zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshindi wa Miss World 2025 huko Kizimkazi, Zanzibar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshindi wa Miss World 2025 Bi. Opal Suchata Chuangsri mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia...
  2. JamiiForums Tanzania Jopo la wawekezaji kutoka India kufungua fursa za kiuchumi Zanzibar

    JOPO LA WAWEKEZAJI KUTOKA INDIA KUFUNGUA FURSA ZA KIUCHUMI ZANZIBAR
  3. S

    JamiiForums Tanzania KERO YA BARABARA: SMZ NA WIZARA HUSIKA, NI SABABU IPI INAYOFANYA BARABARA YA BWAWANI MALINDI ZANZIBAR ISITIWE LAMI!!!

    Kwanza kabisa nisiwe mkosefu wa fadhila nimshukuru Rais Mwinyi kwa maboresho makubwa ya barabara mbalimbali ambayo yamevunja rekodi. Lakini jambo la kustaajabisha kuna hii barabara muhimu iliopo Malindi kituo cha polisi kuendea Bwawani ambayo ni kero kubwa kwa sisi wakaazi wa hapa kwani ina...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Faroe Islands na Gibraltar ni nchi zenye hadhi moja na Zanzibar, lakini wao wamekubaliwa kuwa Wanachama halali wa FIFA, Zanzibar imefeli wapi?

    Visiwa vya Faroe na Gibraltar ni nchi zilizopo barani ulaya... Hizi ni nchi ambazo hazina mamlaka kamili kuitwa mataifa huru kama ilivyo Zanzibar tu. Gibraltar ni ki-nchi fulani chenye watu 40,000 tu..kinamilikiwa na Uingereza. Wakati Faroe ipo under Danish realm.. Chakushangaza zaidi hawa ni...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT yalalamikia utaratibu wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar unawakosesha Wananchi wengi haki ya kupiga kura

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI ACT-Wazalendo, tumeshangazwa na kushtushwa na Ujumbe mfupi wa SMS, kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ambao wanatumiwa wananchi, kufika katika Ofisi za Uchaguzi za Wilaya kuchukua Vitambulisho vyao vya kupiga kura (Vote I'd), kuanzia tarehe 17/07/2025, katika Siku na...
  6. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Zimebaki khanga 5. Bei: sh 18,000/= Kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu. Contact/Mawasiliano...
  7. JamiiForums Tanzania Tukiwa Tunapambana na Waliokatwa na Kujiuzuru kwa Polepole, Kisiwani Tumenunua Ndege Yetu ya Kwanza

    ... Endelee kuzubaa wenzenu uchumi unakimbia huku
  8. JamiiForums Tanzania PICHA: Nilichoshuhudia ni ishara mbaya sana kwa jamii

    Asalaam alykhum. Tumsifu Kristu. Kuna lile tukio lilitokea kule Serengeti (kama sijakosea) la simba dume kutongozana na kuanza kufanya ufuksa. Basi leo siyo Serengeti ni mjini kabisa hapa Zanzibar, nikiwa napelekwa kupumzika kule Pwani mchangani kufika eneo moja la jeshi karibu na chuo cha...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Ni aibu kubwa Kwa CHAUMMA, mkutano wao wa Zanzibar waudhuriwa watu wachache sana

    CHAUMA ebu punguzeni kujitia hasara. Utakodishaje mziki,na jukwaa afu unaishia kuhutubia watu 6. Hawa viumbe walidhani ma press conference ndo yangewafanya wapendwe na watu. Sahivi wanalia kilio Cha kusaga meno. Catherine Ruge Devotha Minja Moza Ally Suzan Kiwanga Tunawasubiri mshinde ubunge...
  10. JamiiForums Tanzania Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani

    Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani . Mwaka 2018 , nilikuwa Zanzibar , nilipoteza simu zaidi ya Mara tatu katika maeneo tofauti Ila niliipata . Hii issue ilinifanya kuwakubali hawa jamaa. Maana wizi unaboa Sana...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini matokeo ya form six yatangaziwe Zanzibar? Hata michezo ya ligi kuu isiyohusiana na Zanzibar ilichezwa Zanzibar, kwanini?

