S4 mbona haipo???
Hizo ni mobile phones kweli? Mbona naona ndani kuna phablets? hii tu ni sababu tosha kuita list hii "upuuzi".
Kabla ya kuiita hiyo list ni upuuzi, tuambie mobile phone inatakiwa iwe na ukubwa gani na phablet ambayo sio mobile phone inatakiwa iwe na ukubwa gani. Vinginevyo tutasesema kuwa upuuzi ni kufikiria kuwa phablet sio mobile phone.
hiyo Lumia 1520 ni habari nyingine, kuanzia Display, Camera mpaka Battery Life.
Hii mbona ya kawaida sasa hivi, ebu cheki LUMIA 1020 then nipe majibu kaka
Hiyo kwenye Upande wa Camera, hakuna cha Apple, LG, Samsung wala yeyote atakaeweza kumgusa huyo Lumia 1020. Ila 1020 kampita 1520 upande wa Camera tu ila sehemu zingine anasubiri, Ushawahi kuiona na kuigusa hiyo Lumia 1520?
mh, aya bhana.Me naona tofauti ni Battery and Camera, vingine vyote vipo sawa.
Me naona tofauti ni Battery and Camera, vingine vyote vipo sawa.
1.battery
2.perfimance
3.display
4.microphone
mambo meng imepitwa 1020.
hardware wise lumia 1520 still ni namba moja. japo ina snapdragon 800 ila imezipita simu zenye snapdragon 801 na 805 kwenye perfomance.
natamani camera ya m8 ingekuwa bora kama ya lg g3, xperia z3, galaxy s5, au iphone 6 au lumia 1520. Hii ndo sababu pekee inayonifanya niipende l1520, lg g3 na z3 mbele ya M8. Haina camera mbaya ila si ya kiwango cha,hizo nyingine. Katika top 10 inaizidi ya nexus 5 tu
Mkuu matajiri wa wapi hao unaowaongelea?Rich people dont even think to spend a lot of money on these issues... xaxa xie maskin akil yote ipo hapo.... huu ndo utofauti nnao uona... matajir wa uhakika hawakimbilii luxury kwanza utamkuta mtu na sim yake ya toch busy na mambo ya maana...sie maskin tupo busy na sim za ghali kupiga ma picha na kuangalia picha za ngono mitandaoni....hahahaha
Mkuu matajiri wa wapi hao unaowaongelea?
Swala la kununua simu siyo kipomo cha kuwa tajiri haya ni maswala ya utashi tu , ndiyo maana utakuta mtu amepanga nyumba halafu anamiliki gari ya mil.30, kwa mantiki hiyo basi kumiliki vitu vya gharama siyo lazima uwe na utajiri kama fikra zako zinavyokuelekeza.
Hapo kwenye red; Ulipaswa kusema wewe masikini siyo sisi masikini, ongelea hali yako kiuchumi usijumuishe watu wote kwa kutumia hali yako mbaya kiuchumi, wakati wewe unalia sisi masikini mwingine wanahonga magari na majumba kwa dada zako huku mtaani, wakati wewe unalia sisi masikini kuna dada anahongwa Htc One M8.
Kwa akili hiyo basi kwako hata tablet ni mobile phone.
Mnaposems ina camera nzuri ni kwamba inaboresha nyuso zenu ams nini
Htc One M8 iko poa sana