ziara

Al-Ziyarah (Arabic: الزيارة‎, also spelled Zeyareh) is a town in northern Syria, administratively part of the Hama Governorate, located 75 kilometers northwest of Hama. It is situated in the Ghab plain, on the eastern bank of the Orontes River. Nearby localities include Qarqur 7 kilometers to the north, Sirmaniyah to the northwest, Qastun to the east and Farikah, Khirbet al-Arus and al-Amqiyah Tahta to the south. According to the Syria Central Bureau of Statistics, al-Ziyarah had a population of 3,541 in the 2004 census. It is also the center of the Al-Ziyarah Nahiyah ("subdistrict"), part of the Al-Suqaylabiyah District, consisting of 25 localities and with a combined population of 38,872 in 2004.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Awasili Moscow kwa Ziara ya Kitaifa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati akipokea heshima ya wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Vnukovo, Jijini Moscow kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa nchini Urusi tarehe 02 Juni, 2026.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Ni vyema Waziri Mkuu akabadilisha style ya ziara zake

    Ziara za Waziri Mkuu zimekuwa kama ziara za katibu mwenezi wa chama. Kwa waziri mkuu kwenda kujaribu kudili na matatizo binafsi kwenye ndoa za watu ukiwa juu ya gari inashusha hadhi ya kiti hiki. Waziri mkuu ajihusishe na masuala mapana ya maendeleo ya nchi yetu na sio ziara za kujitafutia...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mama kwenda ziara Urusi ni tumekuwa loosers

    Hivi wale wanaosema Urusi imeendelea sana tujiulize kuna gari gani linatoka urusi, ndege gani wanatengeneza zaidi ya za kivita, madawa gani au software gani wanatengeneza? Mama Samia kaishiwa sehemu za kwenda mpaka anaenda kwenye nchi yenye vikwazo ili tu apewe vifaa vya kipolisi na kijeshi...
  4. JamiiForums Tanzania Ziara za Waziri Mkuu Mwigulu Mchemba: Je, ni utatuzi wa kweli wa kero au ni Usanii na Kiini Macho? Mbona hatuoni mrejesho?

    Wana-JF, Kumekuwa na utaratibu uliozoeleka wa Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mwigulu Mchemba, kufanya ziara mbalimbali sehemu mbalimbali nchini. Katika ziara hizo, pamoja na mambo mengine, amekuwa akitenga muda wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Katika utatuzi huo, tumekuwa tukishuhudia mambo...
  5. JamiiForums Tanzania Hekaya za Idu: ziara za Waziri Mwigulu Nchemba zinatafakarisha sana. Ni kama taifa halina waziri mkuu na limepotea.

    Waziri mkuu kwa mujibu wa katiba JMT ndio msimamizi wa shuguli zote za serikali. Sasa Msimamizi wa shughuli za serikali anapokuwa namna hii taifa letu linaenda wapi? Limepotea na shughuli za serikali zimekwama. Huwezi kuwa waziri mkuu alafu unatatua kero za wanancho kisanii namna hii. Mfano...
  6. JamiiForums Tanzania Kulikoni ziara ya Rio Ferdinand, mbona Naibu Waziri hajaonekana?

    Yu wapi naibu waziri wa michezo, ndugu Mwana Fa kutokuonekana kwenye ziara ya legend wa soka Rio Ferdinand?
  7. JamiiForums Tanzania Ni lini Rais atafanya ziara kushukuru walio mchagua jamani October 29?

    Mh Rais lini utakuja MKOANI Kilimanjaro na Arusha kutushukuru walio kuchangua October 29?
  8. JamiiForums Tanzania Rio Frednand haja post ziara yake nchini TANZANIA kwenye social platforms zake

    Nyota wa zamani wa Man U na team ya Taifa England yupo Tanzania Kwa ziara ya siku mbili, na kesho anatarajiwa kufika Dodoma Bungeni Ujio wake tulitegemea awe balozi wa utalii na michezo Ila naona yeye alivochukulia ni kama ametokea Bunju B kwenda Kawe, yaani amechukulia kuwa ni jambo la...
  9. JamiiForums Tanzania Ziara ya rais Trump pamoja kundi lake na hapo hapo Elon musk na mtoto wake.

    Ukifika malekani ukisikia neno mfia nchi au mzalendo basi ni jambo rahisi kuona kila nyumba ikiwa na bendera ya marekani. Nchi zenye kupenda watu wake zinaangalia utaifa na watu wake.Sio huku tanzania Amani labda za wanyama ambao hawa wezi kuuliza. Kuna mda unaweza kusema sisi ambao raia...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Trump nchini China: mambo matatu umefuatilia?