    Sijauliza Kwa Nia mbaya ila kuna katabia la kujipendekeza ka viongozi wetu kujiambatanisha na mkuu wa ithanga lothe hii sio sawa. Kuna siku gwaride la uhuru litapigwa songea ruvuma au kule kigoma. Alamsiki.
  12. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei : sh 18,000/= kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu. Contact/Mawasiliano: 0784 829565...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Takwimu ya Wabunge bubu kutoka Zanzibar imenistua sana!

    Tovuti rasmi ya Bunge inayo orodha ya wabunge wanaoongoza kwa kutochangia chochote kwa miaka mitano. Miongoni mwao ni Mbunge wa Tunguu (CCM), Khalifa Salum Suleiman, ambaye hajawahi kuchangia wala kuuliza swali la msingi au la nyongeza, sawa na Mbunge wa Mfenesini (CCM), Zubeida Khamis Shaib...
  14. JamiiForums Tanzania Wakuu , Natafuta Shule ya kufundisha Zanzibar kwa secondary au primary

    Wakuu Mimi ni Mwalimu ambaye nimesomea kufundisha Kiswahili na kiingereza. Natafuta Shule ya kufundisha kwa maeneo ya Zanzibar Unguja au Pemba. Kwa upande wa primary naweza kufundisha vilevile kwa upande wa secondary. Masomo ya social studies yote. History Civics Kiswahili English...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kuna shida somewhere: Uganda, Tanzania na Zanzibar zasaini MoU

    Hata kama watu hawanaga akili, siyo kwa level hii ya Tanzania na Zanzibar kuonekana ni nchi mbili tofauti wakati tunajua ni nchi moja.
  16. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana hapa

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  17. JamiiForums Tanzania ACT: Uamuzi wa kuhamisha Mkutano wa Wanasheria kutoka Zanzibar kwenda Ethiopia utupe fursa ya kujitathmini

    TAARIFA KWA UMMA UAMUZI WA EALS KUHAMISHA MKUTANO WAKE KUTOKA ZANZIBAR UTUPE FURSA YA KUJITATHMINI Tarehe 20 Juni, 2025, Jumuiya ya Wanasheria ya Afrika Mashariki (East Africa Law Society) ambayo inajumuisha vyama vya wanasheria vya nchi nane (8) - Tanganyika, Kenya, Uganda, Zanzibar, Rwanda...
  18. JamiiForums Tanzania uzi maalum kwa ajili ya connection za kazi; Bara, Zanzibar & Uarabuni, wenye Elimu na wenye ujuzi.

    Ugonile, Kuanzia leo ntakua napost nafasi za kazi au nafasi zinazoelekea na kazi humu. Msinipigie simu tafadhali, Tangazo litakua linajitosheleza. NB. Hizi nafasi zipo chini ya madalali hivo hakuna mlolongo wa interview ila hakikisha unafanikisha lengo lako ndo unalipa. AVAILABLE POSITIONS...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Haikuwa halali Zanzibar kuanza kutangaza kusogeza mbele kuvunjwa Baraza la Wawakilishi kabla ya Samia kusogeza mbele kuvunjwa kwa Bunge hadi August

    Nchi hii bwana inaendeshwa kinyume sana, yaani vurugu tupu. Sasa Raisi wa Zanzibar anatangaza kusogeza mbele kuvunjwa kwa Baraza la Wawakilishi kabla ya Raisi wa Tanzania Samia kutangaza kusogezwa mbele kuvunjwa kwa Bunge hadi August. Hivi nani hasa ni Raisi wa Tanzania hapa, au ipi ni mamlaka...
  20. JamiiForums Tanzania Je Kwa mara ya kwanza Zanzibar itakuwa na tarehe tofauti ya uchaguzi na Tanzania bara?

    Siku zote bunge likivunjwa taratibu za uchaguzi zinaanza. Toka January mabunge yote mawili yalitoa ratiba zao. Bunge la wawakilishi lilitangaza kuwa litavunjwa tarehe 23 June, uku Tanzania bara likivunjwa tarehe 27june ili kupisha uchaguzi. Cha kushangaza na kisikitisha Bunge la wawakilishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…