant relation etc). I was able to use them positively. Hapa tunafika almost mwisho wa mwaka, balance iko largely positive!QN. Can you say exactly in general of it was good or bad for you.... Note that the good/bad should overrun the other.....