BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,533
- 11,027
😁Daah tuamkieni jamani
😁Daah tuamkieni jamani
Kumbe mkuu ulinitangulia nimesoma hapo jkt mkuu 😂😂😂Form five Jitegemee JKT High school
Kwahiyo nikuite babu au? 😂😂JF unaweza kukuta unatukanwa na mwanao au mjukuu wako 😅😅😅
Baba 😅😅😅Kwahiyo nikuite babu au? 😂😂
Unapenda utoto wewe 😂😂😂2006 hata baba na mama hawajuani bado
aba mdogoBaba 😅😅😅

Mbona tobaa??Tobaa![]()
Sijui hata nimefikiria niniMbona tobaa??
Mmeanzaa, I mean no malice to nobody 😂😆Wewe Johnnie Walker wewe hebu acha uongo, midevu ile umenyoa miaka zaidi hata 7. Leo useme umezaliwa 2006?
Kwa uongo huu nimeghairi, kukupa ile vocha ya buku 10...