2 SCREENS kwenye King'amuzi Kimoja!

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Hellow.....Nina King'amuzi cha Dstv sasa nahitaji kuunganisha TV 2 zote zioneshe kwa wakati mmoja! Nina hitaji kifaaa gani na ni sh.ngapi niendee kariakoo Sasa hivi! au kuna njia Gani ya kufanya msaada plz

Cc:Chief Mkwawa
 
Nunua cable ya hdmi.

Angalia ktk king'amuzi chaku kuna sehemu imeandikwa hdmi na TV yako kuna sehemu imeandikwa hdmi.
 
hapo unahitajika kununua decoda ya 2 kisha watakusajili kifurushi cha extra view
 
Nunua cable ya hdmi.

Angalia ktk king'amuzi chaku kuna sehemu imeandikwa hdmi na TV yako kuna sehemu imeandikwa hdmi.
Samahani mie ninacho King'amuzi cha zamani kisicho na HDMI naweza badili kuwa na chenye HDMI? Kuna utaratibu gani?
 
Kama unaweza niwekea picha plz
hii picha ya nyuma ya dstv
3012662_150411031110_single-view-hd-decoder-back_480x136.jpg

hio namba moja ni hdmi nunua waya wa hdmi halafu connect na tv ya kwanza

hio namba mbili ni waya wa av hapo utachomeka waya wake na uende tv ya pili

av cable ni huu
1733i58E37BE521A74069

na hdmi cable ni huu
HDMI-cable.png
 
Samahani mie ninacho King'amuzi cha zamani kisicho na HDMI naweza badili kuwa na chenye HDMI? Kuna utaratibu gani?
walikuwa na offer kwa sh 50,000 wanakubadilishia kwenda chenye hdmi, na unakosa mengi sana sababu kisicho na hdmi chanell zake zina quality mbovu sana hasa ligi ya uingereza ile design yao mpya inaonesha vibaya kwenye chanell zisizo za HD
 
Mawasiliano 0672852415 uliza kuhusu chochote tuna kila kitu kuanzia TV ac majenereta friji friza tunatuma mikoani pia tupo Kariakoo mtaa wa msimbazi
 
hii picha ya nyuma ya dstv
3012662_150411031110_single-view-hd-decoder-back_480x136.jpg

hio namba moja ni hdmi nunua waya wa hdmi halafu connect na tv ya kwanza

hio namba mbili ni waya wa av hapo utachomeka waya wake na uende tv ya pili

av cable ni huu
1733i58E37BE521A74069

na hdmi cable ni huu
HDMI-cable.png
Chief nimejaribu lakini ya pili inaniambia no signals kwaninkwenye source nitaweka nini???? Katika tv ya pili
 
walikuwa na offer kwa sh 50,000 wanakubadilishia kwenda chenye hdmi, na unakosa mengi sana sababu kisicho na hdmi chanell zake zina quality mbovu sana hasa ligi ya uingereza ile design yao mpya inaonesha vibaya kwenye chanell zisizo za HD
Chief Thankx imekubarii sorry kuna AV ndefu kabisaaaaa tofauti na hizii au tofauti na hyo ulio nitumia!
 
yap zipo ndefu, na nafkiri av ni rahisi sana kutengeneza mwenyewe nyumbani sababu vile vichwa vinauzwa nunua tu waya kwa mita tengeneza mwenyewe. au muombe fundi wa karibu akusaidie ni rahisi tu.
 
Tatizo mimi nina STAR-X nchi 32 ukiweka HDMI inakubali lakin AV haikubali japo nina hiki kifaa
20170415_155409.jpg
20170415_155425.jpg
20170415_155430.jpg

Inatakiwa nikiweke vipi ili kisomeee je ni OUT or IN na kwenye source si itatakiwa niweke AV au ipi kati ya hizi
20170415_163356.jpg
 
Back
Top Bottom