10 best mobile phones in the world today

10 best mobile phones in the world today

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
10.Google Nexus 5
09. Samsung Galaxy s5
08.Sony Xperia Z3
07.Nokia Lumia 1520
06.Sony Xperia Z3 Compact
05.Iphone 6 plus
04.Samsung Galaxy Note 4
03.LG G3
02.IpHONE 6
01.HTC one M8
 

Attachments

  • htc m8.jpg
    htc m8.jpg
    17.4 KB · Views: 1,763
Na wameimprove design materials, M8 ina aluminium almost 20% kuliko M7, ingawa nayo M7 iko fresh pia!
 
natamani camera ya m8 ingekuwa bora kama ya lg g3, xperia z3, galaxy s5, au iphone 6 au lumia 1520. Hii ndo sababu pekee inayonifanya niipende l1520, lg g3 na z3 mbele ya M8. Haina camera mbaya ila si ya kiwango cha,hizo nyingine. Katika top 10 inaizidi ya nexus 5 tu
 
Mkuu yangu Lumia 630(windor phone)haitii changamoto hapo?..
 
Hahahahahaaaaa hii kali sana, aiseee mimi mpenzi wa simu ila Dah
 
hiyo Lumia 1520 ni habari nyingine, kuanzia Display, Camera mpaka Battery Life.
 
Kama ingekuwa ni just one best phone basi kwenye list ingebaki Apple product tu. Kuna wengine wamekuja duniani kubisha tu. Subiri uone!
 
Kama ingekuwa ni just one best phone basi kwenye list ingebaki Apple product tu. Kuna wengine wamekuja duniani kubisha tu. Subiri uone!

ingekuwa ni best phone kutokana mapenzi ya wanazi wa apple kweli
 
Hizo ni mobile phones kweli? Mbona naona ndani kuna phablets? hii tu ni sababu tosha kuita list hii "upuuzi".
 
Rich people dont even think to spend a lot of money on these issues... xaxa xie maskin akil yote ipo hapo.... huu ndo utofauti nnao uona... matajir wa uhakika hawakimbilii luxury kwanza utamkuta mtu na sim yake ya toch busy na mambo ya maana...sie maskin tupo busy na sim za ghali kupiga ma picha na kuangalia picha za ngono mitandaoni....hahahaha
 
Back
Top Bottom