zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo tupe msimamo wa serikali juu ya lumbesa katika zao la vitunguu

    Ndugu mheshimiwa Waziri wa Kilomo Hussein Bashe,Kumekua na utata mkubwa juu ya ushonaji wa gunia za Lumbesa hasa kwa mazao ya vitunguu. Wakati wa mavuno.Mheshimiwa ulitoa tamko Mkoani Mbeya msimu wa nanenane ukiwa na mheshimiwa number one,juu ya katazo la ushonaji wa magunia makubwa (Lumbesa)...
  2. JamiiForums Tanzania Mnapojidai kutembea na wake zao wao wanatoka na watoto wenu na ndugu zenu wa damu hata mama zenu wanaopatikana nchi nzima. Watch out! karma is real.

    Hello, Story kwa ufupi, duniani hakuna mjanja aloshindikana, kila penye nyumba na nyufa ipo. Katika hali iliozoeleka inaonekana kutoka na mke au mume wa mtu ni ushujaa sana mithili ya kubeba kombe la Dunia. Kwa taarifa yenu hao mnaowaibia wake au waume zao ndio wanaotoka na watoto zenu, dada...
  3. JamiiForums Tanzania Tulizoea kwa unyeti wa kazi ya Ukurugenzi wa Usalama wa Taifa, wanapoondolewa hupelekwa Ubalozini

    Nadhani Diwani angepelekwa ubalozini huko Canada au mahala pengine ili kutoa smooth working condition kwa anayekuja, na itaondoa tension fulani ambako huwa kanakuwepo.
  4. JamiiForums Tanzania Waliofilisiwa biashara zao kwa mgao wa umeme 2022 watafidiwa na nani?

    Mwaka 2022 unaelekea kufikia mwisho ni mwaka ambao watanzania wengi wamefilisika na biashara zao nyingi zimekufa na kupoteza wateja hasa zile biashara zilizokuwa zinategemea nishati ya umeme chini ya uongozi wa Waziri Januari Makamba(MNEC). Watu wa biashara za saluni za kike na za kiume...
  5. JamiiForums Tanzania Tunaochapiwa, waliowahi kuchapiwa wake, wapenzi, wachumba zao na Member (s) wenzetu wa JF tujuane

    Maisha hapa duniani kila sehemu kuna wazuri na wabaya, katika hali ya kawaida tunapokuwa na wake, wapenzi, na wachumba, huwa hatuwafugi wala kuwachunga kama mifugo, na pia katika maisha kuna kuwa vizuri kiuchumi, kufulia na Kuyumba, kuna kuwa na gari, pikipiki etc vyote kama kishawishi au mvuto...
  6. JamiiForums Tanzania Azam wameamua kuwa wahuni kama kaka zao sasa ligi kuu itanoga

    Kalimangonga Ongara ni mtoto wa mjini,tangu aichukue timu kuna mabadiliko nayaona. Timu imeamua kuwa ya kihuni kama wahuni wa jangwani na msimbazi. Azam sasa kuna viashiria vya kununua mechi kama wanajangwani Azam sasa kuna viashiria vya ndumba kama msimbazi Azam sasa wanafanya uhuni kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Kolo Muani na Kylian Mbappe watimiza matakwa ya mizimu ya babu zao waliolala Cameroon na Congo

    Jana mchana niliposema Waafrika tulimtuma Kolo Muani kuwapiga kibao Morocco kwa kusema wao sio waafrika na leo tunamtuma Kylian Mbappe kuwapiga ngumi Argentina ilionekana ni kama jambo jepesi lakini lilibeba maana nzito ya kiulimwengu! Waargentina waliwatesa Waafrika miaka ya 1870 hadi 1900 na...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini katika vita vyote, ni hii RUSSIA-UKRAINE tu ndio wanajeshi WANAFICHA nyuso zao? Wanaogopa nini?

    Asilimia kubwa ya wanajeshi wote wanaficha nyuso zao. Wa Ukraine wanavaa mask vilevile wa Urusi. Sababu kubwa ni nini wakuu. Tumezoea kuona vita vingi mbalimbali watu walikuwa wanaenda wanakodoa nyuso tu. Je kuna jambo jipya la kujifunza katika hili? Karibuni wajuvu,
  9. JamiiForums Tanzania Hivi Kwanini Wanaume Madaktari, Mapolisi, Wanasheria, Wajeshi wanaogopeka Kwa wake wa Majirani Zao. Umwamba wao ni nini?

    Habari zenu nina imani mwabuheri wa afya. Nadhani baadhi yetu tunasikia sana namna hao wadau tajwa hapo juu wanavyoopewa sana Kwa kupasua anga za mbususu, je wana utofauti gani wengine kiasi kwamba wanakuwa na utisho Kwa majirani Zao wenye wake. Wana pepo gani Mtambuka kuwazidi wengine, au...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa polisi miaka ya 70 na 80 ulikuwa kiasi gani?

