zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania SI KWELI Cristiano Ronaldo na Georgina Rodríguez wametembelea Zanzibar

    Cristiano Ronaldo and Georgina Shine in Zanzibar: A Royal Welcome in Swahili Splendor The turquoise waters of the Indian Ocean sparkled under the morning sun as the island of Zanzibar prepared for an extraordinary moment. Word had spread quickly across Stone Town: Cristiano Ronaldo and his...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi azindua huduma ya Water Taxi Zanzibar

    Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema huduma za Water Taxi zimeanza rasmi visiwani Zanzibar, ikiwa ni hatua ya kuboresha usafiri wa baharini, kuvutia watalii na kuongeza ajira kwa wananchi. Akizungumza alipowasili katika Bustani ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 OMO akishinda Urais Zanzibar mshahara kima cha chini kitakuwa Milioni moja

    Mgombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman (OMO) atoa ahadi zake 10 kuhusu mambo atakayoyatekeleza iwapo atashinda Urais lipo la mshahara kima cha chini kuwa Milioni moja 2. Kupunguza kodi kwenye mafuta ili bei ishuke. 3. Kuondosha utitiri wa kodi na tozo. 4...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 ADC: Tutaongeza kipato kwa wavuvi wa Zanzibar

    Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC) kimezindua rasmi kampeni zake hii leo, ambapo mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia chama hicho, Hamad Rashid Mohamed, ameahidi kuimarisha mfumo wa uvuvi ili kuongeza kipato kwa wavuvi wa Zanzibar. Amesema hayo katika uzinduzi wa kampeni za urais wa...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Dk. Mwinyi atembelea soko la Chake Chake kuomba kura, aahidi mikopo kwa wafanyabiashara Zanzibar

    Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia wafanyabiashara ambao hawajapata mkopo unatolewa Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi(ZEEA) watapata endapo akipata ridhaa ya kuiongoza tena Zanzibar. Kauli hiyo ameitoa...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 NRA Zanzibar yaahidi kuwawezesha vijana kuoa wake zaidi ya mmoja

    Vijana wa kiume tuhamine Zenji tukaoe wake wengi :cool::D:D ============================ Mgombea Urais kwa tiketi ya NRA Zanzibar, Khamis Faki Mgau ameahidi kuwawezesha vijana kuoa wake zaidi ya mmoja pamoja na kuwalipa mshahara ili waweze kujikimu kimaisha.
  7. JamiiForums Tanzania Kwa nini Burundi kusiwe kama Zanzibar tu waunganishwe na Tanzania na maeneo ambayo tutafakari kule Congo Kaskazini

    Ukiangalia ripoti za uhamiaji kesi za Burundi wahamiaji haramu ndio wengi. Kama ilishakuwa nchi iliyo shindwa ni bora kuwa muunganiko wa Tanzania hata Kaskazini mwa Congo kuwa jimbo linalotegemea Tanzania maana hata lugha ni moja tu. Japo kuwa na serikali za wahuni mtakumbuka haya mawazo.
  8. JamiiForums Tanzania Kabla hamjaandamana Tarehe 29 Oktoba waulizeni Zanzibar na Waislam kwanza

    Kabla hamjaandamana hiyo tarehe 29 Oktoba waulizeni kwanza wananchi wa Zanzibar 2001 kilitokea nini kwao ? Pia waulizeni waislam wa mwembechai kilicho watokea. Hivyo kama unatokea kwenye maandamano ya tarehe 29 Oktoba nakuambia mapema kabisa kuwa tayari kwa matokeo yoyote. Usiandamane kwa...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana wa Zanzibar: Rais Samia anatosha kuendelea kuwa Rais wa Tanzania kutokana na maendeleo aliyoyaleta

    Kuna baadhi ya vijana wanachokizungumza hakileti maana yoyote kwenye maendeleo yao binafsi, wanaishia kufanya uchawa usio na manufaa kwao ================= Baadhi ya Vijana kutoka Visiwani Zanzibar wameeleza namna ambavyo Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt Samia Suluhu Hassan...
  10. JamiiForums Tanzania Bandari bubu Ununio-Chimbo la bidhaa nafuu toka Zanzibar

