excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,862
Pamoja mkuu.
Happy new year to you as well.
hamwe toni mkuu!!
happy new era!
Pamoja mkuu.
Happy new year to you as well.
hamwe toni mkuu!!
happy new era!
Mungu azidi kukulinda mrembo.Namshukuru mungu 2013 na 2014 nipo na mzima.
Thanks madam.Stay richly blessedAmina,,,, happy new year twende kazi.
Mimi nilikuwa bar tangu tarehe 30.12.2013, leo ni jumangapi na tarehe ngapi wajameni? Ndio natoka bar hivyo....!
Hatuachani ng'oo...labda Mungu atuachanishe
We miss u kiukweli
Hatuachani ng'oo...labda Mungu atuachanishe
We miss u kiukweli
Mimi nilikuwa bar tangu tarehe 30.12.2013, leo ni jumangapi na tarehe ngapi wajameni? Ndio natoka bar hivyo....!
Halafu nasikia Judgement anamsarandia mke wangu The secretary......huyo fisadi wa malavidavi mwambie nikitoka uwanja wa mapambano juba atajua mi nnani!
Lol nahisi ujumbe umewafikia
Urudipo tu jamani!
Nasikia harufu ya damu!
CC: The secretary
cc: sister
cc: Erickb52
cc: Judgement......madiba alisamehe wote isipokuwa aliyemlambia mai waif wake....