zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Athari za makundi ndani ya CHADEMA ,ukata ,katiba mbovu inayoelekeza chaguzi zao kufanyika mwaka wa uchaguzi mkuu wa nchi wapelekea "No reform.."

    CCM kuwa MBELE ya wakati kumewafanya CHADEMA kutapatapa na kuja na ajenda mfu ya "no reform no elections"... Katika hotuba yake katibu mkuu John Mnyika alisoma azimio lako la kubadilisha tarehe ya uchaguzi mkuu ndani ya chama kwa kusema kunawafanya washindwe kujipanga vizuri kushindana na CCM...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa kuchambua mada zao humu JF tutaweza kuwatambua wale makomandoo wa Yanga

    Namba Moja ni Labani og , alikuwa kabebwa kwenye boda na ngara23 . Shadeeya na Numbisa walikuwa kwenye IST wakichukua tukio zima Kwa Tekno zao. 😃😄😆😂
  3. JamiiForums Tanzania TAMISEMI wanataka kuwauwa vijana kwa umasikini kupitia ajira zao za mchongo

    # Wanatangaza Ajira 14 elfu. # Wanafanyisha interview. # Wanafauru vijana kwa kadri wanavyoweza. Kisha. TAMISEMI INAANZA KUTOA MAJINA 40 KILA SIKU kanakwamba hizo Ajira walilazimishwa kuzitangaza vijana wameacha kujihusisha na shughuri za kiuzalishaji fully toka January mpaka Leo huo mchakato...
  4. JamiiForums Tanzania Sitawasamehe Wenye Mamlaka kwa Kuruhusu Wawekezaji wa Kamari wa Kichina Kuwekeza Mashine Zao za Kamari Kijijini Kwetu Ngangu

    Hivi karibuni, nilienda kijijini kwetu Ngangu kilichopo Kata ya Kilema Kati Wilaya ya Moshi Vijijini kwa nia ya kusalimia ndugu na jamaa. Ni karibu mwaka mzima umepita tangu niende huko mara ya mwisho. Kijiji hiki kimezungukwa mandhari nzuri ya miti iliyotapakaa kila sehemu. Katikati ya miti...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini wasukuma huwa hawalii misibani tofauti na majirani zao wajita na wahaya?

    Wiki iliyopita nilikuwa Magu Masanza kona kuna msiba mzito,baba wa mji aneaga dunia,Nzengo yote iko pale marehemu ameacha mke na watoto na wajukuu. Kilichonishangaza msiba mzima waliokuwa wakilia hawazidi wanne,tena hata katika nyakati ngumu za kuaga na kuzika.,Mtoto wa marehemu yuko bize na...
  6. JamiiForums Tanzania Haji Manara nani kakudanganya kuwa Karia kusema Yanga SC "wakaendelee na Sinema zao" ni Kudhalilishwa au wana Filamu nchini / duniani wametukanwa?

    Kwa tuliosoma vyema Lugha na Mbinu za Lugha kwa hakika tumekushangaa sana kwa jinsi Haji Manara ulivyoishupalia hii Kauli ya Rais wa TFF Wallace Karia aliposema kuwa Yanga SC wakaendelee na Sinema zao kama wamechoka Kucheza Mpira. Na najua wapo wana Yanga SC Wapumbavu nao watakuwa wamekuunga...
  7. JamiiForums Tanzania Wahuthi wameipiga biti USA kwamba meli zao haziruhusiwi kupitia Red Sea.

    Muda mwingine unakaa unawaza hivi hawajamaa hata wanapolala unakuta kile wanachokiota ni israel na Usa, wanapojiangalia kwenye kioo wanaona bendera za Us na Israel Hawana kingine cha maana cha kufanya zaidi ya kufanya fujo. Fujo ndio motivation yao, fujo ndio tulizo lao la munkali. Wako...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kwa nini viongozi wa Africa hawafanyi rehearsal ya speech zao kabla ya kwenda public?

    Hivi sisi waafrica nani aliyeturoga kiasi ambacho hata viongozi hawajui ofisini wanafanya nini ilimradi tu siku ziende. Hebu angalia kauki ya juzi ya pm eti wenye digrii waende VETA. Kwa nchi ambaso ziko serious angefurushwa uwaziri mkuu palepale au kujiudhuru mwnyewe. Waziri mkuu...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya Vyama vya Ukombozi kuziharibu nchi zao kwa kuingiza siasa kwenye Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Kagame avifundisha nini maana ya Uongozi!

