13 february 2010

kuishi na watu HALIJAWAHI KUWA JAMBO RAISI!.....ninashukuru pamoja na udhaifu wangu nimeweza kuishi vyema na ninyi marafiki zangu!
AHSANTENI SANA.
ahsanteni kwa michango yenu mikubwa mliyonisaidia
ahsanteni kwa kunipa courage
kikubwa kwangu sio fedha,ila ule ukaribu wenu kwangu NI FARAJA YA PEKEE KABISA

ahsante sana X-pin,kaizer,fidel,next-level,nyamayao,carmel,georgieporgie,bht,nguli,mwanajamiione,fl1,maxcence melo,invisible,kloroquine,edson,pearl,lilyflower,JS,pakajimi,msindima et al....HAWA NI WATU AMBAO THEY HAVE ALWAYS BEEN THERE FOR ME...!meaning kwamba jamiiforums imekuwa na mimi ALL THE WAY TO MY MARRIAGE

AHSANTE SANA JAMIIFORUMS!tuko pamoja sana!.........naweza kuwataja woote hapa,hata kama jina lako halipo TUPO PAMOJA
 
kuishi na watu HALIJAWAHI KUWA JAMBO RAISI!.....ninashukuru pamoja na udhaifu wangu nimeweza kuishi vyema na ninyi marafiki zangu!
AHSANTENI SANA.
ahsanteni kwa michango yenu mikubwa mliyonisaidia
ahsanteni kwa kunipa courage
kikubwa kwangu sio fedha,ila ule ukaribu wenu kwangu NI FARAJA YA PEKEE KABISA

ahsante sana X-pin,kaizer,fidel,next-level,nyamayao,carmel,georgieporgie,bht,nguli,mwanajamiione,fl1,maxcence melo,invisible,kloroquine,edson,pearl,lilyflower,JS,pakajimi,msindima et al....HAWA NI WATU AMBAO THEY HAVE ALWAYS BEEN THERE FOR ME...!meaning kwamba jamiiforums imekuwa na mimi ALL THE WAY TO MY MARRIAGE

Nimekugongea senksi kule mwanawani
And we will always be there for you mpaka mwisho sawa
 
Kutajwa wa kwanza siyo jambo dogo. Nimekuwa wakwanza pia kukugongea senksi! Ze Pillar of ze wapwaz!
 
Na mimi NAOLEWA tarehe hiyo hiyo wapwazz na binamuzz................sasa inakuaje????????;)
 
Nimekugongea senksi kule mwanawani
And we will always be there for you mpaka mwisho sawa
AHSANTE SANA J.S!on the serious note you are so special!....i mean thank you

just in case nilikukwaza TUSAMEHEANE BURE
 
Kuna stauti mbili toka Kibosho zinafanyiwa sevisi tayari kupeleka mapipa kazaa ya mbege toka kibosho!

na wish ningekuwa moshi "ningeitisha" mie mwenyewe nyie mfanye kuja kuchukua na pikipiki....msesewe kwa wingi mweh
 
Leo homu boi huku ndani unyenyekevu ''A'' aka Msonge aka Kibanda.......! Yaani mzee unashusha masifu sijui ya zaburi gani ile or kitabu gani vile.........''wanamacho lakini hawaoni, wanamasikio lakini hawasikii, wanapua lakini hawanusi... then....Mungu wetu yupo mbinguni, msifu yeye msifu yeye...etc etc.....seminary raha!

Back to point........we talked mzee! Binafsi naweza nisiwepo kny send off...bt tukio kubwa, we try make sure nakuwepo physically.....and u know this will be in additional to my mchango ambao utaupata in two weeks kny account yako!

Kama nitaenda which will confirm two weeks before tukio, nitakuwa na GX100.....so unayependa kwenda...si zaidi ya watatu....tunaweza tumia usafiri huo pamoja for JF members, tunaondoka Ijumaa 12 Feb and back Sunday 14.

So mkuu Geoff tupo pamoja!
 
Kutajwa wa kwanza siyo jambo dogo. Nimekuwa wakwanza pia kukugongea senksi! Ze Pillar of ze wapwaz!

Weeeeeeee acha uwizi i was the first kusema senksi kwa Geoff ishu ni kwamba JF inapanga senksi alfabetikali kutokana na majina mweeee eti ulikuwa wa kwanza mwone kwanza
 
leo homu boi huku ndani unyenyekevu ''a'' aka msonge aka kibanda.......! Yaani mzee unashusha masifu sijui ya zaburi gani ile or kitabu gani vile.........''wanamacho lakini hawaoni, wanamasikio lakini hawasikii, wanapua lakini hawanusi... Then....mungu wetu yupo mbinguni, msifu yeye msifu yeye...etc etc.....seminary raha!

Back to point........we talked mzee! Binafsi naweza nisiwepo kny send off...bt tukio kubwa, we try make sure nakuwepo physically.....and u know this will be in additional to my mchango ambao utaupata in two weeks kny account yako!

Kama nitaenda which will confirm two weeks before tukio, nitakuwa na gx100.....so unayependa kwenda...si zaidi ya watatu....tunaweza tumia usafiri huo pamoja for jf members, tunaondoka ijumaa 12 feb and back sunday 14.

So mkuu geoff tupo pamoja!
spesho thenks to my brother,my homeboi next level!.........
 
Kutajwa wa kwanza siyo jambo dogo. Nimekuwa wakwanza pia kukugongea senksi! Ze Pillar of ze wapwaz!

na wish ningekuwa moshi "ningeitisha" mie mwenyewe nyie mfanye kuja kuchukua na pikipiki....msesewe kwa wingi mweh

Aisee unanikumbushua mbali Nyamayao kula senksi kwanza
Msesewe ndo kinogesheo hivi kwa ile kitu yani wallahi nimeimiss lol!!!!
 
special thenksi to SINKALA!he has always been SO SERIOUS WITH MY WEDDING!
love you brother
 
Aisee unanikumbushua mbali Nyamayao kula senksi kwanza
Msesewe ndo kinogesheo hivi kwa ile kitu yani wallahi nimeimiss lol!!!!

wachana na ile kitu kabisa, ile kitu ni special esp ukapata ile fresh.....mweh home sweet home JS....hivi kumbe tupo barabara 1? aika mpora.
 
Back
Top Bottom