Mkazi wa Nungwi kisiwani Zanzibar, Athumani Akida Juma (32) amekamatwa na pakiti 20 zenye kete 2,401 zinazodaiwa ni dawa za kulevya aina ya heroin.
Hayo yamesemwa na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya Zanzibar, Kanali Buruhani Zuberi Nassoro wakati akizumgumza na...