10 best mobile phones in the world today

10 best mobile phones in the world today

Af pia kabla mtu hujakimbilia kuongelea specs na benchmark rankings, ikumbukwe kuwa kuamua simu ni nzuri na ina performance kali ni suala la mtumiaji (ingawa sometimes specs na benchmarks zinamata). Coz unaweza ukawa na smartphone yako ambayo haiko kwenye hata top 20 or 10 in benchmark rankings lakini kama wewe ni mtumiaji mzuri (smart user) una guarantee ya kumpita (kimatumizi) hata mtu anaetumia top smartphones za mwaka huu!
 
Na ikumbukwe pia kuwa simu inayotamba mwaka huu siyo itakayotamba mwaka kesho. Kwa hiyo suala linabakia pale pale UTUMIAJI/MATUMIZI ya mtumiaji wa simu husika.
 
Dah, naikumbuka sana hiyo!. Yani Nokia walikuwa wanatoaga devices kali back then sema ndo ivo tu walichelewa kidogo design flani wakapitwa na kina Apple, Samsung, HTC, na hao new comers kama kina Xiaomi!
 
Kwa akili hiyo basi kwako hata tablet ni mobile phone.

kama ina simu inaweza kuwa mobile phone. Na hata kama sivyo sidhani kama unaelewa kuwa kuwa phablet sio tablet. Phablet inatokana na maneno phone na tablet, so neno phone bado lipo hapo
 
Mbona Simu yangu ya Adroidone Karbonn haimo? wakati ni kali sana
 
Smartphone kwako ina maana gani au ni nini haswa??

Unfortunately, you do not have that privilege to ask me a question before you answered mine! How ever I can't leave you in vain, this is my advice, "Google your question "
 
Rich people dont even think to spend a lot of money on these issues... xaxa xie maskin akil yote ipo hapo.... huu ndo utofauti nnao uona... matajir wa uhakika hawakimbilii luxury kwanza utamkuta mtu na sim yake ya toch busy na mambo ya maana...sie maskin tupo busy na sim za ghali kupiga ma picha na kuangalia picha za ngono mitandaoni....hahahaha
ukweli unauma....!
 
Unfortunately, you do not have that privilege to ask me a question before you answered mine! How ever I can't leave you in vain, this is my advice, "Google your question "

Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teeeeeeeeeeeh! Oops! kazi kwelikweli
 
Back
Top Bottom