    Wale risk takers chimbo la bidhaa nafuu njooni hapa Ununio Majahazi wanaleta bidhaa toka Zanzibar niwendo wa kupiga pesa tu. sukari kilo Tsh 800
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Wagombea urais Zanzibar wamnadi Dkt. Mwinyi, baada ya kukabidhiwa magari ya kufanyia kampeni

    Yani! Kupewa magari ya kisasa wanasahahu kijipambania wenyewe, wananza kumnadi mgombe urais wa CCM Wagombea urais Zanzibar wamnadi Dkt. Mwinyi, baada ya kukabidhiwa magari ya kufanyia kampeni
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 ZEC yamuengua Hamad Masoud Hamad kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CUF

    Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ZEC imemuengua Bw.Hamad Masoud Hamad kuwania Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha wananchi- CUF kwa kutokukidhi kigezo cha kuwa wanachama mia mbili katika mkoa wa Kaskazini Unguja huku mgombea wa ACT wazalendo Bw.Othman Masoud Othman akitakiwa mpaka kesho saa tatu...
  13. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Rose Migiro: Rais Samia kuwa Katibu mkuu wa Kwanza wa kike ni alama CCM inazingatia Usawa Jinsia

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Asha Rose Migiro akizungumza na viongozi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Afisi Kuu za CCM, Kisiwandui, Unguja visiwani Zanzibar. SOURCE: GLOBAL TV
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais Zanzibar: Tusiwapeleke Wazanzibari kwenye matatizo kwa wivu wa madaraka

    Mgombea wa Kiti cha Urais Zanzibar kupitia chama AAFP, Said Soud alisema hayo tarehe 3/09/2025 wakati anamjibu Mgombea wa Urais Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha ACT wa Wazalendo Othman Masoud Othman anayedaiwa kutoa kauli za kichochezi na kukejeli sheria za uchaguzi...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Mama haiwezekani Zanzibar Matibabu bure, halafu Tanzania Bara wanalipia

    Polepole: Haiwezekani Zanzibar Matibabu bure, alafu Tanzania Bara wanalipia hii inaua umoja
  16. M

    JamiiForums Tanzania Videos: vichapo hevi na adhabu kali wanazopewa wezi na wale wanaosingiziwaga

    Ukisikia MWIZI, MWIZI, MWIZI !! kinachofuataga ni hiki unachokiona kwenye hizi video'' Wapo pia ambao sio wezi, wameitwa wezi kwa kusingiziwa
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais (AAFP): Ukifanya Fujo Zanzibar upelekwe Guantanamo

    Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha Wakulima (AAFP) Said Soud, amekiaasa chama cha ACT Wazalendo kuacha kuhamasisha fujo kwa kisingizio cha kura ya mapema kwani kufanya hivyo ni kuonesha kwamba wana uchu wa madaraka. Mgombea huyo ameutaka Umoja wa mataifa, Jumuiya ya madola SADC...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Wanu Hafidh Ameir mgombea sahihi jimbo la Makunduchi, Zanzibar

    WANU HAFIDH AMEIR MGOMBEA SAHIHI JIMBO LA MAKUNDUCHI, ZANZIBAR Wananchi wa Jimbo la Makunduchi lililopo Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar wameonyesha kufurahishwa kumpata Mhe. Wanu Hafidh Ameir kama mgombea Ubunge wa Jimbo la Makunduchi katika kipindi hiki ambacho kuna miradi...
  19. JamiiForums Tanzania Uko Zanzibar Kuna kampeni kweli?

    Yawezekana ACT WAZALENDO wakaanza kampeni Bila mgombea wa jamuhuri? Lakini niliona hta Mwinyi alichukua peke yake baada ya Samia kuchukua Je yupi ni WA muhimu Kati ya mgombea wa jamuhuri na mgombea wa Zanzibar? Kama nchi ni Moja kwa Nini vyama wagombea wasichukue siku moja na wazindue...
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Othman Masoud hana uwezo kabisa mbele ya Dkt Hussein Mwinyi, Bora Babu Duni

    Othman ni mjanja mjanja tu hana uwezo kabisa wa kuwa Rais, hakutakuwa na mpinzani Zanzibar wa kumfikia hata robo Maalim Seif, kiongozi Peker aliekuwa na uwezo na sifa za kuwa kiongozi ni Babu Duni au Juma Duni Haji. Othman hana mvuto mbele ya wananchi, hajui kujenga hoja, amelazimishwa tu kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…