Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zuchu, ametoa onyo kali kuhusu kile kinachodaiwa kuwa ni simu za usiku wa manane zinazopigwa kwa mumewe Diamond Platnumz.
Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Zuchu ameandika, "I just don’t understand why someone would call a married man usiku wa manane...