zinaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Damaso

    Mkiwapima wanafunzi mimba pimeni na bikra mjue walioanza ngono ni kiasi gani

    Kuna mjadala mzito unaoendelea katika jamii—mjadala unaogusa utu, haki, na mustakabali wa watoto wa kike mashuleni. Ingawa kuna wakati watu huingiza siasa ila ni jambo nyeti sana katika jamii. Kwa miaka ya hivi karibuni, imekuwa jambo la kawaida kwa baadhi ya shule kufanya vipimo vya ujauzito...
  2. Pdidy

    Ukifanya zinaa haya ndiyo majina utakayoitwa. Tafakari kabla ya kuzini

    UKIENDA KUFANYA ZINAA, KUMBUKA MAJINA HAYA, ALAFU UJISHAURI BAADA YA HAPO UCHUKUE UAMUZI UTAKAO KUJA. 1. KUFANYA ZINAA NI KUFANYA UPUMBAVU KIBIBLIA. 2 Samweli 13:5, 11-14 (Biblia Takatifu) Yonadabu akamwambia, Lala kitandani mwako ujifanye mgonjwa na babako atakapokuja kukutazama, umwambie...
  3. Think2

    Zinaa ni chanzo cha umasikini, vijana acheni zinaa

    Vijana zinaa inaleta umasikini just imagine kijana unafanya kazi za saidia fundi,viwandani, mlinzi pesa unazipata kwa shida then unakuja kutoka na demu kwa siku 50K - 100K inakatika, room 30K Msosi 20K Nauli 5K Asante kwa kuja 30K Hapo kunakutoboa miaka nenda rudi hakuna maendeleo. Kwanini...
  4. issac77

    Wakuu zinaa sio dili tulia na wako mmoja anatosha ona wenzetu anavyoyeseka

    Sijui gonjwa Gani hili limembutua kwa starehe ya siku moja
  5. Papillon 1906

    Ukienda kufanya zinaa muache mtoto nyumbani

    Unakuta mdada single mother au yupo kwenye ndoa anataka kuchepuka anambeba na mtoto mbaka eneo la tukio. Unamtia mtoto majanaba bila sababu za msingi, unakuta wamekalaza katoto pembeni ya kitanda huku wenyewe wakiendelea na tendo. Mwisho wa siku mtoto amekengeuka unaanza kumtafuta mchawi nani...
  6. Waufukweni

    SACP. Safia Jongo aonya Waganga wa Kienyeji wanaowarubuni Wanawake za Watu na kuwarekodi wakifanya Zinaa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita , SACP. Safia Jongo amewaonya baadhi ya Waganga wa kienyeji ambao wamekuwa wakituhumiwa kuwatibu Wanawake kwa kuwarubuni na kufanya nao zinaa huku wakiwarekodi na kuwatishia kuziachia video hizo endapo wataachana, jambo ambalo ni kosa kwa mujibu wa sheria. Hayo...
  7. Cecil J

    Tafakari: Mungu anayekataa zinaa anawabaliki watoto wa nje ya ndoa.

    Usijipe mamlaka ya kubeba vinyongo, badilika.
  8. Mstahiki Mea

    MAGONJWA MAPYA YA ZINAA

    Magonjwa manne mapya ya zinaa yanawatoa jasho wataalamu Chanzo cha picha,iStock 9 Februari 2019 Imeboreshwa 28 Disemba 2020 Magonjwa mapya huibuka kila uchao, na magonjwa yaambukizwayo kwa ngono nayo ni miongoni mwao. Hawa ni bakteria wanne ambao husababisha magonjwa makali ya zinaa ambayo...
  9. Forrest Gump

    Ujuaji mwingi wa Waafrika kuhusu mambo ya imani ndio unafanya wao kuwa watumwa kwa watu wengine

    Mbona hatujapata sasa suluhisho la haya yote. Maana ujuzi halisia wa kitu ina maana hauwezi tena kuwa mtumwa wa kitu hicho. Unaweza kuta mtu anaandika kwa uhakika kuwa sababu ya magumu yako ni nyota yako imeharibiwa au dhambi zako lakini unashangaa kuna tajiri mmoja yupo ana dhambi zaidi yako...
  10. mwanamwana

    SI KWELI Mwanaume mwenye vipele vidogo kwenye kichwa cha uume hawezi kupata UKIMWI na magonjwa ya zinaa

    Nimeona huko walimwengu wakijadili kuhusu vile vipele vinavyozunguka kichwa cha uume, sasa baadhi wanadai kuwa mwanaume mwenye hivyo vipele ana asilimia ndogo sana ya kuambukizwa UKIMWI hasa akiwa na damu group O-, lakini pia mwanaume mwenye navyo hawezi kupata magonjwa ya zinaa. Haya mambo...
  11. M

