195 gigapixel ndani ya picha moja.

Technology inazidi kukua sana, hiyo ni picha iliyopigwa mji wa Shanghai china. Ina resolution ya 195 GIGAPIXEL. unaweza ukazoom mpaka plate no# za gari zikajaa kwenye screen na picha isiharibike.

bird-eye
Nnahisi hii Bird Eye ni high resolution satellite kama zilivyo Quick bird, GeoEye-1, Ikonos nk.

Kwa high resolution satellite imagery ni kawaida hizo resolution.
 
Hizo ni picha zilizounganishwa kijanja na wala sii picha ya kupigwa imetengenezwa na ukitaka kujua ukweli, picha ya kawaida unaweza ku izoom kila sehemu au kila pande lakini hii inakupeleka hapo hapo tuu waliposimama hayo maroboti ya watu
 
Hàaaaa haa ahaaa... Mtanzania hajawahi kuadmit kushindwa kitu! Huu ni mfano mzuri wa mtanzania halisi.
 
Mkuu sijawahi kuziona izo ulizotaja ila hii imetisha
Nnahisi hii Bird Eye ni high resolution satellite kama zilivyo Quick bird, GeoEye-1, Ikonos nk.

Kwa high resolution satellite imagery ni kawaida hizo resolution.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom