0686792949 msaada nawaomba jamani!

Kweli wasumbufu wapo. Mmoja kanismbua kwa kini-bip mara nyinyi, kila akibip mimi nampigia, lakini yy hapokei, nikatumia namna nyingine akapokea. Nikamuuliza, ww nani,mbona unanisumbua kwa kubip? Akajibu; ''huna haja ya kunijua, ila mimi mina obbie ya kubip''. Dunia hii!
 
nitumie namba yake ktk pm niichakachue nitakutumia jina lake.
 
Hujatuambia anakusumbua kwa namna gani.kama una simu ya Kichina nenda kwenye call setting kisha advanced call setting utakuta sehemu ya Blacklist ingiza hapo hiyo namba inayokusumbua kumbuka kuanza na code number +255 mchezo wake kwishaaaaaa
 
kama unatumia smart phone waweza kudownload software inaitwa blacklist kupitia google kumbuka kutaja phone model unayotumia. Then utainstall kwenye simu yako afu unam-blacklist akipiga simu ataambiwa tu number busy. Vilevile unaweza kudownload software nyingine ya kublock sms. Kama anakusumbua kwa sms pia. Usiumize kichwa kumfuatilia unknown.
 
Au hutaki sema mtu anakusumbuaje sababu labda ni mpenzi aliyekukataa unataka kumuaibisha humu.

Kama huna cha kueleza zaidi basi usianike namba humu.
 
Hujatuambia anakusumbua kwa namna gani.kama una simu ya Kichina nenda kwenye call setting kisha advanced call setting utakuta sehemu ya Blacklist ingiza hapo hiyo namba inayokusumbua kumbuka kuanza na code number +255 mchezo wake kwishaaaaaa

jaman, huyu m2 ananitumia meseji kama mwanamke! Anapretend tujibzane as mchumba wangu!

KWA UFUPI NIMEGOMBANA NA MY MCHUMBA WANGU, KAnzima cm cku ya pili leo... Then namba hyo ikaanza kunrusha roho! Lakn mwshowe nilgundua nkamtukana! Nikmpgia alikuwa hapokei...
 
sasa umekuja sumbua watu bure kumbe unajua ni mchumba mliyegombana??haya ushatoa namba acha wenzio wakalie kiti hicho:A S 103:
 
jaman, huyu m2 ananitumia meseji kama mwanamke! Anapretend tujibzane as mchumba wangu!

KWA UFUPI NIMEGOMBANA NA MY MCHUMBA WANGU, KAnzima cm cku ya pili leo... Then namba hyo ikaanza kunrusha roho! Lakn mwshowe nilgundua nkamtukana! Nikmpgia alikuwa hapokei...

Kama humtaki si uniuzie namba yako mimi maana namtaka nimtoe kongosho au puro
 
Au hutaki sema mtu anakusumbuaje sababu labda ni mpenzi aliyekukataa unataka kumuaibisha humu.

Kama huna cha kueleza zaidi basi usianike namba humu.

samahani, nilkuwa mbal na mchna wangu! Hlo j2 lataka kutugombansha tuachane, never! Never, haitokei hyo k2...
 
Inawezekana anatumia internet phone. kama skype ,smsdiscount au yahoo. Ikiwa hivi inakuwa kazi kubwa kidogo lakini unaweza kutrace kujua provider wa service yake. Through privder wanaweza kukuambia ni nani but huo mlolongo sijui. kama ukiwauliza kampuni kama skype wanaweza kukupa details

Pia kuna huduma za kulipia zinaitwa reverse lookup. Hawa jamaa wana claim database yao ina info ya hiyo number but ni mpaka ulipie. Sasa ukiamua kulipia sijui ni sumbufu gani huo. Unless niwe nafanya reseach au uchunguzi wenye manufaa ndo nawza kuingia gharama kama hizi.

Moja ya tovuti ni hii hapa Who is Owner of Phone Number 068-679-XXXX | 068-679-XXXX Phone Books

Na kwa mujibu wao number 068-679 source yake ni USA....... may be unaweza ku conect the dots
 
Back
Top Bottom