zumaridi

  1. W

    Mfalme Zumaridi afanya sherehe ya kuwarudisha viongozi wa Afrika waliofariki

    Baada ya kimya kirefu kumbe Mtumishi Zumaridi alikuwa anatunga sheria :forsenLaughingAtYou:
  2. LIKUD

    Zumaridi yupo sahihi (Mwafrika hajaumbwa/ Mwafrika ni Mungu) Likud 7th theory of creation

    Bado naendelea kutafuta asili ya mwanadamu na kwanini yupo duniani. Nimesha taja nadharia Sita kuhusu kile ninacho ona huenda kikawa ndio chanzo cha Sisi kuwepo hapa duniani. Hii ni nadharia yangu namba saba. MWAFRIKA HAJAUMBWA. Ila? MWAFRIKA yuko pamoja na Mungu. Kama ambavyo Mungu hana...
  3. Mganguzi

    Kama mfalme Zumaridi sio Mungu basi jeshi la polisi limpeleke Mungu halisi mahakamani kuthibitisha uongo wa mfalme Zumaridi

    Mimi sio mfuasi wa mfalme zumaridi na simjui na sijawahi kuonana nae ! Nachokipenda kwa zumaridi ni shepu yake safi 👏tatizo langu ni jeshi la polisi mara zote wanamkamata kwa kosa hasa la yeye kujiita MUNGU !! Si mara moja bali ni mara zote zumaridi amekuwa akijiita mungu na wafuasi wake...
  4. Waufukweni

    Mfalme Zumaridi akamatwa na Polisi Mwanza

    Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza linapenda kutoa taarifa kuwa leo tarehe 15.05.2025 majira ya saa nne asubuhi huko mtaa wa Buguku, kata ya Buhongwa, wilaya ya Nyamagana, limemkamata na linaendelea kumhoji Diana Edward Bundala ambaye pia hujitambulisha kwa jina la Mfalme Zumaridi, miaka 42, mkazi...
  5. Yoda

    Kwanini mfalme Zumaridi anasumbuliwa sana na dola? Uhuru wa kidini uko wapi!?

    Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana. Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele? Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu? Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha...
  6. F

    Pateni kuitambua saa aina ya Bulgari Serpenti Seduttori: ina vipande 197 vya almasi, 2 vya rubi adimu na karati 16 za sapphire (zumaridi)

    Serpenti Sedutori (Nyoka atongozaye) ndio saa inayovuma saa hizi mtandaoni popote Tanzania na East Africa, gharama yake ikiwa ni dollar za kimarekani 44,200, takribani shilingi za kitanzania 110,500,000/= (millioni mia moja na kumi na laki tano)! Soma zaidi hapa chini ili kujua imetengenezwa...
  7. mama D

    Zumaridi asichukuliwe kimasihara, imani ni kitu kikubwa sana inahuisha na imani inaua Watanzania tuamke

    Zumaridi anawafundisha watoto kwamba yeye ni mungu, yeye ndie msaada na ndie anayewakinga na mauti, anasema yeye ni mtawala wa dunia mzima na anayetawala vitu vyote vya duniani na mbinguni tena wake kuna uzima wa milele. Halafu anawaambia watoto leo atawapikia tena wali😎😎😎 Inatisha...
  8. Kulupango

    SoC03 Zumaridi ni kipimo kwa watu wenye akili na serikali kujirudi na kujitafakari upya

    Zumaridi ni msumari wa moto na chachu ya mabadiliko na wala hamuwezi kumpeleka popote. Mnamnanga kwa yeye kujiita ni mungu, hivi kweli ninyi mnaakili sawa? Je mnataka kumpeleka mahakamani, mahakama ipi inayo hukumu kwa kutumia sheria za MUNGU. ? Mnajifanya mna uchungu sana na MUNGU ilihali...
  9. Hemedy Jr Junior

    Popote alipo zumaridi nahitaji Nimsaidie

    Mtanzania wa kwanza kudai alipelekwa mbinguni kutembea uko Motoni na peponi. Afu huyu zumaridi yuko na Mamia ya watu wanakubali alichokisema. Pia anadai yuko na Kanumba pale nyumbani, Jela sio nzuri aisee.... 📌 O
  10. The Assassin

    Zumaridi aandike Biblia yake mwenyewe kama walivyofanya manabii wa zamani

    Nabii mfalme Zumaridi anatakiwa kukumbushwa kuandika biblia ama ufunuo wake kama wlaivyofanya manabii wa zamani. Dini hizi tunazoziona sasa zilianza kama ilivyo kwa Zumaridi lakini miaka kadhaa mbele sasa ni jamii kubwa ya waumini wakiamini kilichoandikwa na manabii kama Zumaridi wa huko nyuma...
  11. Lycaon pictus

