zanzibar

  1. P

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar tafuta washauri wazuri suala la ardhi ya Bagamoyo

    Hili sakata la ardhi ya Bagamoyo ya hekari elfu sita kuwa ni mali ya Zanzibar lina ukakasi na halifai kupita bila ya kupata mawazo mbalimbali yenye lengo la kuboresha uelewa mpana wa raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli Mwalimu Nyerere aliwapa Zanzibar ardhi ya Bagamoyo ili waweze...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman?

    Ni kitambo kidogo tangu kiongozi huyu aonekane hadharani. Ni zaidi ya miezi karibu 7 Mhe. Othman hajaonekana kwenye tukio lolote la Kitaifa. Mfano ni hivi karibuni Masoud hakuwepo Dodoma katika Hafla ya Uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino. Si hivyo tu, hata kwenye matukio makubwa ya Kisiasa visiwani...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mabula toa ufafanuzi wa Ekari 6000 za Zanzibar zilizopo Bagamoyo

    Mhe. Waziri wa ardhi Angela Mabula nakusalimu. Watanzania bara tumechanganyikiwa kusikia Wenzetu Zanzibar wana Ekari 6000 Bagamoyo na wametoa onyo kwa mtu yeyote kutojaribu kusogelea pale. Kinachotuumiza zaidi ni kuona sisi watanganyika kwenye ardhi yetu tukipigwa beat namna hiyo ili hali...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Zanzibar imemtangazia nani kwamba ina maeneo yake Bagamoyo?

    Ni mwananchi au pia serikali ya Tanganyika? Tangu nimezaliwa sikuwahi kufahamu achilia mbali kufahamu, hata ile kusikia tu jambo hilo kwamba Zanzibar ina maeneo yake Bagamoyo huko Razaba, Ni sababu zipi Zanzibar imeamua kulitangaza eneo lake leo? Kumetokea nini? Na Je! Historia inasemaje...
  5. JamiiForums Tanzania Napendekeza Bagamoyo iwe sehemu ya Zanzibar ili na sisi tuzamie tupate uraia wa Zanzibar tupate nafuu ya ajira, vyeo, teuzi, n.k

    Niendelee kung'ang'ania ubara kwanini wakati uraia wa Zanzibar unarahisisha maisha? Wazanzibar wamebahatika zaidi kupata uwanja mpana tena wa kipendeleo kabisa katika nafasi za uongozi, ajira, vyeo, teuzi, n.k. JKT wengi kama sio wote huwa wanabakizwa kujiunga na Jwtz, Polisi, Usalama, n.k na...
  6. JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar kujadili kauli tata za Balozi Karume

    Vuguvugu la mpasuko limeendelea kufukuta visiwani Zanzibar baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuahidi kufanya uchambuzi wa kauli mwanasiasa na mwanadiplomasia, Balozi Ali Abeid Karume kuhusu viongozi wa chama hicho kukosa uhalali wa wananchi kuongoza Zanzibar. Ali Karume aliyegombea mara...
  7. JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Uvunjwe Kwasababu Hauna Faida Tanganyika

    Rejelea kichwa cha habari. Kuna haja ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuvujwa kwasababu hauna faida yeyote Tanganyika. Tangu muungano huu Zanzibar ndiyo imekuwa ikinufaika kutoka Tanganyika lakini Tanganyika haijawahi kunufaika kutoka Zanzibar. Zanzibar wamekuwa wakichota mchanga na mawe...
  8. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu

    Leo nimekutana na clip ya Chars Hilary akiongea akitanabaisha kuwa kuna hekta elf 6 wilayani Bagamoyo ni mali ya serikali ya Zanzibar na mtu kutoka bara haruhusiwi kufanya shughuli za aina yoyote ndani ya ardhi hiyo kwani sio mali ya serikali ya Tanzania bara. Jambo hili limenisikitisha sana...
  9. JamiiForums Tanzania Mshtuko: Bajeti ya Wizara ya Elimu Zanzibar ni karibu nusu ya Bajeti ya Elimu Tanzania Bara

    Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bi. Leyla Mohamed, leo amewasilisha bajeti ya wizara yake na kuomba kuidhinishiwa kias cha shilingi 457B. Wakati hapo nyuma Kidogo Wazir wa Elimu Tanzania aliomba kuidhunishiwa kias cha Shilingi 1.55Trln. Nikiwa natambua kwamba Elimu ya Juu ni jambo...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mzaliwa na raia wa Tanzania bara nataka kuwa raia wa Zanzibar, je inawezekana? Nifuate taratibu zipi?