    Kwa wataalam wa masuala ya Ulinzi na Usalama aibu waliyoipata SADC baada ya Mission yao kufeli nchini Congo DRC, sio jambo lililotokea kwa bahati mbaya. Baada ya kuingia siasa za ushindani kusini mwa Bara la Afrika, Vyama vinavyofahamika kama vyama vya ukombozi ambavyo vingi vinatawala nchi za...
  10. JamiiForums Tanzania Kilio Cha Wananchi : Changamoto za kukosekana kwa usalama wa Raia na Mali zao, Kuelekea uchaguzi mkuu, Njia panda ya Himo Wilaya ya Moshi- Kiliman

    Utangulizi Katika eneo la Njiapanda ya Himo, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, wananchi wanakabiliwa na changamoto kubwa zinazohusiana na usalama. Kilio hiki kimekuwa kikubwa, kwani vibaka, wezi, na wanyang’anyi wamekuwa kero ya kimataifa. Hali hii imesababisha wananchi kutokuwa na amani...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi ni kabila la kirangi pekee linaloongoza kwa mabinti kumpeleka watoto kulelewa na Bibi zao vijijini baada ya kukorofoshana na waliowapa mimba?

    Nimeiona hii Hali kwa madada wawili wa tumbo moja, wa kwanza alijifungua na baada ya kukorofoshana na mwanaume wake akampeleka mtoto kijijini ingalikuwa mwanaume alikuwa anaweza kumtunza mtoto vizuri tu Mdogo wake naye hivyo hivyo baada ya kugombana na mwanaume wake akachukua mtoto akampeleka...
  12. JamiiForums Tanzania Mchezo ukiahirishwa wadhamini wanarudishiwa hela zao? Marefa wanalipwa posho zao?

    Hii imekaaje wakuu? Mchezo ukiahirishwa wadhamini wanarudishiwa hela zao? Marefa wanalipwa posho zao?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kama mechi ya Yanga na Simba haitakuwepo kama ilivyopangwa. Je waliolipa fedha zao kuangalia mechi hii watarudishiwa fedha zao?

    Kuna taarifa zinazozunguka kwenye mitandao kuwa mechi kati ya Yanga na Simba haitakuwepo kwa sababu Simba wamesusia mechi hii kwa sababu wananazozijua wao wenyewe. Swali langu. Kama mechi haitakuwepo. Je wale waliolipa fedha zao kwa ajili ya kuangalia mechi hii, watarudishiwa fedha zao?.
  14. JamiiForums Tanzania KERO Makundi ya jogging na kero zao

    Hii tabia yenu ya kufunga barabara kuingia coco beach mpaka tanzanite Bridge mnatuletea wengine kero. Bora mtafute maeneo mengine mkafanyie mazoezi yenu, mazoezi yenu wengine mnatuletea kero tu. Yaani kila Jumamosi mnafunga barabara. Huu upuuzi wngine tuna misele yetu mnatupotezea. Ova
  15. JamiiForums Tanzania Mwaka 2025 wakulima wa zao la Parachichi hawana soko - Njombe

    Nauliza tu! Kwa nini wageni ndio wanapanga bei ya kuuza maparachichi? Jirani zetu wananunua maparachichi kilo shillingi elfu mbili wanaenda kuweka label product of…. Hii ni dhambi kubwa sana! Waziri wa Kilimo na Mkuu wa Mkoa lini mtawasaidia wakulima?
  16. JamiiForums Tanzania Wazazi kuhamasisha mabinti zao, kuwa kwenye mahusiano biashara

    Kutokana na jua kuwa kali, ardhi kuwa kame, na mazao kukaukia shambani; baadhi ya wazazi wamekuwa chachu ya kuwashawishi mabinti zao waingie kwenye mahusiano biashara. Yaani mdada anaingia kwenye mahusiano ili apate kitu, hasa hela; ili aweze kuwahudumia wazazi wake. Mabinti wamegeuzwa kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kila mtu kuna madhabahu yake anayotoa sadaka, wengine madhabahu zao ni bar, wengine kwenye vinena vya malaya, wengine kwa waganga je wewe unatoa wapi?

    Kila mtu kuna madhabahu yake anayotoa sadaka, wengine madhabahu zao ni bar, wengine kwenye vinena vya malaya, wengine kwa waganga, wengine ni kwenye perfumes za bei mbaya, wengine kwenye simu, wengine kwenye magari ya kifari. Kule pesa yako nyingi iendako, ndiko kwenye madhabahu yako.
  18. JamiiForums Tanzania Darassa akerwa na tabia ya Billnass na G Nako, awachana kwa roho zao za kukunja

    Rapa Darassa amekerwa na tabia ya Billnass na G Nako kumuita studio na kurekodi nae kisha nyimbo hazito, awachana kwa roho zao za kukunja.
  19. JamiiForums Tanzania Balile na Pascal Mayalla je wanamtumikia nani , mbona hawana weledi katika kazi zao ?

    Balile na pascal Mayalla hawana weledi katika uandishi wa habari. Naomba waendelee na siasa za kusifu na sio habari.
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Hospitali ya St. Benedict, Ndanda, Mtwara huuliza wateja dini zao?

    Salaam wanajamvi! Sitaki kuwapotezea muda kwa kuwa nami sipendi kupoteza muda wangu, najielekeza moja kwa moja kwenye mada lengwa karibuni. Jana nilienda hospitali ya Rufaa ya Mt. Benedikto (St. Benedict, Ndanda, Mtwara) kwa ajili ya matibabu. Nakiri hii ni katika hospitali bora kabisa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…