2 SCREENS kwenye King'amuzi Kimoja!

2 SCREENS kwenye King'amuzi Kimoja!

tv yako haina kabisa av? why utumie hicho kifaa? sijaelewa hapo
20170415_182400.jpg
20170415_182451_001.jpg
20170415_182443_001.jpg
20170415_182525.jpg

Tv yangu ipo hvyoo sehemu ya AV haina huwa najiuliza Why au hiyo sehemu iyo wazi karibu na HDMI 2 ilipaswa kuwa na AV....au kuna kitu kilifanyika
 
Nimesoma hapo chini ya TV nikaona ni SCART nimeweka IN na Source nikaweka SCART lakini haioneshi HD QUALITY INASHUKA KIDOGO
 
scart ni hilo connector kubwa ulilotuma picha yake mwanzo,

na connector zote za zamani hazikupi HD quality ndio maana unaona sasa hivi wanazireplace na connector mpya kama HDMI na wenzake.
 
Anhaaa sawa Chief asante sanaa hiyo TV si ninaweza enda kwa fundi akaweka AV cable
 
sina uhakika mkuu, kwanini usigoogle model yake uangalie specs? maana ukiwa na specs utajua kama inakubali au haikubali hio av
 
Hellow.....Nina King'amuzi cha Dstv sasa nahitaji kuunganisha TV 2 zote zioneshe kwa wakati mmoja! Nina hitaji kifaaa gani na ni sh.ngapi niendee kariakoo Sasa hivi! au kuna njia Gani ya kufanya msaada plz

Cc:Chief Mkwawa
Usihangaike sana. Kuna kifaa cha AV to RF converter ambacho kinabadili picha na sauti kutoke kwenye dekoda kuwa Radio Frequencies RF ambapo intoa port ya BNC (port kama ile ya TUNER au antenna) ambapo utachomeka COAXIAL cable ya TV yako na kwa upande wa TV utaichomeka sehemu ya antenna na utaSEARCH kama TV za analog. Kama unataka kuunga TV zaidi ya Moja basi utatumia COAXIAL SPLITTER na sio DISEQ SWITCH.

technique hii nimestudy kwenye hotel moja ingawa sikufanikiwa kupiga picha jina la hicho kifaa.

Ila wanakuwa na dekoda kama 10 za DSTV na zote zimeungwa kwenye AV to RF na baadae hizo coaxial zikakutanishwa kwa kifaa kingine ikatoka COAXIAL moja ambayo hiyo ndio inatumika kwenye hotel nzima
 
Hivi vifaa unaweza weka na picha ake kabisa?
 
Kwa iyo analipiadecoda zote?
 
Back
Top Bottom