zitto

  1. Kumbe Zitto Kabwe ni bonge la kupe

    Sitii neno. Naleta kama ilivyo. Najua Zitto Kabwa yumo humu. Huenda atatuelezea dhamira na nia yake ni nini. Je, namna hii hajawa bonge la kupe tena la kujipeleka? Je, imekuwaje akamuacha Mpina na kumpigia kampeni mama yake? Je, amelishwa kitu? Namna hii, ACT Wazenguaji itashindwa kuwa...
  2. GE2025 Shuhudia nyomi linalomsindikiza Zitto Kabwe kwenye mkutano wa kuzindua Kampeni za Uchaguzi Kigoma

    https://www.youtube.com/watch?v=vjOkard2ik0 Mwanasiasa mkongwe Zitto Z. Kabwe ameanza mchakato wa kampeni za kuwania Ubunge, leo Jumamosi tarehe 6 mwezi wa 9, 2025 anazindua kampeni Mkoani Kigoma.
  3. Zitto na Mbowe nao ni Wanamtandao?

    Kuna Habari za ndani zinasema mfadhili mkuu wa ACT wazalendo na mtu aliyemshawishi Zitto kuondoka chadema ili chadema ife baada ya vikao kadhaa ni Rostam Azziz. Je inawezekana ndio sababu ya Mbowe kuwasaliti Lissu,Mnyika na Slaa na kuamleta Lowassa chadema mwaka 2015? Je Mbowe na Zitto ni...
  4. Mwenezi CCM Zanzibar: Zitto na wenzake wanavuna usaliti walioufanya kwa Dorothy Semu kumlazimisha ajitoe kuwania Urais

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekitaka ACT Wazalendo kisimtafute mchawi katika sakata la kuenguliwa mgombea wao wa Urais, badala yake wajue kinachopandwa ndicho kinachovunwa. Pia kimemtaka Kiongozi Mstaafu wa chama hicho Zitto Kabwe kuacha kutoa shutuma zisizo na sababu wakati Luhaga Mpina...
  5. Nadhani Baba levo ni njia tu ya Zitto Kabwe kuingia bungeni , Safari ya Ukombozi bado ni ndefu sana .

    CCM ni chama chenye mizizi na matawi makubwa sana , nadhani kuna wana CCM wengi wako nje ya CCM kimkakati na tutawaona ndani ya Bunge lijalo . Saa ya ukombozi imekaribia ila ukweli ni kwamba safari bado ni ngumu sana . Tuendelee kuomba Mungu aingilie kati . #free TL
  6. Mpina na Zitto wanatuchezea Kombolela Kwenye uchaguzi

    GT Kwa akili ya kawaida hakuna asiyejua behind the scene kwamba Zitto anang'ata huku kule anakuja kupuliza. Hizi sarakasi za mpina kuzuia kugombe Zitto is involved 💯 haya matamshi na mabarua mengi ni kujikosha tu but they know everything. Mpina naye anasumbuliwa na ushamba kama hajatumwa na...
  7. GE2025 Siasa MCHEZO hatari, ni Zitto wa Chadema au Act wazalendo anapambana na Baba Levo ubunge?

    Mi nasema siasa MCHEZO konyo kabisa,🤣😂😆najiuliza ni Zitto yule wa Chadema au huyu wa Act Wazalendo anae kwenda KUPAMBANIA ubunge na Baba levo? Je angelikuwa wa chadema angeshindwa na Baba Levo? Je wa Act atamshinda Baba levo? Time will tel Niko pale
  8. GE2025 Baba Levo: Zitto akitaka kulinda kura tutampa zake azishike mkononi

    "Zitto alisema analinda kura, kura zake atachagua yeye akitaka tuwe tunampa anazishika kwasababu ni chache"
  9. P

    GE2025 Baba Levo VS Zitto Kabwe naomba qualification/CV zao

    Naomba qualification/CV zao. Bila Shaka kwenye Elimu na Uzoefu wa siasa, ZITTO atakuwa anamzidi Baba LEVO. Sifa zingine: Baba LEVO ni CHAWA ZITTO ni mnafiki na opportunist.
  10. Inauma sana, Zitto Kabwe anamiliki Chama chake binafsi na Freeman Mbowe ni mtembea pote

    Zitto Kabwe(kushoto) na Freeman Mbowe wakiwa bungeni. Picha na Maktaba Dunia kweli duara. Leo hii Zitto Kabwe anamiliki chama chake hadi anamringishia Mbowe. Leo Freeman Mbowe hana chama kawa Mtembea pote🤣🤣🤣 Hakika dunia tambala bovu. Mbowe ndo alimuingiza kwenye siasa Zitto Kabwe🤣🤣...
  11. KUMBUKIZI | Zitto: Kikwete aliniita akaniambia ukisema leo unakuja CCM kesho nakupa 'Uwaziri wa Fedha'

    Mwanasiasa mkongwe na Kiongozi wa ACT Wazalendo aliyemaliza muda wake ameeleza kuwa sababu kubwa ya kuanzisha ACT-Wazalendo ilitokana na changamoto zilizuibuka katika chama alichokuwamo yaani CHADEMA mwaka 2012 baada ya kuanza kuundiwa mizengwe. Anasema alipofukuzwa katika chama hiko moja ya...
  12. J

    GE2025 ZItto Kabwe ameanza mbwembwe ACT mnajulikana!!