    Hivi miaka ya 70 na 80 mshahara wa askari polisi C.P.L., ulikuwa pesa ngapi? Na kipindi hicho pensheni zao zilifika hadi pesa ngapi baada ya kustaafu?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Namungo FC: Tutavaa Jezi Nyeusi Jumatano Wageni wavae Njano au Kijani la sivyo watulipe Tsh Milioni 200 wavae zao Nyeusi

    Katika kuonyesha kuwa Klabu ya Namungo inaelewa Mchezo mzima wa Jezi Nyeusi za Timu Moja nayo imeweka wazi kuwa Jumatano itavaa Jezi zao Nyeusi na kama kuna Timu inataka Kuvaa Jezi Nyeusi za Mganga wao wa Kienyeji basi wawalipe Tsh Milioni 200. Hata hivyo mpaka Mleta Uzi anaenda Mitamboni bado...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kunusuru zao la korosho

    Desemba 1, 2022 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alishiriki maadhimisho ya Siku ya UKIMWI duniani baada ya maadhimisho hayo alisimama na kusalimiana na Wananchi wa Mnazi mmoja mkoani Lindi wakati akiwa njiani kuelekea Mkoani Mtwara. Dkt. Samia Suluhu alitoa nafasi kwa mbunge wa Mtwara kutoa...
  13. JamiiForums Tanzania Form four ulifaulu, njoo tudhibitishe Hili

    x²+16x+15=0 what is the value of x
  14. JamiiForums Tanzania Kutana na Rais wa wanaume wanaopigwa na wake zao, Ndg Komba

    Wanaume tumeumbwa kuzitawala nyumba zetu. Na hili ni pamoja na mke na watoto na wote wanaolala nyumbani mwako. Na hii ndio maana ya kichwa cha familia. Kuna huyu Ndg Komba, yeye si kichwa bali mkia wa familia. Anaeleza kuwa , huwa anasokomezwa makonde mazito mazito na mkewe! Mimi bado...
  15. JamiiForums Tanzania Ripoti UN: Wanawake 17,200 wameuawa na wapenzi na ndugu zao mwaka 2021 Afrika

    Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Madawa na Uhalifu (UNODC) na UN Women imesema Afrika ina kiwango kikubwa cha unyanyasaji dhidi ya Wanawake ikilinganishwa na idadi ya Wanawake wote. Kwa mujibu wa Ripoti Wanawake 5 wanauawa kila saa, na kwa mwaka 2021, karibu Wanawake na Wasichana 45,000 duniani...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wanapopiga picha wanapenda kuonyesha makalio na sio sura zao?

    Wanawake wa kisasa wanapojirecodi video au kupiga picha wanapenda Sana kuonyesha makalio yao na sio kitu kingine Mfano mwanamke umeolewa ila unajirecord unaonyesha tako lako na unasambaza video au picha kwenye mitandao ya kijamii hii ina maana gani?
  17. JamiiForums Tanzania Taratibu taratibu mama zetu na dada zetu wanaanza kuelewa thamani ya ngozi zao

    Kadri siku zinavyoenda taratibu taratibu wakawake wa kiafrika wanaanza kuelewa thamani ya rangi ya ngozi zao. Siku hizi ile kasi ya wanawake ku-bleach ama wanaita kukrimu rangi ya ngozi zao waonekane weupe inapungua ama inaelekea kuisha kabisa. Sasa wanawake wanajikubali kwamba ngozi yao nyeusi...
  18. JamiiForums Tanzania Barua Rasmi kutoka kwa wanaume kwenda kwa wake zao kufuatia kinyang'anyiro Cha kombe la Dunia nchini Qatar

    Dear Wives, Tungependa kuwatia ufahamu kwamba kombe la Dunia linaanza mnano tarehe 20 Mwezi Novemba 2022 nchini Qatar na litachezwa kwa takribani siku 28. Kutokana na hilo, tunaomba kuwakumbusha nyinyi wake zetu mambo yafuatayo na myatilie maanani: 1. Kwamba muachie( surrender) rimoti za...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna watu hawaandiki serious thread, ila kwenye thread zao kuna mafunzo mengi

    Ninasoma kila thread ili nijifunze, sio ili nibishane. Kuna watu wanaandika kama comedy, ila thread zao zina mafunzo mengi sana. Usichukulie poa thread kwa sababu ya title iliyo beba, soma ndani
  20. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta masoko ya zao la Korosho Mbichi na za kukausha. Tupeane feedbacks za deal hii

    Habari wadau wa Kilimo ,naomba tusaidiane kuhusu kupata masoko ya UHAKIKA ya Korosho mbichi grade A mzigo upo wa Kutosha tokea Mtwara-Tandahimba Utapendeza zaidi kupata masoko Kanda ya Ziwa ,Kaskazin and nje ya mipaka ya Tanzania.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…