zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli CHADEMA wanaamini kupitia kauli zao kuwa watu hawatashiriki uchaguzi basi chama hakina viongozi

    Viongozi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi yakuzuia program za kikatiba zisifanyike narudia viongozi wa chadema hamna nafasi ya kuzuia uchaguzi, kuamini hayo ni kukosa akili ni kuwa na low scale of thinking, Ninamashaka makubwa sana na sifa na uwezo wa kupambanua Mambo wa viongozi wa chadema...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia kumbe iliwafunga Kimyakimya Baadhi ya Viongozi wa Kimasai Gerezani Kwa sababu tu Walihamasisha Ndugu zao wasikubali kuhamishwa

    Wakuu huyu mama ni Katili sana haijapata Kutokea !!. Kumbe Baadhi ya Viongozi wa Kimasai Eneo la Ngorongoro, walikamatwa Kwa Nyakati tofauti tofauti majira ya Usiku, na Kusafirishwa kimya kimya mpaka Gereza la Kisongo Arusha ambapo walikaa Jela hiyo Kwa miezi zaidi ya Sita. Yaani ni...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Hata Gwajima na Polepole waongee kiasi gani historia zao zitaendelea kuwasaka tu

    Siasa wafanyie wabongo lala, leo hii jiwe angekuwa kuwa hai tusingemaliza bando zetu kuangalia ma press yao hao, wangekuwa kimya regardless changamoto za hapa na pale. Ndio wana point ila ni za kinafiki.
  4. JamiiForums Tanzania Unawapa alama ngapi Mbeya City kwa jezi zao?

    Chini ya 10 ungewapa alama ngapi akina mwaisa kwenye jezi zao?
  5. JamiiForums Tanzania Wafungwa kwanye simu zao utawawatambuaje?

    Unapoamka na kushika simu kabla ya kufanya ibada. Hii ni dalili mbaya kuwa simu imekua kipaumbele kwako kabla ya muumba wako. Hii ni ishara ya uraibu na hatari kwa afya yako ya akili.
  6. JamiiForums Tanzania Jamiiforum inakuwaje hawa watu mnawapa sana position ya habari za propaganda zao toka CCM

    Naomba kuuliza zinazo wahusu hawa Tlaatlaah chiembe Lucas mwashamba ChoiceVariable OktobaTUNATIKI . MamaSamia2025 Kuna siku chiembe aliweka nyuuzi kuwa mdude kaachana na siasa. Baada ya watu kuwa lalamikia mkafuta. leo hii tlaatlaah analeta habari ambazo na mnaziweka kabisa kama ukweli...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Wachungaji na manabii hawapendelei kutumia Twitter kusambaza kazi zao

    Fatilia wachungaji wengi na manabii hauwezi kuwakuta twitter au X kwakuwa huko kuna intelligent people , sio rahisi wakapata wafuasi. Na hata wanawake wengi ambao ndo wateja wao hauwezi kuwakuta X au twitter kwa na wao ni akili ndogo.
  8. JamiiForums Tanzania Leo ndio siku muhimu kwa wafanyabiashara kulinda biashara zao kwa miaka mingine mitano ijayo

    Leo hii saa 11 jioni itaendeshwa harambee kubwa kuliko. Hii ndio siku muhimu kwa wafanyabiashara kulinda biashara zao kwa miaka mingine mitano ijayo. Siku kama hii kwa wafanyabiashara huwa hawapo tayari kuipoteza hata kidogo katika maisha yao. Hapa namaanisha wafanyabiashara kweli wale madon...
  9. JamiiForums Tanzania KERO Responded Wakulima wa tumbaku Mpanda Kati walalamikia makato ya 3% na kutolipwa fedha zao

    Wakulima wa zao la tumbaku kutoka Chama Cha Msingi Cha Ushirika Cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati, Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamelalamika kutolipwa fedha zao hadi hivi sasa licha ya Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kutoa maagizo kwamba kabla ya siku kuu ya Nanenane Wakulima wote...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa waTanzania ni kujidanganya kuwa kodi zinazokusanywa ni zao wananchi

    Yaani watu wakae vikao ambavyo wewe huingii wapange kodi,wakusanye,wapange matumizi yake,walipe madeni,wapange matumizi,wajilipe wao,nk bado mnakomaa tu kuwa hela za kodi ni zenu mna akili kweli nyie? Hela ambayo huna maamuzi nayo ni yako kvp? WaTz mjitafakari!!
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi wasiopaza sauti zao kupinga utekaji na mauaji mkifa kwetu wananchi ni sherehe

