13 february 2010

Ntaongea na Geoff muziki tufungue kwa twisti afu unizungushie hivyo wakati mi nakwangua soli ya kisigino!

enyi wandugu ckilizeni leo niwaambieni habari za nairobi...

mjini nairobi kuna watu wengi sana wanapenda kucheza na kuimba twist...lol
 
i will organise you guys FOR DINNER or something baada ya harusi!
location yangu nitapenda iwe chawote
 
sherehe ya usiku itafanyika ukumbi unaoitwa MIDTOWN,pale makambako!
sherehe itaanza saa moja jioni
KARIBUNI SANA WAKUU WANGU

Harusi ni Iringa
Send off wapi DSM au Moshi???
Tujipange ipi tutahudhuria
 
Naisubiria spesho SENKSI yangu kabla sijaanza kurimuvu SENKSI zote nilizokugongea!
ooh!
wewe tena mkuu wangu!?....
I HEREBY GIVE X-PIN A SPESHO THENKS FOR MEING THERE FOR ME.umenipa courage sana
 
sherehe ya usiku itafanyika ukumbi unaoitwa MIDTOWN,pale makambako!
sherehe itaanza saa moja jioni
KARIBUNI SANA WAKUU WANGU

Leo raha sana! Mpaka malijendi leo wanakaribishwa? Padre gani kakuungamisha wewe, nami nikaungame nirudi kundini. Naona kama nimebaki peke yangu!
 
ooh!
wewe tena mkuu wangu!?....
I HEREBY GIVE X-PIN A SPESHO THENKS FOR MEING THERE FOR ME.umenipa courage sana
Hehehe! Wenye wivu wajinyonga jama, wenye wivu wajinyonge! Hiyo red naona umepata blureism attack!
 
Leo raha sana! Mpaka malijendi leo wanakaribishwa? Padre gani kakuungamisha wewe, nami nikaungame nirudi kundini. Naona kama nimebaki peke yangu!
You are not alone brother...!
pamoja sana
pamoja for life
 
natarajia kurudi dar na wife pamoja na MARAFIKI ZANGU WA JF jumatatu ya tar 15-02-2010.kutoka hapo nitakuwa na mapumziko ya asali ya mwezi huku,nadhani huu ndio muda ambao nitahakikisha ninawaorganize marafiki kwa maana ya kuwashukuru kwa kuwa pamoja
 
Pole Geof kwa kifo cha baba. Naamini unatamani angekuwepo kwenye siku yako muhimu.
Kuhusu apology, i believe guys understand the situation you are having right now. Na kwa mpwa yeyote ambaye ni responsible anajua nini cha kufanya bila hata wewe kukumbushia. Do worry, tuko pamoja till the end.
 
Ahaa! Hata hivyo umeeleweka ndo maana umegongewa senksi!

hahaha wewe Iribin wewe mie mbona nimekuona samuwea nikachuna ungeanza kunililia ooh FL1 unanitafuta ,imekuwaje haya bwana
Tusker bariiiiiiiiiiiiiiiiiiidi
 
natarajia kurudi dar na wife pamoja na MARAFIKI ZANGU WA JF jumatatu ya tar 15-02-2010.kutoka hapo nitakuwa na mapumziko ya asali ya mwezi huku,nadhani huu ndio muda ambao nitahakikisha ninawaorganize marafiki kwa maana ya kuwashukuru kwa kuwa pamoja

Hahaha! Tarehe 13/02 anakuwa Wife wako! Thats My Mshiki! Wewe ni Shemeji yangu! Mtu na shemejie wadumisha mila! Dada ataelewa tu, usijali.
 
Pole Geof kwa kifo cha baba. Naamini unatamani angekuwepo kwenye siku yako muhimu.
Kuhusu apology, i believe guys understand the situation you are having right now. Na kwa mpwa yeyote ambaye ni responsible anajua nini cha kufanya bila hata wewe kukumbushia. Do worry, tuko pamoja till the end.
thanks sisy!
SPESHO THANKS TO YOU CARMEL!...you are so special indeed!you have been there for wapwaaz.

love you
 
Back
Top Bottom