zimamoto

Zimamoto Football Club is a Tanzanian / Zanzibarian football club.
The team competes in the Zanzibar Premier League.
They competed in the CAF Champions League for the first time in 2017.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania na Mipango ya Zimamoto

    Mwenye taarifa sahihi anijuze! Wakati wa utawala wa Dr. Kikwete, tulikuwa na KILIMO KWANZA na BIG RESULTS NOW! Alipoingia hayati Dr. Magufuli, kukazaliwa TANZANIA YA VIWANDA! Kabla ya KILIMO KWANZA, BIG RESULTS NOW na TANZANIA YA VIWANDA, kulikuwepo na MKUKUTA, MKUTABITA, SIASA NI KILIMO...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya Kuvutiwa na Uteuzi wa Mwanza, najiandaa Kufungua huko Kiwanda Kikubwa cha Vibiriti

    Na kutokana na Uwingi wa Watu kwa sasa Mkoani Mwanza huku Mahitaji yakiwa mengi na Masoko Kuongezeka hasa Soko Kuu ili Kujikinga na Mabalaa yasiyotarajiwa ( hasa Moto ) naishauri Serikali kuanzia leo iongeze Gari za Zimamoto Mkoani Mwanza.
  3. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Geita walalamikiwa kupiga simu Zimamoto mara kwa mara kuwasalimia Askari

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Geita, limewalalamikia wananchi wa Mkoa huo wanaotumia muda mwingi kupiga simu ya bure ya Jeshi hilo kwa lengo la kuwasalimia Askari waliopo zamu pamoja na kuulizia uwepo wa maji ya kutosha na utayari wao, ambapo limebainisha kuwa hali hiyo inazuia wananchi...
  4. JamiiForums Tanzania Mradi wa HEET (Higher Education for Economic Transformation) ukiacha UDSM vyuo vingine zimamoto. Kwako Waziri wa Elimu Prof. Mkenda

    Salaam wanajukwaa, Hii nchi imejaa usanii mtupu vyuo vikuu vinacheza na serikali na donors hasa wadau wa maendeleo. Mpwayungu aliwavagaa walimu leo imeenda huko vyuo vikuu wanatengeza mitaala kwa kukaa maofisini, wanabuni masomo kwa hisia zao kihuni tu, hawafuati hatua stahiki, malecturers...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa akabidhi magari matatu ya Zimamoto yaliyotengenezwa Tanzania, asema "Inawezekana majirani waje kununua magari Tanzania"

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa amekabidhi magari matatu ya Zimamoto (Mitambo) kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ambayo yenye uwezo wa kubeba maji lita 5,000 na Foam Lita 500 kwa kila gari. Waziri Bashungwa amekabidhi magari hayo kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ukiona gari la wagonjwa, polisi au zimamoto wamewahi kwenye tukio kwa wakati tambua hili

    Popote ukiona gari la wagonjwa, polisi au zimamoto wamewahi kwa wakati tambua kuna hili. Wapo kwenye mazoezi ya utayari (show off) hivyo chochote watakachokifanya kisikuaminishe kwamba ni kweli Wanakuwa wametumwa kukamilisha mpango kazi maalum katika tukio hill Watakuwa walikuwa wanapita njia...
  7. JamiiForums Tanzania Gari la zimamoto kwenye Uwanja wa Mpira la nini

    Kwa kweli nimekuwa nashangazwa sana kuona gari la zimamoto hapa bongo kila wakati mechi zikiwa zinachezwa, sasa najiuliza la nn badala ya kuweka ambulance nadhani ni chombo husika. Nasikia kuna timu iliwahi kususia mechi kisa hapakuwa na gari la kuzima moto. Tubadilike wabongo
  8. JamiiForums Tanzania Ndege ya LATAM Air Peru yangonga gari ya zimamoto

    Ndege kampuni ya LATAM ya Peru imeligonga gari la zimamoto lililokatiza kwenye 'runway' ambayo iko "active". Maafisa wawili kati ya wanne waliyokuwa ndani ya gari hilo wamefariki papo hapo. Baadhi ya wanasiasa nchini humo wamelitupia lawama jeshi hilo kwa kutofuata kanuni za kiusalama. Video.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kumpatia Majaliwa ajira Zimamoto, kumpelekeka Bungeni na kumpatia mil 5 sio suluhu ya matatizo ya taifa letu

    Tuna changamoto lukuki kama taifa ambazo zinatakiwa kupatiwa suluhu na serikali kupitia vyombo vya dola na wala sio porojo za kisiasa. Tuna majambazi, panya road na vibaka. Wanasumbua kwa zaidi ya miaka ishirini. Hapa napo tusaidiwe na akina majaliwa? Tuna wahamiaji haramu kibao wanaishi na...
  10. JamiiForums Tanzania Mnaomuonea wivu Majaliwa ( maja mnyama ) ajira ya zimamoto ni ya kawaida sana

    Nimekuwa nikifuatiria toka kijana mdogo alivyopewa ajira kwenye kikosi cha zimamoto kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiongea saana, na wengine wamefikia kusema kijana wamempoteza tu ilitakiwa aulizwe anataka nini apewe na asepe. Jamaani ukweli ni kuwa ajira ya zimamoto ni ya kawaida sana acheni...
  11. JamiiForums Tanzania Vikosi vyetu vya Zimamoto na Uokoaji ni kwaajili ya Maonesho tu pale Uwanja wa Taifa?