    Mimi ni mzaliwa na raia wa Tanzania bara nataka kuwa raia wa Zanzibar, je inawezekana? Nifuate taratibu zipi?
  11. JamiiForums Tanzania TAMWA-ZNZ, ZAFELA argued Police Force to expedite investigation on the killing of two women in Zanzibar

    Zanzibar Female Lawyers Association (ZAFELA) and Tanzania Media Women’s Association, Zanzibar (TAMWA ZNZ) are saddened by the acts of cold-blooded killing of two women which took place recently in Bububu Kijichi and Mbuzini West District "A" West Urban Region Unguja, respectively. According to...
  12. JamiiForums Tanzania Mauaji Wanawake wawili Zanzibar. ZAFELA, TAMWA ZNZ wataka wahusika wakamatwe

    TAARIFA KWA VYOMBO HABARI 28-Mei-2023 Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA) na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) zimesikitishwa kwa vitendo vya mauaji ya kikatili dhidi ya wanawake wawili yaliyotokea hivi karibuni Bububu Kijichi na Mbuzini...
  13. JamiiForums Tanzania TANESCO imeisamehe Zanzibar deni la umeme la bilioni 60

    Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Maharage Chande amesema mjadala umefikia mwisho kuwa Zanzibar isamehewe deni ili waanze upya kwa “tariff” mpya pia. Kwa taarifa za ndani za uhakika ni kuwa maagizo kutoka ikulu ya Dodoma kupitia Waziri January ndiyo yamepelekea afute deni hilo. Maagizo hayo...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Zanzibar yabinafsishwa kwa kampuni ya kigeni, wazalendo wahoji

    Chama cha ACT Wazalendo kimehoji juu ya mchakato uliotumika kwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuipatia Kampuni kuendesha shughuli za bandari ya Malindi Zanzibar Katibu wa habari na uenezi ACT Wazalendo Salum Bimani, amehoji hatua hiyo wakati wa mkutano wa hadhara wa chama hicho...
  15. JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar kuwa mbadala wa makamu wa Rais katika kumuwakilisha Rais wa Tanzania katika baadhi ya mikutano ni sawa?

    Tumeshazoea Rais wetu akibanwa anampeleka Mwinyi kumuwakilisha katika shughuli na vikao vya nje ya nchi, Mfano leo Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar kuelekea nchini Qatar kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la Kimataifa la tatu la...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Tanzania hapo mbeleni

    Ndugu wapendwa JF wasalam. Hodi Jukwaani. Darubini yangu imeona dalili na Ishara ziko wazi kwamba huyu mjamaa anaandaliwa na kwakweli he has all possible qualifications for the post. Just check, uadilifu, uaminifu katika utendaji na utekelezaji mipango SUK, bidii na uchapakazi, hana makundi...
  17. JamiiForums Tanzania Nimesikitika kuona Beki Djuma Shaban na Zanzibar finest Ibrahim Bacca hawapo kwenye orodha ya tuzo TFF

    Nimeshangaa sana kuona hao mabeki hawapo katika orodha ya mabeki bora katika msimu huu wa NBC PL 2022/2023, Pamoja na michango yao mikubwa sana katika timu zao. Mbali na hayo, Hivi unaanzaje kuwataja viungo bora bila kumtaja Khalid Aucho? Au TFF mmeamua kuweka balance tu bila uhalisia? Kwa...
  18. JamiiForums Tanzania ACT yamteua Othman kuongoza timu mageuzi ya Kisiasa Zanzibar

    Masoud Othman Masoud ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo upande wa Zanzibar anatarajiwa kuongoza timu ya ACT katika majadiliano ya kukamilisha mageuzi ya kisheria ili kuimarisha haki, umoja na mshikamano. Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT, Salim Bimani...
  19. JamiiForums Tanzania Mradi wa Kijaluba iSAVE Zanzibar kuwawezesha Walimu wa Vikundi kusaidia kukuza uwezo wa watu wenye ulemavu Kiuchumi

    KATIKA kuhakikisha lengo la kushughulikia vikwazo vinavyowarudisha nyuma watu wenye ulemavu kiuchumi katika jamii Zanzibar, walimu wa vikundi na wawakilishi wa jumuiya za watu wenye ulemavu wametakiwa kufanya kazi kwa ukaribu na watu hao kupitia vikundi vya hisa ili kuwawezesha kujiinua...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana anayetokea Zanzibar Mhe. Latifa Juwakali Wakati Akichangia Hotuba ya Bajeti Wizara ya Elimu

    MBUNGE LATIFA JUWAKALI AKICHANGIA HOTUBA YA BAJETI WIZARA YA ELIMU 2023-2024 BUNGENI JIJINI DODOMA Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana anayetokea Zanzibar Mhe. Latifa Juwakali amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa maono makubwa na jinsi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…