    Trump amewasili. Mei 13, kutokana na mwaliko wa rais Xi Jinping wa China, rais Trump aliwasili Beijing kwa ajili ya ziara ya siku tatu nchini China, ambayo ni ziara ya kwanza ya kiserikali nchini China katyika wa muhula wake wa pili. Katika miaka ya hivi karibuni, uhusiano kati ya China na...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Wa Rwanda Paul Kagame Kufanya Ziara Ya Siku Moja Nchini hapo Kesho. Kufanya mazungumzo na Taifa Rais Samia Moyo Wa Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame Kufanya Ziara ya Siku moja Nchini siku ya kesho. Ambapo katika ziara hiyo atakutana na kufanya mazungumzo na Rais wetu Mpendwa na Moyo Wa Taifa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Rais wetu Mpendwa anaendelea kuonyesha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa gari lililotumika kuua watu Oktoba 29, 2025 limeonekana tena kwenye Ziara ya Dkt Mwigulu

    Swali, Mpaka hapa bado kuna mtu hajajibiwa swali la nani alitoa amri ya kuua watu iwapo magari yaliyotumika kuua watu bado wanayatumia kuonesha hawajali wala kuogopa chochote?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kitima: Kijiji ninapotoka hakuna Mawasiliano nikienda ziara nipo gizani, nalazimika kulala mjini

    Mbunge wa Jimbo la Ikungi Mashariki, Thomas Kitima Mgonto akiwa Bungeni Dodoma Leo Aprili 22, 2026 amehoji Serikali ni lini itajenga minara ya Mawasiliano akieleza Vijiji vingi katika jimbo hilo hakuna mawasiliano jambo linalofanya akienda kwenye ziara ni kama yupo gizani na kulazimika kulala...
  14. JamiiForums Tanzania Esmaeil Qa'ani, kamanda wa Kikosi cha Quds awasili Iraq kwa ziara rasmi

    Esmaeil Qa'ani, kamanda wa Kikosi cha Quds cha Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, amewasili Baghdad na amepangwa kukutana usiku wa leo na viongozi wa makundi ya Washia kujadili kutatua migogoro yao. Katika wiki mbili zilizopita, kutokubaliana miongoni mwa viongozi wa Washia...
  15. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe awataka Ma RC na Ma DC kupunguza idadi ya magari kwenye ziara, ampongeza RC Dodoma kutumia gari moja

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya nchini kutekeleza maelekezo ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kupunguza matumizi ya mafuta kwa kutumia magari machache kwenye ziara za...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Papa Leo XIV kuanza ziara yake Barani Afrika

    Papa Leo ameanza ziara ya siku 10 barani Afrika siku ya Jumatatu, akilenga kuwahimiza viongozi wa dunia kushughulikia mahitaji ya bara hilo ambako kwa Takwimu za Vatican zinaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 20 ya Wakatoliki duniani wanaishi Afrika, huku nchi tatu kati ya zile anazotembelea Kusini...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Waziri wa UTUMISHI afanye ziara kama Waziri Mkuu, Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri nyingi ni 'Miungu Watu'

    Tumeona ziara ya Waziri Mkuu ikitupa picha halisi juu ya uzembe na kutokuwa na uwajibikaji wa uwazi katika Ofisi za Umma. Tunaomba pia Waziri wa UTUMISHI (Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) angeanza ziara ya kupitia hususani katika Halmashauri zote...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri Mkuu anapofanya ziara, awakumbuke watumishi wa Halmashauri

    Waziri mkuu katika ziara zake atenge mda wa kuwasililiza watumishi Kuna kero nyingi hasa Halmashauri zetu, Kuna wakurugenzi na baadhi ya wasaidizi wake hawatimizi wajibu wao ipasavyo. Katika kusikiliza Watumishi wenye vyeo wasiwe kwenye Hilo jumuiko
  19. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mara Ghati Chomete ashiriki ziara ya kamati ya bunge TAFICO

    MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MARA MHE. GHATI CHOMETE ASHIRIKI ZIARA YA KAMATI YA BUNGE TAFICO. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, ameshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo iliyofanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Mwigulu kufanya ziara ya kikazi Rukwa, Namanyere

    Ni Rukwa tena ziara ya kikazi,Namanyere Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 📅 Jumatatu – Machi 09, 2026 ⏰️ Kuanzia saa 3 asubuhi Lengo la Ziara: 1. Kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Shule ya Amali ya Mkoa – Namanyere 2. Mkutano wa Hadhara – Namanyere 3. Kukagua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…