    Mchumba alinikwepa alivojua ana gonjwa sugu la zinaa

    Huyu Binti ni mrembo, ana asili ya uarabu. Nilimpata ugenini mkoani nilipoenda kwa ajili ya mambo yangu. Binti anafanya kazi office flani hapo mjini. Niliuliza wenyeji pindi nilipojiridhisha kwamba naweza mtongoza na anafaa kuwa mke wangu. Kabla sijamfata niliuliza washkaji wakanambia Binti...
  12. G

    Zinaa kutangazwa hadharani, ni moja kati ya dalili 4 za nyakati za mwisho, kwa mujibu wa Quran

    Dalili hizo ni pamoja na:- 1. Riba kuongezeka sana. Hivi sasa mikopo ya kausha damu iko kila mahala, mpk mitandaoni. 2. Wanaume kuoana wenyewe kwa wenyewe. Mashoga yapo kila mahala duniani kote, na ndoa zishaanza kufungiwa. 3. Wanawake kuunganisha nywele zao na zile za bandia, ili zionekane...
  13. G

    SoC04 Umuhimu wa elimu kuhusu magonjwa ya zinaa katika jamii

    Mdau wa SoCO4 mwenye namba ya simu 0765853732. Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la waathirika wa magonjwa mbalimbali ya zinaa ikiwemo Virusi vya UKIMWI, Kisonono, kaswende, Chlamydia, na mengine. Hii ni kutokana na kuongezeka kwa ngono zembe, maelezo mabovu ya watoto...
  14. NALIA NGWENA

    Mpuuzieni Christina Shusho, anatumika na shetani kuiaminisha jamii kuwa zinaa ni bora kuliko ndoa

    Christina Shusho aliibuka mbele ya jamii na kusema kuwa ''aliamua kuachana na mume wake na kuamua kumtumikia mungu'' na hiyo ilikuja baada ya kuona mashabiki wake wakimuuliza sana na kumsihii aolewe ndipo alipoamua kujificha kwenye kimvuli cha kumtumikia mungu lakini nyuma ya pazia ni uongo...
  15. Mwanamke wa mithali 31

    Vijana oeni sisi wanawake ni watu wema na Mungu ameagiza muoe. Acheni kufanya zinaa

    MITHALI 18:22 Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA. WAEFESO 5:31 “Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili m'moja. 1 WAKORINTHO 7 Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke...
  16. Samia atosha tukutane2030

    Vijana iepukeni zinaa

    Zinaa inachafua destiny (hatma ) yako. Zinaa inamvuta kijana kwenye shimo la mauti. Zinaa zinazalisha ufukara. Ni hayo tu, siachi kuwaasa vijana wenzangu. Mwenzenu tayari nimeshaacha zinaa.
  17. ward41

    Tulia na mkeo/mmeo hata kama mna matatizo

    Ukifanya tendo la ndoa na mke wako, ajabu ni kwamba hata ukitoka hapo unakuwa na Amani tena sana. Unaweza kuamua kufanya maombi kwa Amani kabisa Tendo hilohilo la ndoa fanya na mtu mwingine asiekuwa mke wako, utaona kimbembe, utakosa Amani, unakosa ujasiri, huwezi hata kuomba, unahukumia moyoni...
  18. KENGE 01

    Wanasayansi wasisitiza umuhimu wa Bikra (Virgnity)

    Anaandika Kenge Tamaduni za wazee wa zamani waliishi kwenye misingi ya kuoa mabikra.Ilikua ni aibu kubwa sana kama ikibainika bint wa Mzee flani sio Bikra.Au Bwana fulani kaoa binti ambae sio bikra. Mapinduzi ya utandawazi yanafanya mambo haya yaonekane ni ya kizamani na yaliyopitwa na wakati...
  19. Mjanja M1

    Kutumia mafuta na magonjwa ya zinaa

    Habari zenu Wakuu, Kuna ukweli wowote kuwa ukitumia mafuta/lubricant unaweza kuzuia maambukizi ya magonjwa ya ngono? NAOMBA MNIJIBU WAKUU
  20. Samia atosha tukutane2030

    Narudia tena, zinaa zitawamaliza vijana

    Hello! Hili ni onyo kwa vijana wenzangu hasa vijana wadogo. Kwa umri wangu huu wa miaka 36 nimeona mambo mengi kidogo. Ndoto za vijana wengi wakike na wakiume zimeyeyuka kwasababu ya zinaa. Zinaa imeharibu na kunajisi maisha ya vijana wengi. Biashara nyingi za vijana zimevurugika na zingine...
Back
Top Bottom