zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar yapiga marufuku "Shule nyumba"

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku shule ambazo zilo ndani ya nyumba (skuli nyumba) na kuwataka wamiliki kujenga majengo yanayokidhi utoaji wa huduma kwa wanafunzi wao Akizungumza na Walimu katika Mkutano Mkuu wa tisa wa Chama cha Walimu Zanzibar (ZATU) katika Ukumbi wa Taasisi...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Bomoa bomoa yaanza Zanzibar

    Vuta nikuvute vilio na simazi vimesikika kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ya mjini ikiwemo Jangombe Lofi, Michenzani na Kisonge mara baada ya kuvunjiwa Vibanda na Maduka yao na sehemu za biashara yaliyovunjwa na watendaji wa Baraza la Manispaa la Mjini. Akitowa ufafanuzi juu ya kadhia...
  3. JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI | Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi: Nampenda anayenikosoa zaidi. Wanaosifia wanamaslahi binafsi

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, nampenda anayenikosoa zaidi. Wanaosifia wanamaslahi binafsi.
  4. JamiiForums Tanzania Car4Sale INAUZWA NISSAN JUKE 2011 IKO ZANZIBAR

    🚘2011 Nissan Juke Mileage: low 🛸4wheel Button 🚀Engine capacity:1990 ⛽️Fuel used:petrol 🛣Low mileage 🚔Full document 🚗Very clean condition Bei:14 cash Call/Whatsapp 0718578433
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tanganyika inachunwa na Zanzibar

    Ukiangalia nafasi za kazi serikalini, balozini, mgao wa pesa. Huu mkaba wa kijinga ni wa kuwachuna ndugu zao wa Tanganyika!
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Mwambegele: Kura ya Mapema kwenye Uchaguzi Mkuu 2025 itapigwa Zanzibar pekee

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (#INEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele anafafanua kuhusu Kura ya Mapema wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kusema: “Sheria ya Uchaguzi Zanzibar inaeleza kuwa kuna Watu wanaruhusiwa kupiga kura mapema siku moja kabla ya Uchaguzi...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka kwa wadau: Royal families za United Republic of Tanganyika and Zanzibar

  8. JamiiForums Tanzania Nyumba na gari ya kukodi kipindi hiki cha CHAN Zanzibar

    Kwa heshima na taadhwima wakubwa kwa wadogo napenda kuwaarifu kua endapo mtu au watu watataka nyumba za faraghq na sio hoteli kwa kipindi hiki cha CHAN kwa Zanzibar anitafute utakodishwa kwa bei rafiki kabisaa Nyumba zipo full furniture unakuja wewe na nguo zako tu Karibuni
  9. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makunduchi Zanzibar Yalipuka Kwa Shangwe ,nderemo na Vifijo Baada ya Kutangazwa Kuteuliwa kwa Jina La Wanu Hafidhi Kugombea Ubunge

    Ndugu zangu Watanzania, Tabia njema , uchapakazi, unyenyekevu,ukarimu ,heshima ,upendo ,upole ,huruma na Utu alionao Mheshimiwa Wanu Hafidhi Umefanya jimbo la Makunduchi Zanzibar kuripuka kwa shangwe, nderemo na vifijo baada ya kutangazwa kuteuliwa kwa Jina la Mheshimiwa Wanu Hafidhi Kugombea...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwa umoja wetu tukatae hii migao ya Bara na Zanzibar kwenye siasa ni ubaguzi

    Nchi ni moja hakuna ubaguzi wa kanda sasa migao ni ya nini Sijui vyama vya siasa kugawa mali pande zote!! kwani unguja na Mwanza tofauti yake ni nini?? mbona mikoa mengine haina mali za vyama kama mengine!!!. Hii kulazimisha kisheria kugawa mali za wati zaidi ya milioni 60 kwa watu milioni 2...
  11. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 18,000/= Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu. Contact/Mawasiliano: 0784 829565...
  12. JamiiForums Tanzania Battle. Zanzibar vs Tanganyika