    Ukifikiria vizuri utaona kuwa dini zote zilianzishwa na watu kama Zumaridi

    Ni kwamba tu dini hizi zilianzishwa zamani sana ndiyo maana tunaona sawa. Mimi ni mkristo, lakini leo atokee Seremala aanze kusema ni mwana wa Mungu na katoka mbinguni lazima kila mtu ashtuke na kumuona hayupo sawa kichwani. Akitokea mtu akisema anashushiwa aya na malaika kutoka kwa Mungu...
  12. Jemima Mrembo

    Zumaridi ni mungu asiye na mbingu yake hadi anaenda kwenye mbingu ya Mungu mwingine

    Zumaridi ameudhihirishia umma wa Watanzania kuwa yeye ni mhitaji wa tiba ya afya ya akili. Zumaridi amekuwa akijibasibu kwamba yeye ni mungu na amekuwa akipata wafuasi ambao wanamuamini na kumheshimu. Pia wapo ambao wamediriki kuachia shughuli zao zote za kimaendeleo ili tu wamtumikie Zumaridi...
  13. master of cities

    Aliyewahi kufika Mbinguni aje amkosoe Mfalme Zumaridi

    Ieleweke kwanza Tanzania haina dini ila watu wake wana dini zao, na kila mmoja ana uhuru wa kuabudu cha msingi asivunje sheria za nchi. Duniani hapa kuna dini zaidi ya 4000, ikiwemo dini ya Kikristo. Katika dini ya Kikristo pekee kuna madhehebu zaidi ya 500 hawa hudai kumwabudu Mungu wa...
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    Nyota ya Mandonga imeanza kufifia, sasa ni zamu ya Zumaridi na DJ Ally B

    Bondia wetu Mandonga taratibu anaanza kutoka nje ya reli. Ule umaarufu wake umeanza kupotea kiaina. Yeye sio wa mwanzo wala sio wa mwisho katika watu walioibuka na ku-vibe kisha kupotea. Huko nyuma alishawahi kuwepo babu wa loliondo, nabii tito, pierre likwidi, Dr. Shika na wengineo wengi...
  15. matunduizi

    Zumaridi yuko sahihi kujiita mfalme wakati ni mwanamke

    Bila kujali kama anajua au hajui, katika ufalme wa Mungu hakuna Malkia au princess. Kuna mfalme wa wafalme = Yesu na wafalme= Sisi wafuasi wake bila kujali jinsia. Ufunuo wa Yohana 5:10 ukawafanya kuwa ufalme na makuhani kwa Mungu wetu; nao wanamiliki juu ya nchi.
  16. master of cities

    Kinamchomsumbua Hananja ni wivu wa kuzidiwa 'trending' na Mfalme Zumaridi

    Ieleweke kwamba wachungaji hawa maarufu na manabii maarufu, Mwamposa, Kakobe, Mzee wa Upako, Hananja, Malisa, Gwajima, Kimaro na hata yule nabii wa Arusha na wengine wengi hunena yaliyo ya Mungu ila nyuma ya pazia wanaye mfalme wao wanayemtumikia kwa uaminifu mkubwa , huku wakijifunika kwa...
  17. NALIA NGWENA

    Millard Ayo kwa kumpa airtime ya kutosha Zumaridi kuongea stori za kusadikika ni kumkosea Mungu na sisi Watanzania

    Ifikie hatua serikali yetu iweke sheria kali dhidi hawa manabii na mamungu makanjanja katika nchi yetu hii. Kiukweli ulichokifanya milard Ayo siyo haki kabisa kusambaza upuuzi Kama huo aliouzungumza huyo anayejiita mungu Zumaridi. Kupitia hiyo interview hakika Kuna watanzania wameendelea...
  18. benzemah

    Hivi huyu mtu anayejiita Mfalme Zumaridi anatuchukuliaje?

    Nimetizama mahojiano ya huyu anayejiita mfalme Zumaridi na Mtangazaji wa Clouds, Millard Ayo na nimebaki na maswali mengi sana lakini kubwa ni kwamba ANATUCHUKULIAJE WATANZANIA? Zumaridi anasema akiwa darasa la 3 alitokewa na Mungu akiwa na umbo la jua lakini usiku, kwa hiyo yeye aliweza...
  19. MamaSamia2025

    Ndoto yangu ya kuja kumuoa Mfalme Zumaridi imefikia tamati jana. Ni huzuni

    Hapa duniani nimeshawahi kuwa na ndoto nyingi. Kuna ambazo zimeshatimia, zilizofeli na zingine michakato inaendelea. Sasa jana ndoto yangu ya hivi karibuni imefikia mwisho bila mafanikio. Ni kuhusu kumpenda na kutaka kumuoa Mfalme Zumaridi. Kiukweli kwa miaka kadhaa nimekuwa nikiteketea ndani...
  20. L

    Wadau ninampenda sana Zumaridi

    Wadau ninavutiwa sana na Zumaridi natamani awe mke wangu sijui ni wapi naweza kumpata huyu Zumaridi, I 💕 you Zumaridi
Back
Top Bottom