    Habari hii iwafikie wote na napenda kutoa angalizo tusije kulaumiana baadae na kutafutiana ubaya Kama wewe unajijua ni kiongozi wa serikali au ni kiongozi wa kidini au kama wewe ni msanii au mwanamuziki au mtu mwingine yeyote wenye ushawishi katika jamii ambae mpaka sasa haujatumia nafasi yako...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania waliobaki na akili zao tuwakatae Wahuni waliotupoka Nchi yetu

    Tuungane hapa kuihitaji nchi yetu tuliyopokwa na wahuni, mashetani na maharamia. Hawa wamerudi kutunyang'anya kidogo kilichokuwa kimebaki. Tusikubali tuungane na polepole kuwakimbiza wahuni. Na mtandao wao kuanzia 1st Gen hadi 2nd na 3rd Gen. Tusikubali. Kwa sasa tuwe na common enemy. Ambaye...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa waTanzania wanasiasa wakifa eti wameuawa ila ndugu zao huko kijijini kila uchwao wanakufa eti wanasema ni natural death

    WaTanzania bado tunazidi kuonekana wapumbavu kila uchwao sijajua ni elimu yetu ya kimagumashi au nini au kwasababu waafrika au waTanzania tumeishi kwenye misingi ya kuwaona wanasiasa au viongozi ni waungu watu na inashangaza kiukweli kwasababu Mwanasiasa au kiongozi akifariki tu tunakimbilia...
  14. JamiiForums Tanzania Inakuaje CHADEMA wanamtaja Hayati Magufuli kila mada zao ina maana wanamuogopa aliyepo madarakani sasa

    Huwa nakaa najiuliza, hawa jamaa wanaomtaja Magufuli kwa matusi kwenye harakati za No Reform No Election, ni waoga wanaoepuka kumkosoa aliye madarakani? Maana wamekuwa wakimsema Magufuli kila mara, lakini kwa wazalendo wengi wa nchi hii, kadri mnavyoendelea kumtaja vibaya, ndivyo mnavyozidi...
  15. JamiiForums Tanzania Kila hotuba zao kwenye uzinduzi wa miraji yao utasikia itachochea ukuaji wa biashara/imekuza biashara. Njoo sasa kwa CAG

    Kila hotuba za wanaotuongoza utawasikia wanajitapa mradi huu chini ya mama.samia umekuza biashara kwa asilimia 120% au utakuza uchumi kwa 180%. Ili mradi tu uongo uongo na kuwahadaa watanganyika. Inasikitisha zaidi pale wanapo jifanya kama.hawaoni uhalisia. Ipo shida kwenye usimamizi wa hiyo...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Utalaamu wa kulima zao la vanila

    Wana Jf Mimi ni kijana mwenye ndoto ya kutaka kushughulika na kilimo cha zao la vanila. Naomba mwenye uelewa kuhusu eneo linalostahili kilimo hicho, gharama na makadirio ya faida na hasara anielimishe.
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Haipendezi kwenye mchakato wa Ubunge ni Watu wa Familia za Viongozi

    Humphrey Polepole amesema "Leo kinachoendelea kwenye Uchaguzi wa Chama huko chini...ni kudhihirisha ni namna gani Chama kimedhohofika kwenye kusimamia Misingi, Nidhamu ya Wanachama, Maadili, Rushwa" "Ni Haki kila Mtu kugombea lakini kwenye Chama ambacho tuna Kamkate kadogo ka fursa za Uongozi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Sijui ni wangapi nimewaambukiza mpaka sasa. Wengi ni waume za watu

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo, binti mwenye sura ya kawaida lakini anayejua kuitumia. Natabasamu na kuongea kwa upole, lakini ndani yangu nimebeba maumivu makali sana. Na leo, nimeamua kusema ukweli wangu, kwa sababu nimechoka kubeba mzigo huu peke yangu. Nilipoingia darasa la sita, familia...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa nini watanzania hawapendelei Malipo kwa njia ya mtandao?

    GT Jambo moja ambalo huwa linanishangaza kwa watanzania ni kupenda kutumia cash katika manunuzi mbalimbali ya vitu. Faida za online transactions ni kama hizi hapa. 1. Kurahisa ukusanyaji waa kodi Kwa njia ya cash ni mtihani mzito maanake mpaka mfanya biashara awe mwamimifu kwa TRA.Lakkni pia...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Onesmo Mushi: Manabii Mwamposa, Gwajima, et al na concept ya "mapenzi" ya Mungu vinavyowasaidia WATAWALA kutawala bila WATAWALIWA kuhoji haki zao

    Ukisha amini akina Mwamposa, Gwajima, Mzee wa upako na wengine kama hao..et al, mtawala anashukuru maana unamvua responsibility ya fate ya maisha yako na kuiweka mikononi mwa Mungu kadri ya mahubiri ya akina Mwamposa ya pokea nyumba, pokea gari, pokea upako, pokea bahati etc etc TUAMKE...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…