    Leo naomba nije na hili battle katika ya Zanzibar na Tanganyika ama kama mnavoojita Tanzania ya sasa. Hapa tunajadili maendele, hali ya siasa, kiuchumi kiutamaduni, maadili, michezo, viongozi bora kuwahi kutokea na waliopo sasa, wasomi na chochote unachoona kinafaa kulinganishwa.
  13. JamiiForums Tanzania Ujenzi Holela Zanzibar: Sehemu nyingi hazifuati mipango miji – Moto ukitokea huduma haziwezi kufika!

    Kwa yeyote anayeishi au kutembelea maeneo ya Zanzibar, atakuwa ameshuhudia jinsi ujenzi wa nyumba unavyoendelea kwa kasi maeneo mbalimbali. Lakini cha kusikitisha ni kwamba ujenzi huu kwa sehemu kubwa unafanyika kiholela bila kufuata mipango rasmi ya miji. Eneo la Jumbi juu ya kilima upande wa...
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Khalid Mohamed - Waziri wa Ujenzi (SMZ): Tunatakiwa kuwa waangalifu wa kila jambo, Teknolojia inakua, faragha za Watu zinaingiliwa

    “Sasa hivi tunaoishi katika Dunia hii tunatakiwa kuwa waangalifu wa kila jambo.” Ni kauli ya Dkt. Khalid Salumu Mohamed, Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Serikali ya Mapindizi Zanzibar (SMZ) aliyoitoa wakati akifungua rasmi mafunzo ya Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Maafisa...
  15. JamiiForums Tanzania Take a trip around the Tanzania Mainland and Zanzibar

    Here we go
  16. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 18,000/= Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu. Contact/Mawasiliano: 0784 829565...
  17. JamiiForums Tanzania Mnaotaka kuoa Zanzibar, Samaki hageuzwi

    Guys ninaandika haraka haraka maana nampepea bwana harusi mtarajiwa amezimia baada ya kukataliwa kuoa binti mzuri wa kizanzibar, Huyu jamaa baada ya kuposa na kulipa mahari yote akapata mualiko maalum wa kuonana na familia ya wakwe zake watarajiwa na kupata chakula cha mchana pamoja...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 MNEC, Muhsin Ussi: Zanzibar huduma za afya ni bure, hakuna malipo

    Muhsin Ussi (MNEC) — Kiongozi wa Kitaifa wa Vijana kutoka Zanzibar (CCM). "Wakati Rais Dkt Hussein Mwinyi anaingia madarakani Zanzibar tulikuwa na hospital kubwa Moja tu inaitwa Mnazi Mmoja na kwa Pemba tulikuwa na hospital inaitwa Abdallah Mzee. "Unaweza kwenda hospital Saa 11 Alfajiri...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar Yashindwa Kulipa Fidia kwa Nyumba Zinazotakiwa Kupisha Barabara – Maendeleo Yakwama

    Ndugu wanajamvi, Napenda kuibua hoja kuhusu jambo linaloumiza wananchi wengi – suala la kutolipwa fidia kwa nyumba zinazotakiwa kupisha upanuzi wa barabara visiwani Zanzibar. Mfano halisi ni barabara ya kuelekea Paje (Unguja Kusini). Kuna nyumba moja imebaki katikati ya ujenzi wa barabara, hali...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO ZSSF iamke usingizini, Kampuni nyingi Zanzibar zinawakata Wafanyakazi lakini fedha hazifiki

    Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) haifuatilii michango ya wanayokatwa Wafanyakazi kwenye kampuni, wanafanya kazi kwa mazoea au wanaziogopa baadhi ya taasisi. Hali hiyo inatukuta Wafanyakazi wa Kampuni ya IRIS inayohusika na masuala ya ujenzi wa barabara mbalimbali Zanzibar na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…