    Hawa watu wanakuwaga na sifa sana kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru, huwa wanatuonesha umahiri na ukakamavu wao, cha ajabu yanapo tokea majanga huwa hawaishiwi visingizio. Halafu kuna kipindi huwa wanateketeza mali za Umma kuandaa mazoezi ya utayari, yaani wanaandaa ajali feki ya ndege au...
  12. JamiiForums Tanzania Mvuvi aliyeongoza uokoaji na wale waliopambana mwanzo wapewe kazi zimamoto

    Nasikia serikali imempa kiongozi wa waokoaji 1m. Ingependeza, kama anataka apewe kazi zimamoto na uokoaji. Yeye na wenzake waliopambana kwaajili ya maisha ya watanzania wenzao. Ufaransa kuna kijana muhamiaji alipambana kwenda kumuokoa mtoto aliyekuwa karibu kuanguka ghorofani, zawadi yake...
  13. JamiiForums Tanzania Jeshi la Zimamoto lakanusha Ndege ya Precision Air kuangushwa kwa ajili ya mazoezi

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutoka Mkoa wa Kagera limethibitisha kuwa Ndege ya Shirika la Precision Air imepata ajali na kuanguka kwenye Ziwa Victoria wakati ikijaribu kutua na tukio hilo ni kweli. Zimamoto zimekanusha taarifa za uvumi kuwa ndege hiyo imeangushwa kwa majaribio ya mazoezi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Idara za Uokoaji na Zimamoto hazina vifaa, wataalamu au zinapuuza majanga?

    Mdau wa JamiiForums.com anasema kila kunapotokea Janga hasa la Moto taarifa pekee inayotoka ni Moto kuzimwa ukiwa umeteketeza kila kitu au kubakiza sehemu ndogo sana. Anatolea mfano kuungua kwa Shule, Masoko, Mlima Kilimanjaro uliowaka kwa zaidi ya wiki 2 ambapo anahoji tatizo ni Idara kukosa...
  15. JamiiForums Tanzania Jeshi la Zimamoto na Vibali vya Ujenzi

    Asalam Alekum ndugu zangu, Naombeni ufafanuzi juu ya uhisika wa mamlaka ya Jeshi la Zimamoto katika taratibu za uombaji wa kibali cha ujenzi. Nimekuwa nikisimamia ujenzi katika nyumba ya ibada mahala flani lakini watu hawa wamekuwa hawakauki katika eneo hili huku tukipigwa faini juu ya...
  16. JamiiForums Tanzania Zimamoto Geita wazima uongo wa binti mdanganyifu

    #HABARI Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Geita, linamshikilia Shelida Ibrahim (20), mkazi wa mtaa wa Mkoani Halmashauri ya Mji Geita, kwa kosa la kuwapigia simu zimamoto na kuwaambia kuna tukio la moto na baadae akazima simu yake kwa lengo la kujifurahisha na kusababisha jeshi hilo kuingia...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanza: Hoteli inawaka moto, Zimamoto wameshindwa kuzima kwa masaa 2

    Salaam Wakuu, Hotel ya new Mwanza inawaka moto, Zimamoto wameshindwa kuzima kwa masaa 2. Moto umeshika kasi ==== Breaking news Klabu maarufu kama Club Dallas iliyoko katika hotel ya Mwanza Hotel inateketea kwa moto muda huu huku chanzo cha moto hup kikiwa hakijajulikana. Mkuu wa mkoa wa...
  18. JamiiForums Tanzania "Jeshi la Polisi ni "Zimamoto" ya kukamata madereva walevi

    "IMEANDIKWA KWENYE MAGAZETI MENGI YA LEO" Jeshi la Polisi nchini limetangaza msako wa kuwakamata madereva wasiozingatia sheria za barabarani, wanaotumia vilevi, wakiwa wanaendesha magari pamoja na kuwakamata wamiliki wa magari yasiyokuwa na viakisi mwanga Uamuzi huu wa polisi umekuja ikiwa ni...
  19. JamiiForums Tanzania Arusha: Zoezi la uokoaji katika uwanja wa ndege lagharimu milioni 18

    Meneja wa Kiwanja cha Ndege Arusha, Elipid Tesha amesema zoezi la ajali ya ndege kuungua moto katika eneo hilo limefanyika kwa lengo la kuona utayari wa Taasisi za uokoaji namna gani zinaweza kuwahi eneo la tukio na kila mmoja kuweza kutimiza wajibu wake. Aidha, Elipid amesema zoezi hilo...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Barabara ya 12, Tanga: Inadaiwa Polisi na Zimamoto wamempiga mtu mmoja aliyesaidia kuzima moto

    Inasemekana nyumba ya jirani ilikuwa inaungua, na huyu jamaa nyumbani kwao kuna kisima cha maji so akajitolea pamoja na wasamaria wengine kuchota maji na kuzima moto huo, huku wakipiga simu taasisi ya zima moto kwa ajili ya msaada zaidi. Bahati mbaya fire brigade wakachelewa kufika hadi moto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…