Nipo....ama kweli condom zinasaidia na nyie mmeuona mwaka 2014?
nipogoooooo!
Tupo na bado tunaGo...
Ashukiriwe mwenye kutupa pumzi ya uhai...
Umeme ulikatika hapa jamani
Ok,mkuu.But siwezi kuedit titlemkuu badilisha kichwa cha habari kwanza!
that is not pm! its am!
Ok,mkuu.But siwezi kuedit title
mkuu unejaribu kwenda kitufe cha edit post, then go advanced?
Mkuu kama anatumia simu itampa shida kidogo...