Habari wakuu mm ni mzima wa afya ila naandika uzi huu nikiwa na akili nyingine sio ile impendezayo mungu na kama ntakosea basi naomba mnisamehe , nadhani nilishawahi kuleta tatizo langu humu jamvini kuhusu mambo au mwenendo wa ndoa yangu na nikapata ushauri na wengine kukejeli bila kujali ni madhara gani ntakuja kupata ila mm lengo langu lilikuwa sio kuacha au kuharibu ndoa yangu kwani naipenda familia yangu na vile vile humu jf ni sehemu nyingine yakufaham mambo amabayo huyajui kwani kuna watu wanaweza kukupa ushauri na kufanikisha kile ambacha kina kusibu , sasa basi mm nilikuwa na tatizo la cm ya wife kuwa bize sana ktk text ya ujumbe mfupi na vile huwa cm haikai mezani au kuweka kama mm ninavyo weka cm yangu ila yake mda wote nikirudi kazini iko bize sana yani labda azime nikaja kuomba ushauri hapa kuwa cm ya wife ni nikia C3 nataka kujua au mtu anipe utalam wakujua text zote alizo kuwa anatumiwa ili nimjue anaye haribu ndoa yangu kweli nilipata ushauri na wengine kunibeza ila leo asubuhi nimeona sms ikisema kuwa ' asante bby jana umenifuhisha sana kwa penzi lako ' na ukichek jana kweli alirudi home saa 2 usiku akiwa hoi na kusema amechelewa usafiri kwa hiyo ametembea kwa mguu sasa now hakuna tena amani na cm ninayo mm na niko chumbani kwangu nimejifungia na tafakari hatma ya ndoa yangu na cm nimepiga amepokea mwanaume kwahiyo naombeni ushauri wakuu pleace pleace familia yangu inaanagamia nnawatoto wawili jamani na huyu mwanamke amenichefua sana jamaani hapa sija,mwambia ndugu yeyote na lia kwa uchungu sna