Yes Ndiyo huyohuyo nilikuwa nashindwa kulikumbuka jina hilo,ndiye aliyeandamana peke yake
salumu nashangaa hili jina la hapy limetokea wapi nakosa majibuDah nmetokaa mpk machozi kipindi hikii hali ilikuwa tete mno, tumefka tu chuo 2010, tukamkuta Ally Hapi (chuoni alijulkana kama Salum) mwanaharakati akatuaminisha kuwa yeye ni Mpinzani anampinga rais (Kipara) ambaye alitajwa kama mwana CCM kumbe mchumia tumbo Salum Sijui Hapi nilikuwa namuona ndumilakuwilii mnoo, mwisho wa siku kwa usaliti alioufanya alikimbia Chuoo manake raia walkuwa na Hasira nae Vibayaa ila tanzania wasaliti ni wengi mno, nakumbuka baada ya wanaharakati wengi kufukuzwa ndo wale viongozi wa Daruso namkumbuka mbusule ambae alikuwa Speaker walivosimama kututetea wakatemwa pia ila mule mule Daruso walikuwemo machizi, basii wanafunzi wakajiweka pembeni, akaibuka Ndunguru jamaa alkuwa na mwilii mkubwa, Hoja nzito nae akakamatwaa ndo akatokea Alshabaab...Huyu jamaa alkuwa Kichwa, Organiser mzurii Mno, aaaah nmemkumbka Alshabiib haaa Kizazi cha Kuhojii kilishiaa hapaa UDSM....
yaani ukitaka chakula cha anasa mabibo hostel pale victoria ndo unakula cha 1000 kizuriii wali maini au nyamaTulidai 10,000 tukaongezewa ila 7,500 ila sasa hivi naskia ni 8,500 yani hadi leo haijafika 10,000 kwa siku daah ila enzi zile maisha yalikua marahisi sana yani RB 600 Wali Kitenesi(Njegere) ilikua 800 daah na juice ilikua 300 yani 3000 unaishi vizuri kabisa daah
Wew Una uhakika sijaajiriwa?
Daah mabibo nilikaaga kuanzia 2nd year hadi mwaka wa mwisho kulikuaga fresh sana misosi pale kwa wale wapemba ilikua si mchezo, victoria hata siikumbuki ilikuaga ipo sehemu gani? Au ule mtaa wa nyuma ulioongozana masteshenari kama ukiwa unakula shato pori?yaani ukitaka chakula cha anasa mabibo hostel pale victoria ndo unakula cha 1000 kizuriii wali maini au nyama
Yale yale ya kwetu mkuuDaah aisee maharage yenyewe yalikuwa mazuri au yaleyale ya kwetu?
Hapo njaa mkuu...hiyo chai maharage hauskii hata imepita wapiChai na maharage kama dinner bado unasema ilikuwa shida sana?
huo huo hahah eti shato poriDaah mabibo nilikaaga kuanzia 2nd year hadi mwaka wa mwisho kulikuaga fresh sana misosi pale kwa wale wapemba ilikua si mchezo, victoria hata siikumbuki ilikuaga ipo sehemu gani? Au ule mtaa wa nyuma ulioongozana masteshenari kama ukiwa unakula shato pori?
Ndio "wasomi" wetu hawa waliosomea ujinga! Kuandika hawawezi, kuongea hawawezi, wala lugha yoyote hawawezi!Endelea na uandishi wako huo. Ndio maana mnaozea mtaani bila kazi. Nani atakupa kazi unaandika paragraph haina kituo. Unaandika ripoti kama text message.
afuu acheni kunitajataja humu jukwaaniDah nmetokaa mpk machozi kipindi hikii hali ilikuwa tete mno, tumefka tu chuo 2010, tukamkuta Ally Hapi (chuoni alijulkana kama Salum) mwanaharakati akatuaminisha kuwa yeye ni Mpinzani anampinga rais (Kipara) ambaye alitajwa kama mwana CCM kumbe mchumia tumbo Salum Sijui Hapi nilikuwa namuona ndumilakuwilii mnoo, mwisho wa siku kwa usaliti alioufanya alikimbia Chuoo manake raia walkuwa na Hasira nae Vibayaa ila tanzania wasaliti ni wengi mno, nakumbuka baada ya wanaharakati wengi kufukuzwa ndo wale viongozi wa Daruso namkumbuka mbusule ambae alikuwa Speaker walivosimama kututetea wakatemwa pia ila mule mule Daruso walikuwemo machizi, basii wanafunzi wakajiweka pembeni, akaibuka Ndunguru jamaa alkuwa na mwilii mkubwa, Hoja nzito nae akakamatwaa ndo akatokea Alshabaab...Huyu jamaa alkuwa Kichwa, Organiser mzurii Mno, aaaah nmemkumbka Alshabiib haaa Kizazi cha Kuhojii kilishiaa hapaa UDSM....
Hahaha shato pori ukiwa unasubiria boom liunganishwe na boom jengine inabidi uporike halafu ukiziona shato unageuza sura kimtindo kabla hawajabomoa barabara ilikua ukiwa unaporika na mmetoka kwenye kipindi unaonekana live bila chenga haswa kwenye foleni yale maisha yalikua matamu sana...huo huo hahah eti shato pori
acha kabisa lile life
Ikabidii Kusepaa nkaja kuckiaa ni mkuu wa Wilayaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]salumu nashangaa hili jina la hapy limetokea wapi nakosa majibu
jamaa alijifanya mwanaharakati picha yake ikaonekana gazetini akiwa dodoma kavaa sare ya chama...
gazeti likabandikwa pale cafteria ya pili baada ya manzese pale walikua wanaekaga matangazo mengi
ndo raia wakajua jamaa ni CCM
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenza kwa kuruka viunzi sikuwezi.
Hapo sawaMgomo kina al shabab ulikua ni wakutetea madogo waliokosa mkopo na vyakula vibovu kweye migahawa ya chuo
I hope ulishapoa mkuuYale yale ya kwetu mkuu
Mkuu ukifuatilia maisha ya JF na kutaka mtu afanye unavyotaka utapata tabu sana mkuu, kuna mtu id siiweki hapa mada zake za humu anazoandika pale MMU na status yake ni tofauti.Ndio "wasomi" wetu hawa waliosomea ujinga! Kuandika hawawezi, kuongea hawawezi, wala lugha yoyote hawawezi!
Tuna mainjinia (naogopa hata kuwaita mainjinia) wasioweza kujenga hata barabara ya changarawe, achilia mbali kutandika lami! Juzi mpaka kaja mchina ndio kafunga Round about!
Nikiwaona jioni wanapokatisha huwa nacheka sanaHahaha shato pori ukiwa unasubiria boom liunganishwe na boom jengine inabidi uporike halafu ukiziona shato unageuza sura kimtindo kabla hawajabomoa barabara ilikua ukiwa unaporika na mmetoka kwenye kipindi unaonekana live bila chenga haswa kwenye foleni yale maisha yalikua matamu sana...
Tubinti tumetundikwa mimba balaahuo huo hahah eti shato pori
acha kabisa lile life
Hahaha bado unakaa viunga vile mkuu daah? Hahaha maana lazima utokee COET ukiwa unafanya harakati za kuporikaNikiwaona jioni wanapokatisha huwa nacheka sana