    Akiwa Zanzibar' kumtambulisha Mgombea Urais wa Chama chake Luhaga Mpina, Kiongozi wa zamani.wa ACT wazalendo ZItto Kabwe amejiapiza kwamba kama Luhaga Mpina atashinda kwenye Uchaguzi huo, kama atatangazwa au kama hatatangazwa, atakuwa Rais. Amesema vivyo hivyo kwa wagombea Ubunge na Udiwani...
  13. P

    Zitto Kabwe ni Asset ya Rostam Aziz ya Muda Mrefu Kimsingi Kawauza Wenzie wa ACT

    Bwana Zitto tangu akiwa chadema amekuwa akipata ufadhili wa kifedha wa Rostam. Uswahiba wao umeendelea zaidi hata wakati wa sakata la fedha za ESCROW ambapo zitto alikuwa upande wa Standard Chartered Hongkon yenye uhusiano na Rostam. JPM hakumpenda zitto maana alimjua ipasavyo vile vile...
  14. GE2025 Zitto Kabwe: Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais

    Akizungumza katika mapokezi ya Wagombea wa nafasi ya urais Pemba leo Agosti 10, 2025 Kiongozi wa zamani wa ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amesema kuwa Mgombea wa nafasi ya urais ambaye ni Luhaga Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais.
  15. Narudia, Zitto kama CCM wamekwambia usimjibu Polepole aise umechafuka mno mno mno Sasa nani swaiba wako?Kikwete au Rostam?

    NARUDIA ukimnya wa Zitto na wenzake dhidi ya kauli za Zitto zitafanya tumwamini pole pole dhidi ya Act kuwa TAWI la CCM aise ni aibu kubwa sana. Kumbe ndio maana wagombea wa Act ni masalia ya CCM? Tena wale utengenezewa ngiriba dhen sisi ulagaiwa yakuwa wamekataliwa kumbe uwa ni mpango wa CCM...
  16. Shida mtu akiwa muhongo hata siku akongea ukweli anashindwa kuaminika , polepole ni kama zitto kabwe na Mbowe au Lipumbana na Mrema!.

    Katika siasa kitu kinachoitwa Msimamo ni muhimu. Najaribu kuangalia walichokuwa wanapambania akina Mrema TLP Lipumba na Mbowe bado sikioni. Hivyo naona na Polepole anapita njia zilezile. Anabomoa nyumba aliyoijenga mwenyewe na kusema haifai na wala tusiwaamini mafundi walioijenga.
  17. Tofauti ya Polepole, Mbowe, Slaa, Gwajima, Zitto & .com ni nini?

    Wote ni wachumia tumbo, Wote Ni matapeli, Wote ni wanufaika wa mfumo mbovu uliopo, Hawa Wana tofauti gani na CCM yote? Au Wana tofauti gani na wakina Lowassa, Sumaye, Fatma Karume&.com na magenge yote ambayo baada ya maslahi yao kuguswa ndio waliibuka kujifanya watetezi wa wananchi...
  18. R

    GE2025 Zitto ashikiliwa na Polisi usiku wa manane Lindi

    Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa kali ya kulaani kile kinachodaiwa kuwa ni uvamizi na kushikiliwa kwa muda kwa Kiongozi wake wa Chama Mstaafu, Zitto Zuberi Kabwe, na maofisa wa Jeshi la Polisi usiku wa tarehe 14 Julai 2025, akiwa katika hoteli mkoani Lindi Kwa mujibu wa taarifa...
  19. Kijembe cha Zitto kwa CHADEMA inaonesha hajui nini anapigania!

    Kitendo cha Zitto Kabwe kusema kuwa kungojea miaka mingine mitano kama vyama visiposhiriki uchaguzi wa mwaka huu, ni muda mrefu Sana, inaonesha Zitto hajui anachokipigania Kumbe Zitto kwake yeye ukombozi usiogusa maslahi yake binafsi hauna faida. Miaka mitano ijayo kukiwa na uchaguzi Bora...
  20. SI KWELI PreGE2025 Zitto ameandika 'Hawa ndio wanadai tususie uchaguzi, wakati wao wanaburuzana mahakamani kwa ajili ya kudhulumiana mali za chama chao'

    Katika chapisho lililopigwa pini kwenye ukurasa wake wa X, Zitto Kabwe ameikosoa vikali CHADEMA kwa kile anachokiita unafiki na kukosekana kwa mfano wa kuigwa. Amedai kuwa ni unafiki kwa viongozi wa chama hicho kuhimiza ususiaji wa uchaguzi huku wakiburuzana mahakamani kuhusu mali za chama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…